Search results

  1. S

    Wachagga na Waarabu Vinara wa Kujifagilia?

    Nissan,Honda,Versace,sean john...The list goes on.
  2. S

    Geor Davie ni nani?

    wajinga ndo waliwao!
  3. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Utakuwa mtoto wewe...Muulize Mrema na washabiki zake Enzi hizo.Moshi imefunguwa macho kabla hujazaliwa?!
  4. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Siyo tu kuchafu mkuu.Hata mahali pa kwenda kwa nusu saa unatumia masaa manne kufika. Kuliko niishi Dar nitabakia Moshi napapenda saana!
  5. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Pamoja na chuki uliyonayo.Tabora mna msikiti mzuri kama huu uliopo Moshi mjini?
  6. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Watu wana plan hadi year 2060 wewe unashangazwa na 2015?Pambaaf! Hutaki unaacha!
  7. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    A couple more kwa wale matomaso.Na hizi ni baadhi tu.Mkitaka more na zenye details semeni.Mkitaka za majengo mapya yanayopanda kwa kasi semeni.
  8. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Halafu si tu usafi na barabara, bali pia mazingira...I love Moshi hata msemeje I will never trade places even with Dar!
  9. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    na wewe huwa unapita barabara kuu tu ukitembea, na unabakia na michuki yako tu inayowajaza upofu....Daamn!Njoo Moshi ujionee na utembee kiukweli mitaani, vijjini nk. acha ufala!
  10. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Nimegunduwa chuki ni kwei inapofusha kabisaa!
  11. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    tuachieni Moshi yetu bana,nyie bakini huko dodoma nk.
  12. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Kama ulifikia Hindu Mandal hapa Moshi, ulitegemea ukirudi ukute imebadilika? Nenda London uniambie ni kitu gani kimebadilika ie majengo yake,toka mara ya mwisho kama ulishawahi kufika huko! Trafalger square haiko vilevile?charing cross?Miji mingine huwa wanapreserve majengo yao ya...
  13. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Moshi inakuwa kimpangilio tofauti na hizo sehemu nyingine ambapo wahamiaji wanaoongeza population,wanaishia kuwa homeless na vibaka.Fuatilia ukuaji wa Moshi ukitaka kujuwa. Unaposema benki zitakimbia una maana gani na wakati zimeongezeka huku mkisema hakuna maendeleo?Ama ni ushabiki na porojo?
  14. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    wewe umesema ukweli.Pia mabenki mengi tu mapya yamefunguliwa.Halafu wanasema hakuna mzunguko wa pesa.Wanadhani hizo financial institutions kazi yake ipi? Moshi imepiga hatua kubwa sana kutokea miaka ya 2000's na kuendelea.Na hata sasa unaendelea kupiga hatua.
  15. S

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Ni Moshi ipi unaizungumzia wewe?Wengi wenu mnahamia Kilimanjaro mnasema ni Moshi? Hili tatizo liko wazi kabisa.Wengi wenu mtakuwa mnazungumzia same,mwanga nk.
  16. S

    Diaspora Home Coming Conference 2014: yafunguliwa Rasmi na Rais JK Serena Hotel leo

    Hata mimi namshangaa huyu le kubwa jinga pamoja na rais jk.Eti wakulima ni lazima wawaconvince wafanyabiashara umuhimu wa kilimo kwenye katiba? Ama wanachotakiwa kufanya si kuweka mwakilishi ili kwamba maslahi yao yasiachwe nyuma kwenye katiba mpya? Kama tayari diaspora ina mwakilishi kama...
  17. S

    Mrema awatambia UKAWA, amuonya Mbatia

    Mrema apumzike sasa aache tamaa ya madaraka.
  18. S

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Kaazi kwelikweli!
Back
Top Bottom