Search results

  1. HeartBreak

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Inauma sana...." Amani haipo Tanzania"...pumzika kamanda
  2. HeartBreak

    Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    pumzi wamaishiwa.....watarudisha pesa yetu....
  3. HeartBreak

    Yanayojiri Uzinduzi wa ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo. Serikali ya Oman, China & TZ wapo

    hakuna lolote....baada ya kufanya bandari ya mtwara na tanga ziwe imara.....mtu anaangalia kwao
  4. HeartBreak

    Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

    hapo ndio waweza kutambua kiongozi ni mama......anajua, anaelewa baba yuko katika vita!!!! lowassa anatosha
  5. HeartBreak

    Changia UKAWA/Lowassa kwa Tigo Pesa, M Pesa na Airtel Money kwa njia hii

    tutachangia kwa nguvu zote, ccm ifutike kabisa...........
  6. HeartBreak

    Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    wale wote watanzania wasinaompiga maneno ya chuki lowassa, wamekosa uzalendo wa nchi ya tanzania......kwani lowassa ana nini? kuwa ukawa ni dhambi......tatizo lenu ccm ni nini kwa lowassa......watanzania wamechoka sana na maisha magumu....watanzania wamehamua wanataka mabadiliko katika mfumo...
  7. HeartBreak

    Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    mtu mwenye chuki hawezi kupata kura hata siku moja
  8. HeartBreak

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    ccm wengi ni mambulula kabisa....iki ni kipindi cha kampeni, wao wanabaki kuwasilikiza wakina lipumba, slaa....na wengine na kutumia vyombo vya habari kupotosha umma.....watanzania tufikie hatua ya kuangalia sera na mtazamo ya nchi yetu!!! mtu yoyote anayeongelea mtu....huyu ni masikini wa...
  9. HeartBreak

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Sijaona wanachokizungumza zaidi ya kumuongelea lowassa...lowassa, sera hawana kabisa
  10. HeartBreak

    Urais 2015: NEC yamuidhinisha Lowassa na mgombea mwenza kupeperusha bendera ya CHADEMA

    Rais wetu.....tanzania mpya, umaskini tutausikia kwa majirani zetu.....lowassa ndio rais 2015
  11. HeartBreak

    Lowassa katika mtihani mzito, kashfa ya Richmond kufufuliwa upya

    IMANI WALIKUWA NAYO WATANZANIA KWA LOWASSA.....hakuna wa kutudanganya.....Lowassa ndio rais, bado kuapishwa.........ccm stop talking about lowassa......
  12. HeartBreak

    Easter Bulaya apewa fomu ya Ubunge kwa mbinde

    ester ni mwiba kwa wasira, mzee yule kaondoka tayari, akapumzike
  13. HeartBreak

    Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

    hata usime fact zote, huwezi kuzuia mafuriko, wala huwezi kudanganya watanzania .....october 25 /10/ 2015 utaona mabadiliko ndio utajua swala wanaweza kukubadilisha na ukafurahi kuisha maisha mazuri katika nchi nzuri Tanzania...............usiwe mjinga kupoteza muda kufikiria mtu ambaye...
  14. HeartBreak

    Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

    umetumwa na ccm....huwezi kumuelewa wewe tu
  15. HeartBreak

    Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

    umekwisha kisiasa mpaka kiakili.......ccm wanajua kutoa rushwa tu!!! wameshindwa kutupatia maisha bora.....
  16. HeartBreak

    Kanda ya Ziwa ni Lowassa

    kanda ya ziwa.....wanaelewa na wanajua ccm ilichokifanya....utajili wa ziwa, madini umekuwa hadithi kwa kizazi cha wasukumu.......magufuli ni mtoto mdogo sana....lowassa ndio rais
  17. HeartBreak

    mafuriko ya lowassa

    Ni katiba tu....leo lowassa angeingia ikulu kabisa....oct 25 ni mbali sana
  18. HeartBreak

    Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

    nchi hii si mali ya ccm, kova utaumia bure........acha watu wamsindikize rais wa 2015
Back
Top Bottom