Search results

  1. L

    Mzozo ndani ya Chadema umeandaliwa kwa stadi na Chadema wenyewe

    Niko hapa na rafiki yangu ananiambia kitu ambacho kimenivuta na kunielekeza kwenye fikra pana anasema analysis yake aliyoifanya tangu mtafaruku uanze na scenario nzima inavyendelea anadhani huu mpango ulipangwa kwa ustadi na chadema kufikisha ujumbe kwa TISS na Utawala wa Jakaya kwamba wanajua...
  2. L

    Mwigulu Christina Arey anakuita ukampe maji

    Wananchi wa Iramba wanashangaa mbunge wao kutokemea kusiko julikana huku akiwaachia adha ya maji kwa miezi miwili huku watoto wakipata ukurutu na kuhara sana wanajiuliza wana mbunge kweli au kuku wa kieyeji anazurura bila kujua njia source ITV
  3. L

    Nusu ya wakurugenzi wa Halmashauri wezi wakubwa nchi yamalizwa

    Leo gazeti la mwananchi limetoa taarifa inayoonyesha ripoti ya ukaguzi iliyobaini ubadhirifu na wizi mkubwa wa fedha za umma kwa kushirikiana na wafanyakazi wa wizara ya fedha,takukuru na Ikulu duh maweee nchi imekwisha watanzania tunakenua tu
  4. L

    Mnyika toa hoja kwa spika kamati ya nishati na madini waelekee mtwara

    Mh.Mnyika kama utapita hapa nakushauri utoe hoja kwa spika jioni hii aamulu kamati ya nishati na madini waelekee mtwara jioni hii kwenda kuwasikiliza wananchi hasira zao zinazidi wanapoona wanadharauliwa tafadhali zingatia
  5. L

    Mwakyembe na Tizeba wanarembua macho

    Jamani Pauline Geukul mbunge viti maalum chadema, Babati leo ametoa kali eti Mwakyembe na Tizeba wakiwa kwenye vikao vyao vya baraza la mawaziri huwa wanarembua macho tu badala ya kupambana kupata mgao wa fedha nyingi kwenye wizara yao anashauri waache kurembua macho ha ha joke of the day
  6. L

    Msigwa awatetea Wamachinga kwa ukandamizaji wanaofanyiwa na Serikali

    Peter msigwa asema sera za CCM zilizoshindwa za kuwasaidia vijana wafanya biashara ndogondogo maarufu kama wamachinga na kuwatumia kisiasa na kuwatupa kama matambara mabovu zikomeshwe kuanzia sasa
  7. L

    CHADEMA yastahili tuzo ya dhahabu ya JF

    Nimefanya utafiti kwa kipindi cha siku 90 nimegundua asilimia 98.5% ya mijadala ya kisiasa kwenye jukwa la siasa imejikita katika kujadili ustawi na maendeleo ya chama kikuu cha upinzani nchini iwe maoni ya wana JF ya kukipa sifa chama hicho au ,kukituhumu,au kukirekebisha Viongozi wa...
  8. L

    Manaibu katibu wawili wanapoungana kuangamiza siasa za ushindani

    Naanza kuona kwamba nchi haipo salama kwa kufuatia habari za vijana wawili ambao ni manaibu makatibu wakuu wa vyama vikuu na kujihusisha na uhujumu wa chama Kikuu cha upinzani najiuliza je wao watafurahi wananchi kutumia njia zisizo sahihi kushiriki mambo ya siasa je wanaamini CCm bado ni...
  9. L

    Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    Sote tunatambua JF ni kisima cha taarifa, watu wanafahamu mambo mbalimbali ambayo kwa kweli yamefanya Jamvi hili kuwa ndio kitovu cha habari nchini kwa sasa kwa namna nyingine naweza kusema ndio CCN yetu manake tukio linaripotiwa papo papo naombeni wana JF wenzangu nimfahamu Denis Msaki Ni na...
  10. L

    KIKULA WA UDOM NA Propaganda za kisiasa

    Kikula Mkuu wa chuo leo kasema chuo kimedahiri wanfunzi wachache kwa jili ya ukosefu wa walimu lakini akasema kwa sasa wameajiri walimu kutoka India,Korea,China,Japan,Marekani,Uingereza wakati waalimu wasaidizi wakipelekwa kusomea PHD Source :Taarifa ya habari saa mbili Star TV my take KIkula...
  11. L

    Yathibitika Raisi KIkwete ashindwa kudhibiti utoroshwaji wa madini

    Gazeti la Habari leo tarehe 17/01/2013 ukurasa wa mbele limeandika kuwa imethibitka kuwa utoroshwaji wa madini umekithiri katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere My take Kama Raisi Kikwete ameshindwa kuweka udhibiti kwenye madini yanatoroshwa kwa kiwango cha kutisha unadhani gesi ataweza...
  12. L

    Gesi yaibomoa CCM

    Gesi yaibomoa CCM • JK, mawaziri, wabunge wapingana na Josephat Isango SAKATA la maandamano yaliyofanywa na wananchi wa mikoa ya kusini kupinga mradi wa gesi, limekivuruga vibaya Chama cha Mapinduzi. Habari za kuaminika kutoka ndani ya serikali na chama hicho, zimesema kuwa...
  13. L

    Katibu Mkuu wa CCM unasemaje askari kujiingiza kwenye uuwaji wa Tembo

    Nataka Katibu mkuu wa CCM aje ape anipe jibu hivi imekuwaje yupo kimya,kuhusiana na matukio ya askari polisi kuonekana wakijiingiza kwenye uuaji wa Tembo na uusafirishaji wa pembe na meno ya tembo ,kama kiongozi haoni anatakiwa kutueleza ni kwa nini askari wameejiingiza kwenye biashara ya meno...
  14. L

    Yahya Mohamed na 'Songombingo' kwa Dr Ulimboka

    Yahya Mohamed, wewe ni memba hapa JF naomba unipe jibu: Hivi ni kweli Waandishi wa habari waache kumwandika DR Ulimboka kwa sababu wanampa kichwa na wananchi wamechoka habari zake? Je, ni kweli madaktari wanamuona Dr Ulimboka anafanya nchi isitawalike na wanamuona ni mchochezi? Je, uliyosema...
Back
Top Bottom