Search results

  1. OMBUDSMAN mtoto

    Serikali yangu ya CCM na suala la Gesi: Something is wrong here!

    Muulize Kiongozi wa Masalia na propoganda anayewania kuingia Ikulu ana majibu yote.
  2. OMBUDSMAN mtoto

    Ole Sendeka apigwa marufuku kufika jimboni kwake Simanjiro na wazee wa kimila

    Uongozi si kupiga kelele. Ndani ya katiba mpya tunaweka mfumo wa kuwafanyia tathmini Wabunge na kuwawajibisha mara moja pasipo kusubiri eti muda wake uishe! Hii ndio itakuwa kiboko ya waongo na vigeugeu hawa.
  3. OMBUDSMAN mtoto

    Kizungumkuti cha gesi

    Ama kweli JF kiboko!!!
  4. OMBUDSMAN mtoto

    Mgogoro wa Gesi Mtwara: Zitto Kabwe anapotosha Umma

    Ni lini aliwahi kuuweka umma sawa, huyu mtu? Mtu wa kutafuta cheap popularity maana utasikia ameshika karatasi anatafuta signatures za kumng'oa Waziri Mkuu n.k. Alisema anaweza kuwaumbua walioficha mabilioni Uswiz kupitia rafiki zake tunasubiri tuone. Ni yeye aliye mtetea mwizi Mhando; Ni huyu...
  5. OMBUDSMAN mtoto

    Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

    Katika jambo la wazi linaloeleweka; ukiendelea kusema huelewi; mwenye akili timamu na mwenye shule iliyosimama anayekusikiliza lazima aseme "sijui tatizo ulilo nalo". Ila kwa wasio na akili timamu na wanafiki lazima waseme najua tatizo lako na mwisho wa siku hawawezi kukusaidia. Well done Prof...
  6. OMBUDSMAN mtoto

    Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

    Kila wakati ukiuliza watu kwa undani nini kinatakiwa; ni maneno ya kinadharia tu hakika hakuna ambacho ambacho hakijaelezwa". Utasikia wanasema kama huyu: "POINT TO NOTE: WanaMtawara hawakatai gesi isisafirishwe kwenda Dar es Salaam, bali wanataka waelezwe ni kwa vipi watafaidika na rasilimali...
  7. OMBUDSMAN mtoto

    Mzimu wa Nyerere: Gesi ya Mtwara ni tatizo dogo ebu fuata maagizo yafuatayo

    Si Bunge linakutana? Hii iwe ndiyo agenda number one. Lizungumzwe kwa kina na uwazi na kuwekewa utaratibu ili utaratibu wa hizi rasilimali ujulikane na namna ya kuzifahidi ujulikane kabla kila mkoa na wilaya haujazuka na kudai vyake. Halafu jambo kubwa ni kuhakikisha kuwa wananchi...
  8. OMBUDSMAN mtoto

    Mshitakiwa Kesi Ya EPA Ajiua kwa Risasi

    Haya mambo ya hivi yanaleta giza sana. Hivi kweli mtu anayekabiliwa na kesi kubwa ya wizi wa ufisadi eti anajiua halafu tunaambiwa kirahisi rahisi hivi bila kuwa na uthibitisho usio na shaka. Hivi hakuna wenye hekima kushauri namna ya kudeal na mambo tata kama haya sawa na lile kifo cha Balali...
  9. OMBUDSMAN mtoto

    Mtangazaji makini lakini...........

    Huwa ninamkubali bibi Fatma Almas Nyangasa kwa jinsi anavyojitahidi katika kazi yake ya utangazaji. Kwa ujumla anafaa sana. Lakini kwa muda fulani sasa nimegundua anapokuwa kazini Alfajiri (12.00 na kuendelea) huwa amenyongónyea sana, anaoneka kutokuwa na furaha na pia kama vile bado yuko...
  10. OMBUDSMAN mtoto

    Je prof. Muhongo anashughulika na asichokijua?

    Kote walipopiganga walianza kwa kusema hatutapigana haya subiri uone kama wewe hutaki kujifunza. Ninachosema ni kuwa mradi wa hao watu si wa kutafuta suluhu toka upande wowote, bado huelewi!! unafikiria mimi naongelea hapa bomba!! Yaani kuna watu leo hii wanafikiri suala la mataifa makubwa...
  11. OMBUDSMAN mtoto

    Je prof. Muhongo anashughulika na asichokijua?

    " Dunia yote yenye demokrasia ukijaribu mara mbili na kushindwa unawaachia wengine. Halafu kiongozi wa masalia katubu eti kakosea nini ebu nikumbushe na wewe unajifanya great thinker wakati unatoa msamaha kwa kile usichokijua!
  12. OMBUDSMAN mtoto

    Je prof. Muhongo anashughulika na asichokijua?

    Wewe ndiye umeonyesha busara kwa kutoa msamaha kwa msaliti ambaye hataji hata kakokosea nini?
  13. OMBUDSMAN mtoto

    Je prof. Muhongo anashughulika na asichokijua?

    Kwamba yale maandamanona malumbano ya wana Mtwara na sasa Taifa zima kuingia katika mjadala juu ya uvumbuziwa gas yameungwa mkono na baadhi ya Wanasiasa wa upinzani na hata wachache wa CCM ni kweli. Kwamba Mkoawa Mtwara na mingineyo mingi wana umaskini iliokithiri ukilinganisha na minginenchini...
  14. OMBUDSMAN mtoto

    Lowassa, Meghji, Airo hoi bungeni

    Sasa waseme nini kama hawana cha kusema. Simple: Ama ni kutokana na uwezo mdogo wa kuchambua yanayoendelea Bungeni au anakuwa hana cha kupinga Mafisadi au kuwashambulia mafisadi endapo yeye naye ni mmoja wao au ni wakala wao!
  15. OMBUDSMAN mtoto

    Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

    Alichokifanya ndio kazi aliyoitaka na akapewa. Zitto hawezi kuomba msamaha huyu maana CCM itamshangaa na kumtapika. Hata suala la kutaja wenye fedha Switzerland ni moja ya mikakati yake ya kisiasa ya kutupa mashambulizi ya kupumbaza watu mapema kujihami au kutimiza lengo lake au la waliomtuma...
  16. OMBUDSMAN mtoto

    Jamani: Tujikumbushe (2010) kuhusu zitto

    Alichokifanya ndio kazi aliyoitaka na akapewa. Zitto hawezi kuomba msamaha huyu maana CCM itamshangaa na kumtapika. Hata suala la kutaja wenye fedha Switzerland ni moja ya mikakati yake ya kisiasa ya kutupa mashambulizi ya kupumbaza watu mapema kujihami au kutimiza lengo lake au la waliomtuma...
  17. OMBUDSMAN mtoto

    Makavu Makavu kwa CHAKUUWAWA

    Puppy unaona hii thread itafichwa mbali sana lakini nitaiibua popote watakapoiweka maana inachoma mkuki moderator yeyote anayetaka kuichakachua. Na nitaipeleka katika mitandao yote . Tusichezewe hapa na watu wasaliti wanaotukana watu wazima na wazee wakati wao ni walafi wa nyadhifa. Unajua JF...
  18. OMBUDSMAN mtoto

    Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Shukrani Mnyika. kwa hekima pia pitieni na mawazo ya watu hapa maana hapa kuna vichwa. Ukweli usiopingika Kijana mwenzenu Zitto kawasaliti chama na pia kajidhihilisha katika yale yaliyosemwa toka zamani. Mimi Ombudsman baada ya kupima yaliyosemwa na pia ushahidi wa kimazingira wa jinsi kijana...
  19. OMBUDSMAN mtoto

    Majengo haya yangebomolewa na serikali hali ingekuwaje duniani?

    Hapa ni mahali pazuri sana. Ukifika unafurahia historia ya kale kama vile uwapo Bagamoyo. Ni vyema historia hii itunzwe
  20. OMBUDSMAN mtoto

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    Misemo ya jembe ni kishamba na imepitwa na wakati. Huyu kijana kachezea nafasi yake kwa ulevi tu wa madaraka. Hafai kabisa. Halafu nafurahi sana jinsi ambavo hachukuliwi hatua maana hii inamkosesha usingizi akisubiri nini kitatokea kama mtu aliyefumaniwa na asisemeshe chochote.
Back
Top Bottom