Search results

  1. S

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Naomba mawasiliano yako na mm kama hutajali plzzzzz
  2. S

    Mpenzi wangu Hataki NIOGE nk nk!!...!

    ucjali sana mimba ni kipindi cha mpito...yataisha tu mimba ikikomaa
  3. S

    Madhara ya mchele mbichi kwa mjamzito

    Habari waungwana...mm ni mjamzito wa miez kadhaa hv..tatizo langu ni kutafuna mchele mbichi jamn..na nimeanza hv karibun kila baada ya masaa 6 hv lazma nijisikie kuutafuna mchele..je kuna madhara yeyote juu ya hili..na km ndio nn nifanye mbadala ili niache kabisa hii tabia.???
  4. S

    Jinsi ya kupika Macaroni

    Jaman mwenye kujua namna ya kupika macaron ya nyama ya kusaga..ama sphaghett anisaidie..maana napenda sana huu msosi ila cjawah kuupikaa....
  5. S

    Msaada wa ajira

    Haa haa....huna shida ya kazi hapa kuna nafassi ila take home n 400000...kumbuka mshahara unapenda kuendena na viwango..km vp endelea kusubiri tu kwingne kwa laki 6
  6. S

    Namna ya kupika mtori

    Ahsante ntafanya kwa maelekezo...samahan lazima ndizi mshare...?
  7. S

    Namna ya kupika mtori

    Msaada jaman...naomba kuelekezwa namna ya kuandaa mapishi ya mtori..
  8. S

    Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

    Sasa ccm imehusika vp hapo...ushabiki wa kisiasa kwenye majanga hauna maaana!!!!
  9. S

    Ukiona Msichana anakwambia hizi sentensi wala usijisumbue kumuoa...

    Na huyo demu atakuwa kaona hamna dalili za ndoa hata miaka 20 hapo!!!
  10. S

    Barua kwa Mchumba Wangu (Kama haikuhusu usisome)

    Haaa haa 5 years...poleeee
  11. S

    Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

    Hongera ww unajua..ila km ulimpenda nina hakika ungemfundisha..coz naamin hata ww hukuzaliwa unajua......
  12. S

    Hivi inawezekana?

    Mapenzi yamepungua km c kuisha kbs!!!haiwezekani mnakaa mji mmoja na umpendae umalize mwezi hamuonani eti ubusy!!!!!hakuna kitu hapo chunguza!!
  13. S

    List ya madem inanitesa

    Mkuki kwa nguruwe daftar kwako lilifuata lini?au ww mwalimu wa rafiki yako ulikuwa unamsahihishia!!!dawa n kubadili tabia tu hamna njia nyingne!!!na sion cha kuumia ww km anakufuatilia na ww hufanyi hayo!!!ww mwache akufuatilie atachoka mwenywe atakaporidhika!!!
  14. S

    Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

    Ukome kuonja onja!!!sio chakula hicho kumbe unae mke unaeishi nae ulikuwa unahangaika nn ss??
  15. S

    Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

    Ukome kuonja onja!!!sio chakula hicho kumbe unae mke unaeishi nae ulikuwa unahangaika nn ss??
  16. S

    Badala ya kushuka Kimara Mwisho nimeshuka Ubungo terminal...

    mmmhhh kwa hali hiii ukimwi hauishi kbs
  17. S

    Mapenzi ya mbali yananichanganya!

    Mfuate huko aliko ndo utapata majibu ya maswali yako na utajua nn ufanye!!!
  18. S

    Gharama za vidate..

    So hata mkeo mtakuwa mnaishia hotel co?muhimu tafuta kwako pafanye utakavyo km a/c na kila kitu..nina uhakika migharama isiyo na lazima itapungua..pia utulizane..
  19. S

    Wanaume stress tupu!!

    Mmmmmhhh balaa..
Back
Top Bottom