Search results

  1. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Citizen B, Asante kiongozi, this is useful. Mengine ya ziada Kama yatakuwepo nitakutafuta inbox
  2. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Citizen B, Thanks Kaka kwa hiki kipande! Inaonesha una maarifa na hii sekta. Naomba tumegee na part B. Na Kama hutojali na aina ya mikataba wanayoingia na Hawa underground
  3. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Ok una maanisha mtu mwenye kuja na style yake unique lakini yenye mvuto sio? Na hapa waweza tumia vigezo gani kupima uwezo ?
  4. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Hapana Kaka nipo kwenye stage ya kuchakata idea. Kupata opinions za wadau hasa wenye uzoefu na hii industry
  5. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Naomba kujua sababu zinazoweza sababisha kupoteza hela Kama nitafanya kupitia kwa wasanii wengine chipukizi. Shida inakuwa wapi Kama utapata mtu mwenye kipaji ambacho kinaeza fikia viwango vya Alikiba au Diamond?
  6. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Hapana sio msanii Kaka. Ila nataka kuwekeza kupitia wasanii kwa kusaini nao mikataba na wanatoa hatimiliki ya kazi zao kwangu
  7. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Sawa sawa mkuu......ngoja wajuzi wa mambo watumegee undani wa hii industry......maana nataka kuwekeza lakini nahitaji kujua undani wake
  8. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Sina uelewa na hiyo terminology Kaka.
  9. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Mwenye uzoefu wa muziki wa bongo flavor especially ambaye anajua jinsi makampuni ya ku-promote muziki wa bongo flavor yanavyofanya kazi hasa na wasanii wanaoibukia. Naomba uzoefu hatua kwa hatua kuanzia kwenye kuingia mikataba na Hawa wasanii Hadi kurekodi, kufanya promotion na split ya mapato...
  10. C

    Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

    Ndio maana siku hizi vijana hawataki kuoa. Na akioa ndoa haichukui round inavunjika. Bahati mbaya Sana ukikosea ukaoa mwanamke mbinafsi yaani hilo linakuwa zigo maisha yako yote. Na bahati mbaya ikukute Mambo ya kiuchumi yakayumba na mwanamke maisha yenu yote alijikita kwenye urembo wake...
  11. C

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Nimesoma hii thread mwanzo mwisho. Pia nimewahi kupambana Sana na CRDB kupata refunds zangu ....same same scenario Kama mtoa mada alivyozungumzia mwanzo. Kwa kweli ni shida na inachukua muda kupata refunds zako tofauti na benki zingine. Tatizo nililoliona kwenye hii thread ni kwamba imevamiwa...
  12. C

    Njia nzuri na rahisi ya ujenzi wa ghala la kuhifadhi nafaka ( warehouse / godown)

    Document hiyo hapo mkubwa. Ukiisoma kea utulivu utaona Kuna information ya kutosha kabisa
  13. C

    Njia nzuri na rahisi ya ujenzi wa ghala la kuhifadhi nafaka ( warehouse / godown)

    Sawa naiweka hapa mkuu Haina neno.......maana niliipata mtandaoni na ni open source file
  14. C

    Njia nzuri na rahisi ya ujenzi wa ghala la kuhifadhi nafaka ( warehouse / godown)

    Hahahaha usijali mkuu ...nilishapata elimu ya kutosha offline, FAO wana andiko lao offline ambalo ni free of charge wameelezea vizuri Sana hizi issues za construction ya godowns Especially kwenye developing countries. Ukubwa na gharama kwa kutumia brick and mortar. Sikupenda kwa kuanza na...
  15. C

    Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    Usijipe uhalali kwamba wewe ndio mkamilifu. Na hiki ulichokiandika ni one sided story. Hatujasikia ya upande wa mzazi wako .......ana malalamiko gani juu yako, huenda nae amefanyiwa vitu visivyofurahisha japo ana makosa yake. Kama vile kutolewa lugha ya kebehi .....kwa sababu ulimpa pesa zako...
  16. C

    Njia nzuri na rahisi ya ujenzi wa ghala la kuhifadhi nafaka ( warehouse / godown)

    Sawa mkuu.....lakini ungeshauri heading iwejewe ingependeza zaidi .......maana wengine sio waandishi wabobezi
  17. C

    While Slyvia Mulinge large at their disposal, Safaricom brought back Michael Joseph as a CEO

    Hiki ulichoandika sio sifa" the most profitable" ila inaonesha the highest level of stupidity mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya mawasiliano kupitia serikali ya Kenya iko nayo. These are foreign corporates zinazofanya unyonyaji uliopindukia kwa wananchi. Yaani mnapigwa left, right, centre...
  18. C

    Njia nzuri na rahisi ya ujenzi wa ghala la kuhifadhi nafaka ( warehouse / godown)

    Habarini za Leo wanajumuia? Naombeni mwenye uelewa wa njia rahisi na nafuu kwenye ujenzi wa ghala la kuhifadhia nafaka. Ningependa ushauri wa kuhusiana na vipimo, materials za ujenzi Kati ya cement blocks, steel prefabs au za kuchoma. Kwenye vipimo napenda kujua ghala dogo kabisa ushauri liwe...
  19. C

    Developer mwenye uzoefu na android studio java

    Kuna mobile application nataka kutengengeza. Nahitaji developer mwenye uzoefu kwa ajili ya kushirikiana nae. Awe na muda na yuko based dar es salaam. Please pm ili tuwasiliane.
Back
Top Bottom