Search results

  1. Inqusitor

    Uwajibikaji wa serikali yetu ya JMT

    Unaweza kupima kwa kuangalia jinsi gani kiongozi ameweza kushirikiana na team yake kufikia malengo. Kama wameshindwa the key players kwenye management hawana uwezo
  2. Inqusitor

    Uwajibikaji wa serikali yetu ya JMT

    Habari wadau Ninawazo la kuanzisha web application itakayokua inahusika na uwajibikaji wa serikani ikijumuisha baadhi ya mambo yafuatayo:- 1. Uwezo wa viongozi walioteuliwa. Kuanzia rais mpaka viongozi atakao wateua 2. Kutimizwa kwa ahadi walizofanya wakati wa kampeni 3. Uwazi na uwajibikaji...
  3. Inqusitor

    Ukipewa milion 65 utarudisha ngapi kwa mwaka?

    M45 Ingekua rahisi kujua ni sh utampa kama ungekua mmekubaliana interest rate ila kwa vile bado tuendele Kwa sababu wewe ndo unaifanyia biashara hiyo pesa, unaweza ukafanya makadirio unategemea kupata sh ngapi ukishafanya biz kisha :- 1. Mkiwa mnakubaliana interest rate wewe utashikilia...
  4. Inqusitor

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    Mimi naamini waafrika sisi sio masikini ila wengi wana ugonjwa unaitwa inferiority complex. Wanashindwa kujiamini. Kwa sababu ukiangalia wapo waafrika na wanafanya vizuri. Wana skills. Mfano Kenya wametop China juzi, Dunia inaongozwa na mtu mwenye genetics kutoka Afrika, Dangote, Mengi nk. Sasa...
  5. Inqusitor

    Ushauri pls

    Ladykiokote mawazo yangu ni yafuatayo:- Ki ukweli ni kwamba kuchukua mkopo bila kuwa na plan ni tatizo ila kwa vile ishatokea tuiweke pembeni Cha msingi ni ajaribu kutulia kwanza na hiyo pesa japokuwa ukiwa na pesa matatizo na vishawishi vinaongezeka Kama anataka kufanya biashara: Kama...
  6. Inqusitor

    Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Ha ha ha. Mimi nilikuwa nacheka tu bila kujizuia. Ilikuwa ni feeling poa sana Pia nilipata usingizi mtamu balaa
  7. Inqusitor

    Naomba mniwekee njia za kupunguza uzito

    Ndugu,kichwa ndio mtu unataka kufanikiwa kupunguza uzito kuna product inaitwa CLEAN 9,hii product ukiitumia unaweza punguza kilo 4 mpaka tisa kwa siku tisa na wakati ukiwa unaitumia unashauriwa kufanya mazoezi mepesi kama kuruka kamba,kupanda ngazi na kukimbia....for more information u can...
  8. Inqusitor

    Hivi vazi la taifa limekwenda wapi?

    Rem bado anadesign na ataendelea kudisign ili waje kuipigia kampeni 2015...------- kabisa hii serikali ya Mr mchezaji wa timu ya simba flan ivi...
  9. Inqusitor

    Japan yaitangaza Tanzania kuwa Kitovu cha Uwekezaji, viwanda. Honda kujengwa nchini

    Japan ni nchi iliyokua sana na imara kiuchumi na kidemocrasia.Sio vibaya kutusaidia lakin nafikiri hatujajianda kusaidiwa... Huo ujumbe ni sawa na kusema Tanzania ni koloni la kijapani kwanzia sasa.Acheni tripu zenu za kila siku......
  10. Inqusitor

    50% of the people failed to answer it correctly, Lets see what you guys comes up with..!!

    Ndugu, MziziMkavu hesabu ya wapi hiyo ya kuleta jibu moja? Hakuna mabano ya kufanya +sign ianze kabla ya /sign. Hapo lazima tuanze na kugawanya kama ni hesabu ya kawaida tuliyofundishwa. Labda kama ingekua (6-1)*0+2/2. Hapo jibu ndo moja.
  11. Inqusitor

    50% of the people failed to answer it correctly, Lets see what you guys comes up with..!!

    Hapo sio hesabu hata kwa sababu jibu keshakupa. The answer is ?
  12. Inqusitor

    Lipi kati ya haya bado unafanya?

    Kombolelaaaah bila kusahau kibababa na kimamama na kinguonguo.hahahaha
  13. Inqusitor

    Lipi kati ya haya bado unafanya?

    Nakuziponda ponda pia...hahahaha
  14. Inqusitor

    Lipi kati ya haya bado unafanya?

    Hahaha duh!kali hii
  15. Inqusitor

    Lipi kati ya haya bado unafanya?

    Hahahahaha ili uweze kupiga mziki siku nzima wakati una kanda moja ya Awilo na radio 1 ndo inashika.hahahaha.
  16. Inqusitor

    Hp pavilion dv6 problem

    Web engineer,Ingekua poa kama ungegoogle ungepata majibu poa zaidi ya nitakaya jaribu kukuelekeza. Best of luck kwenye kusolve tatizo.
  17. Inqusitor

    Moshi town na sikukuu za xmass.

    Hahahaha Toroka uje ni respect kwa ile kitu....Dah nimepamiss mbayaaa
  18. Inqusitor

    iphone 5s yaleak baadhi ya features. Next generation apple smartphone

    Hahahaha dunia ya apple iko poa mbaya hahaha.Nafikiri they are working on it hvyo iphone 5s itakua poa..
  19. Inqusitor

    Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

    Swali zuri sana,Msindima watu wengine wanamatatizo ya kufikiri.
  20. Inqusitor

    Massanja Mkandamizaji

    Tehe tehe tehe...hahahaha
Back
Top Bottom