Search results

  1. W

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Hussein, tulikuwa twakusubiri kwa hamu kubwa maana taarifa tulizonazo kuwa jamaa wamekufata ili usigombee so kwa sasa tumefurahi ila kaa ukijua kama ni propaganda tu halafu usichukue form au vinginevyo jua tutakumwaga wewe na hao wanaokushawishi usigombee All the best Mboka Manyema
  2. W

    Mfalme Juha !

    Imekaa vizuri sana hii japo naona Baba H kamponda sana in aonekana BabaH yu mbali sana na fasihi
  3. W

    Spika Aendelea Kuvurunda

    Jamani hebu ifuatiliwe hii maana post ya pili ya mtoa hoja hii inasema kuwa ajira haikufata taratibu za kisheria kwamba ameajiriwa kwa mlango wa nyuma! ingefuatiliwa hii ingekuwa tamu sana kuliko kuanza kumtupia mawe mtoa hoja, tunachoamini JF ni mtambo wa kurekebisha tabia so ifuatiliwe ili...
Back
Top Bottom