Search results

  1. juma munna

    KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

    kumkamata ponda ni sawa na kumkamata imamu abdurahaman as sudeis wa masjid aharam wa makka tutaandamana nchi nzima bora mumkamate simba wala hamtatuona barabarani:director:
  2. juma munna

    Sijawahi kuona mama mwongo na mnafiki kama huyu mjane

    daud mwangosi chadema mmetangaza mpaka kugawana familia yake na kuihudumia ya ismail hatujasikia lolote mi naamini kabisa huyu mjane hakuna alichoambulia kutokana na rambi rambi za mume wake na hii yote ni kutokana na imani yake marehemu sababu si mkatoriki aiingii akilini afe daudi chadema...
  3. juma munna

    Mhariri Mtanzania: Kwa siasa za shari, CHADEMA kinajifuta; marehemu alikuwa akiifanyia kazi CHADEMA

    kuipa nchi chadema ni sawa na kununua steka ya mabomu yanayokaribia kuisha muda wake kwamba muda wowote yatalipuka kwanza wanaleta siasa ya utatu mtakatifu na kuwa chama cha vurugu kila asubuhi ikulu haiingiliki kwa vurugu zisizo na maana mbadilike
  4. juma munna

    Mwanamke yupi anaefaa kuolewa?

    Nikiwa kama kijana ninaejitambua kwa maana nishakuwa mkubwa sasa kila kitu kinabadilika kutokana na UMRI unavyoongezeka so kama mwana JF mwenzenu nimefikia wakati sasa wa kuwa na mwenzangu ndani ya nyumba ili nipate utulivu. Wanawake ni wengi wenye kila aina ya sifa uzuri na tabia tofauti...
  5. juma munna

    Majambazi wadunga watu sindano za sumu Kilimanjaro

    poleni sana wanainchi wa kilimanjaro naiomba serikali ilitafutie ufumbuzi wa haraka sana jambo hili kwani linahatarisha amani yetu tanzania ni nchi ya AMANI na tunapenda AMANI:A S-heart-2:
  6. juma munna

    Wilaya ya Tunduru hali si shwari

    kwanza kaka steve naomba unapotoa taarifa kama hizi usizipambe saaanaa hayo mambo unayosema kweli yametokea na hali ya amani bado ipo shwari usitoe taarifa za uchochezi mi ni mmoja wapo kati ya waliopata fursa ya kuzungumza leo kwenye ule mkutano ambao mkuu wa wilaya kauitisha vile vile takwimu...
  7. juma munna

    Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    jamani na mie vile vile mgeni humu nataka kujua MMU ni nini?:rockon:
  8. juma munna

    Tunduru: Gari ya mchungaji, mfuasi wake pamoja na nguruwe 6 wachomwa moto

    wa tunduru fanya uchunguzi sahihi wa taarifa yako [kwanza idadi uliyotaja si sahihi pili hoja yako inaenda kidini moja kwa moja ukiwa na maana tukio hili waliofanya ni waislam bila kuwa na ushahidi kamili. Labda tukujulishe kwa taarifa isiyo rasmi matukio haya yanayofanyika ni wenyewe kwa...
  9. juma munna

    mi mgeni humu

    habari zenu mabibi na mabwana bilA ShaKA mko powa namba mnikaribishe ndugu yenu juma munna 4rm tunduru ruvuma ndani ya jF Thankx
Back
Top Bottom