Search results

  1. Sam pizzo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umetembea na sheng mulemule bado upo Nai?
  2. Sam pizzo

    Natafuta hii Pandora dongle

    Nairobi inapatikana kwa laki sita za kitanzania
  3. Sam pizzo

    Wireless video door bell,,wapi inapatikana

    Kuna hiyo inapatikana na Tshs 130,000 hadi 120,000
  4. Sam pizzo

    Wireless video door bell,,wapi inapatikana

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1953995/
  5. Sam pizzo

    Wireless video door bell,,wapi inapatikana

    Nairobi zipo nyingi mkuu,nitafute tuongee https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1953995/
  6. Sam pizzo

    Wireless video door bell,,wapi inapatikana

    Hapa Nairobi zipo nyingi tu pesa yako
  7. Sam pizzo

    Mtandao wa Twitter una tatizo?

    Update to X. Kama tayari kuna bugs nyingi mojawapo ni hiyo buffering ,picha hazionekani na video ukiplay inastuck ... Solution: Nenda kwenye app info and clear cache then restart the app ... you are good to go
  8. Sam pizzo

    "Sote watatu ni wapenzi na tunalala kitanda kimoja"

    Mwanamke hawezi kuishi bila Mwanaume kwa sababu nyingi sana mfano social security,finance ,physical work
  9. Sam pizzo

    Duka gani linauza brand new canon camera kwa Dar es Salaam?

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1953995/
  10. Sam pizzo

    Duka gani linauza brand new canon camera kwa Dar es Salaam?

    Mkuu Nairobi utapata kwa bei nafuu kushinda huko Dar es salaam sababu huku kuna official agents wengi wa kampuni za Tech
  11. Sam pizzo

    "Sote watatu ni wapenzi na tunalala kitanda kimoja"

    Hao wanawake wawili wote wana jinsia mbili kwahiyo wanasaidiana kuridhishana kwenye jinsia ya kiume, na huyo Fletcher (mwanaume anawaridhisha hao wanawake wote wawili)
  12. Sam pizzo

    Tukiachana na Flagship phones, nipe ushauri wa Mid range smartphones ukitoa Tecno na Infinix!

    Nairobi simu zina unafuu kushinda Dar es Salaam hata wauzaji wengi huchukua simu huku na kuziuza huko,Nitafute tuongee biashara mkuu
  13. Sam pizzo

    Authorized dealers wa Google Pixel Tanzania

    Screen ya pixel 4xl kwa hapa maduka ya Nairobi bei yake ni around 150,000Tshs hadi 160,000Tshs so hadi ikufikie Dar es salaam itakua 210,000Tshs Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  14. Sam pizzo

    Michael Macharia Njiri (Dj Brownskin) aliyemrekodi mkewe akijiua ashtakiwa kwa kusaidia kujiua

    Kwao ni kama kuna shida kidogo ya akili maana mama yake wiki iliyopita amekamatwa Uganda na madawa. Na huyo marehemu alizaa na mjaluo ndio wakaja kuzaa na Dj Brown Skin Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  15. Sam pizzo

    Michael Macharia Njiri (Dj Brownskin) aliyemrekodi mkewe akijiua ashtakiwa kwa kusaidia kujiua

    Mkuu samahani nikusahihishe ,Dj Brown skin si mfupi ...2weeks ago nilikutana naye maeneo ya mahakamani na alikua akinieleza hiko kisa Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  16. Sam pizzo

    Authorized dealers wa Google Pixel Tanzania

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1953995/
  17. Sam pizzo

    Authorized dealers wa Google Pixel Tanzania

    Kuna shop unapata na 860,000Tshs Google Pixel 6a (6GB ,128GB)
  18. Sam pizzo

    Mahitaji na manunuzi ya vifaa vya kielektroniki kutoka Nairobi

    TCL tv 43inch P735 4k (2022) model ipo na offer retailing @ 36,000kshs sawa na 650,000Tshs
  19. Sam pizzo

    Authorized dealers wa Google Pixel Tanzania

    Mkuu chukua huku Nairobi kwa authorized dealers
Back
Top Bottom