Search results

  1. B

    Natafuta kitabu hiki

    jamani natafuta hiki kitabu- kimeandikwa ni cha kulipia na sina uwezo...sipo mjini "Fire use: Is it really the cheaper land preparation method for large-scale plantations? By Dicky Simorangkir" Asante
  2. B

    To a POOR COUNTRY..... EVERYTHING....

    To a poor country ( like "this") everything is a PRIORITY. Je hili laweza ku-apply kwa Tanzania?
  3. B

    Toyota Land Cruiser for Sale

    asante incharge
  4. B

    Toyota Land Cruiser for Sale

    LexAid, hiyo gari ina kadi yake ORIGINAL na inaonesha kila kitu...sio magumashi!! ni kwakuwa hijui niko wapi ndio maana...anyway documents zote zipo!!
  5. B

    Toyota Land Cruiser for Sale

    Safari_ni_Safari nadhani unachoongelea ni nadharia...sana, yumkini waongea bila utaalam fulani...soma vizuri maelezo ya PatPending ndio utaelewa. Suala sio bei iko juu sana...Guys...kutoa "crushing statements" bila kutoa alternative inakuwa haina maana... umeambiwa inauzwa bei fulani...wewe...
  6. B

    Toyota Land Cruiser for Sale

    Hiyo ilikuwa inafanya kazi Dar es Salaam na Tanga tu. Bado iko nzuri kama unavyoiona by default
  7. B

    Toyota Land Cruiser for Sale

    Wakuu hii gari ilikuwa TZT... ikawa inatumiwa na WHO kwa miradi yake...ndio maana ikawa ina hizo DFP maana kulitoka sheria kuwa ni lazima gari zote za miradi ziwe DFP... kwahiyo mtu akiinunua anabadili from DFP to T....XXX tu. Ilishalipiwa kodi kabla. KWa hiyo ilikuwa gari ya kawaida kabisa...
  8. B

    Toyota Land Cruiser for Sale

    Toyota Land Cruiser for sale Year- 1999 km-300,000 cc-4164 Transmission- Manual Fuel- Diesel Last owner- WHO Tanzania Starting price- 39.5m Serious buyers only just PM me
  9. B

    Software to edit .avi files (video files) in windows and mac os x

    Wandugu natafuta free software ya kuweza ku-edit .avi files, hizi ni video files sasa kuna nyingine sauti ni mbaya nataka kubadili sound au hata kuongeza au kuweka picha nyingine, Nahitaji kwa ajili ya window na Mac os any maujanja?
  10. B

    Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

    Kusema ukweli tangu nianze kuangalia haya mashindano ( kwa wiki mbili tu sasa) nakubali kipaji cha huyu WALTER!! kweli ni muimbaji ambaye anaweza kumtia mtu hisia na kumuweka mshabiki majaribuni!! Namtabiria makubwa kama atatulia hivi alivyo na apewe ushauri mzuri atafika mbali....KWANGU... HUYU...
  11. B

    Kachemka Tena!!! Mulugo tuonee huruma...pumzika tuachie wizara yetu jamani

    Swali la Mbatia lilikuwa kwasasa wanafunzi badala ya kutumia mfumo wa 3 K's ( ambao maana yake wawe wanasoma masomo matatu tu kwa upeo wao na ndio system ya kimataifa na ndio iliyokuwa inatumia miaka yetu) pekee wao wana mfumo wa masomo nane!!! wanasoma hadi stadi za kazi, geografia n.k....sasa...
  12. B

    Kachemka Tena!!! Mulugo tuonee huruma...pumzika tuachie wizara yetu jamani

    Kweli nilikosea nilimaanisha wRiting. Nilikuwa nawahi kuweka kumbukumbu sawa kabla muda haujaenda maana vibonzo ni vingi muda huu!!!
  13. B

    Kachemka Tena!!! Mulugo tuonee huruma...pumzika tuachie wizara yetu jamani

    Kachemka tena!!! Leo akijibu swali la Mh Mbatia kuwa ni lini serikali itarudisha mfumo wa 3 K's (kusoma, Kuandika na Kuhesabu), amesema eti serikali itarusidha mfumo wa 3 R's yaani Reading, wRiting and aRithmetic!! Hivi kweli hiki ndio kifupi cha hizo R 3 anazozisema??? Kuna mwingine...
  14. B

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Embu tuwe makini lakini na pia tujiulize yafuatayo ( Nwe jiulize yafuatayo) 1. Ni kwanini Mulugo hakufuata aliyoandikiwa na kupewa katika ppt hadi atoe kichwani mwake?? alitaka ule umma umueleweje?? kuwa anajua sana na haitaji kusoma au?? 2. Yeye kama mdau na mwenye dhamana ya elimu nchini...
  15. B

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    Embu tuwe makini lakini na pia tujiulize yafuatayo ( Nwe jiulize yafuatayo) 1. Ni kwanini Mulugo hakufuata aliyoandikiwa na kupewa katika ppt hadi atoe kichwani mwake?? alitaka ule umma umueleweje?? kuwa anajua sana na haitaji kusoma au?? 2. Yeye kama mdau na mwenye dhamana ya elimu nchini...
  16. B

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    Yaani Mkuu Pasco pamoja na kuwa na "Premium Member" ila naona unataka kuanza kudharauliwa!!! Embu tuwe makini lakini na pia tujiulize yafuatayo ( Nwe jiulize yafuatayo) 1. Ni kwanini Mulugo hakufuata aliyoandikiwa na kupewa katika ppt hadi atoe kichwani mwake?? alitaka ule umma umueleweje...
  17. B

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Phillipo Augustino Mulugo, One of the "stupidest" Tanzanian Minister on earth!!!.
  18. B

    PICHA: Kikwete huyoo anasaini mikataba mipya na waarabu Oman

    mbona katika picha zote,wakati wa kusaini jk amekasirika au anaumia rohoni anavyoiuza nchi TUMIKWISHA!
  19. B

    Viongozi wetu na kushangaa mahekalu Oman

    Imeniuma sana hili, nilimuona Membe akishangaa lile hekalu
  20. B

    Kikwete na mawaziri kadhaa kuzuru Muscat Jumatatu 15, Oktoba 2012

    Kweli hii ni too much jamani!! Hata kama ni Urais, huu sasa ni kupitiliza!! Hivi kweli Rais hawezi kukaa ofisini kwake (magogoni) hata kwa wiki moja tu!! kila wiki safari safari, hatulii!!! Leo tena yuko Oman kwa ziara!! This is too much!! Please Serikali yetu be fair to your cetizens, hizi...
Back
Top Bottom