Search results

  1. M

    Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Diamond hana ishu
  2. M

    Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Hujaelewa ww siyo wote. Diamond yuko upande 'wao' siyo mwenzetu.
  3. M

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Pia Tume ya Mwakyembe haikumhoji kwavile hakuwa na hatia...Ilimsafisha!
  4. M

    Naomba yafuatayo Magufuli ayaweke wazi ili tumpigie kura

    Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM alipopewa nafasi ya kuwaeleza wajumbe machache baada ya kushinda mchakato, alisema ataendeleza yote aliyofanya Kikwete; Bandugu, ni yale yale hakuna jipya.
  5. M

    CNN leo wamemkumbuka Filbert Bayi

    Juma Ikangaa ndiye alikuwa kiboko ya wote.
  6. M

    TANZIA: Meja Jenerali Makame Rashid afariki dunia

    Nilikuwa JKT Oljoro operesheni Programu ya chama. Mkuu wa kikosi alikuwa Brig Gen Karubi. Kila wakati Maj Gen Makame Rashid akija kambini, ni lazima atafutiwe totoz ya nguvu ya kulala nayo usiku wote...ilikuwa ni kama desturi..unyanyasaji ulikuwepo sana JKT, wanawake walikuwa na wakati mgumu...
  7. M

    CV ya Paul Mzindakaya

    Nakubaliana na maelezo yako, usimhukumu mtu kwa uvaaji wake...mhukumu kwa matendo yake.
  8. M

    method mogella 'fundi'

    Hebu jaribu kukumbuka vizuri, Method hakucheza Umisseta mwaka 1989. Mimi nilikuwa naye JKT Oljoro mwaka 89/90 baada ya yeye kumaliza TCA May 1989.
  9. M

    method mogella 'fundi'

    Sikonge, umemwelezea vizuri sana marehemu Method Aniseth Mogella aka Fundi, Kiraka. Jamaa nilikuwa naye JKT Oljoro kwa muda fulani kabla ya kuhamia Ruvu JKT. Hii deal aliifanya Makame Rashid wakati huo akiwa Mkuu wa JKT ili awe karibu na Simba SC. Jamaa alikuwa poa sana yaani ni BINADAMU haswa...
Back
Top Bottom