Search results

  1. JOHNSON

    Masomi msaada hapo nafanya survey ya chinese products to tanzanian consumers

    Samahani ndugu zangu Nilikosea heading. asanteni kwakunielewa.
  2. JOHNSON

    Masomi msaada hapo nafanya survey ya chinese products to tanzanian consumers

    QUESTIONNAIRE Dear Participants I am conducting a survey of imported products in the Tanzanian markets for my Masters thesis at Zhejiang University in China. The questionnaire is a part of my Master thesis, in which I am interested in consumer perceptions on imported products to my native...
  3. JOHNSON

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Ndugu zangu watanzania Nyerere hakuwa mungu wa Tanzania na si kweli kuwa bila nyerere Taifa la Tanzania lisinge pata uhuru,mie naona kuwa mtu ukiwa msomi Lowassa anafaa kuwa rais wa tz. Rais wa uchina wa kwanza aitwae Maotse Dong aliendesha fitna hadi kumfunga Den shaopin na kuua vijana wake...
  4. JOHNSON

    Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute

    Mazee mie sishangai sana sophia banda ku anzisha fujo kwetu. nakumbuka miaka 80 kwa tuliokulia bushi miaka ya ujamaa tulipo kuwa tuki kimbia mchakamchaka asubuhi tuliimba hivi "Nawe banda wa malawi kutuvalia ngozi ya simba na kututishia watanzania hatujali hatujali"wimbo huu hadi leo umenifanya...
  5. JOHNSON

    Utafiti ukoje kuhusu hili?

    Mzee hapo hakuna lugha wala darasa, ni sawa na kipofu kuweka chakula puani au kichwani! kumbuka kuwa wewe hukufundishwa namna ya kutumbukiza.
  6. JOHNSON

    Mh. Raza kaka yangu nani kakufumba mdomo?

    Raza anautaka urais kasha ingia king za ccm.
  7. JOHNSON

    Rostam Apenya Siasa za Kenya

    Wapi uhuru kenyatta, kwenye list ya urais wa kenya?? chagua kenyatta
  8. JOHNSON

    Unawezaje kutesa familia na kufata makahaba wake za watu na umri huu 33

    Hakuna utajiri hapo dada zangu ni ujinga na ulimbukeni wa mshikaji- kwa alikurupuka kuoa-hajui nini maana ya mke. nyumba 2 na magari 3 magofu tu hayo na magadi chakavu.
  9. JOHNSON

    MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    Kijana angalia shibe ya leo njaa ya kesho, lazima kuangalia pande zote za shilingi, tatizo vijana mda wote siasa tu. yangu macho.
  10. JOHNSON

    Padre aitaka CCM ijiandae KUONDOKA; Adai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli

    Tanzania tuwe makini vita si mchezo wa kuigiza.
  11. JOHNSON

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mzee kuingiza na kutoa si ugonjwa inaonesha ni jinsi gani mwili wake ulivyo jia andaa kwa tendo lenyewe.
  12. JOHNSON

    kwa anayejua online test ya starndard charterd Bank

    mi nataka visa card ya hao jamaa
  13. JOHNSON

    Sheikh Ponda amezitoa wapi hizi takwimu?

    Kijana abarikiwe kwani hajui afanyalo, nashangaa sana vijana masikini wa kutupwa ndo mashabiki na waleta fujo,hata uliko anzia uislam wenye nao ni wastaarabu. poor tanzania
  14. JOHNSON

    natafuta mpenzi wa kike ni chati nae kwenye facebook tu

    Haha muungano sio wa kupotezea time kuuzungumzia hata mkiachwa umasikini ni palepale ni bora vijana mkajikita kwenye mambo ya kujiongezea kipato.
  15. JOHNSON

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Sasa serikali ya CCM imechoka kabisa huezi kuwaforce Madr. kufanya kazi, police wa Tanzania hawana maaana kabisa kwani wanatumiwa na wanasiasa wasiokuwa na akili na ndio maaana police wanaongoza Tanzania kwa kutumia vyeti visivyo vyao kutumia majina ya watu wengine, ndio maana wanatii amri hata...
  16. JOHNSON

    Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    MIAKA 50 YA TANGANYIKA HURU NA MIAKA 47 YA TANZANIA HURU JE NI NINI HASA CHA KU ENZIWA? JE TU ENZI UFISADI ULIOFANYWA NA WATANZANIA WACHACHE? AU TU ENZI UKANDAMIZAJI WA WANAFUNZI WENYE NIA YA KUSOMA NA KULITA MABADILIKO YA TANZANIA MIAKA 100 YA TANZANIA HURU? AU TU ENZI UUAJI WA VIWANDA VYA...
  17. JOHNSON

    Majina ya waliochaguliwa na TCU second round haya hapa

    1. A comparative study of consumer's perception of "Made in China" products and India in Tanzania. any one who wanna work with me for conducting a research you are welcome....634447441@qq.com
  18. JOHNSON

    msaada wanajamii forum

    salamu wazee jamii
  19. JOHNSON

    Matokeo kidato cha nne 2009

    oyaaa wadau mbona web ya matokeo haifunguki kabisa kuna nini .....huyu jamaa aliye format link ya matokeo mbona inakuwa haifunguki kabisa... Nimetumia kila njia kuifungua lakini matokeo imeshindikana pls....wadau nina hitaji kuona matokeo ya wadogo zangu kazaaa.... by mdau...
Back
Top Bottom