Hatuhitaji kujua aina ya visimu mnavyotumia, ni ushamba mkubwa heti kwa kuwa unatumia simu ku google, basi unafikiri uko juuu saaaana! Lo! eti 'sent from my nokia asha, ...... sent from my blackbel' Hivi tangu simu zimeanza kutumika Tanzania nyie ndio kwanza mnaanza kutumia internet kweye simu...
Mbali na kuongeza gharama maradufu za kutumia Internet kwa wanaotumia modem, ni wiki moja sasa mtandao huu umeelemewa kabisa, hata kufungua email inashindikana! yaani ni zaidi ya slow. ninachofurahi imenifanya kupata mbadala iliyo bora zaidi. kwaheri airtel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.