Search results

  1. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Dodoma tunaomba muongeze kasi ya kuhudumia wateja especially maombi mapya ya huduma ya umeme. Tupo tuliolipia tangu January,2020 Lakini hatujapatiwa huduma hadi leo maelezo yakiwa ni ukosefu wa nguzo Kila unapouliza licha ya wengine kupata huduma akati wamelipia February na wengine March...
  2. S

    Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

    Magufuli tena, tena na tena.....2020 Ushindi Mapemaa.
  3. S

    Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

    Team JPM "2020 Ushindi Mapemaa".. huyu Mkuu anatufaa sana...Kwa maendeleo ya Taifa letu... Habari za kazi na bata labda 2045 tukipata ROI
  4. S

    Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

    Uchaguzi uliopita nilimpa Kura 3 technically....awamu hii must be 10
  5. S

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Nimefurahi sana kumuona Mh. Rais akitekeleza sehemu ya majukumu yake. Hakika furaha yangu imerejea....Mungu mjalie afya njema na ulinzi
  6. S

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Jamani siamini sana katika hilo mbona kuna watu wamepata japo hawana ndugu wala rafiki katika taasisi hiyo...na hakuna hata sumni waliyoitoa...au ndo zali la msafara wa mamba...kenge hajakosa Tujipange...tujiamini na kujidhatiti pia tusiwe wepesi wa kukata tamaa
  7. S

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Nimejaribu kuscan na ku attach kama nimechemka mnisamehe
  8. S

    Feedback Interview Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Majina yametoka dairly news na (mtanzania ya tarehe 1 June ukurasa wa 26---) Kuripoti ni next monday tarehe 8.6.2015 katika ofisi za mahakama za kanda....all the best.
  9. S

    Msaada katika hili

    2
  10. S

    Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

    japo nami kada...ngeleja hana uwezo huo kabisa.....uraisi sio urahisi.....think deeply.
  11. S

    USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    tupo wengi..ngoja niwaombe watu wa bank wawe wanakata juu kwa juu
  12. S

    Ajira tena, nafasi za koplo na konstebo wa Uhamiaji

    let me apply with confidence
  13. S

    Nishaurini katika hili ''kansa ya ziwa''

    Mionzi ilishindikana coz mashine ziliharibika, nashukuru mungu kwa sasa zimeanza kufanya kazi tena ila napenda kufahamu kama huduma hizo hulipiwa na endapo bima ya NHIF (blue kama sijakosea) huweza kusaidia.
  14. S

    Tanzania graduate bank( tgb) mambo yanaanza sasa.

    .....ha ha ha SHAHADA.... Jadilini juu ya wazo lililotolewa jamani kama context imeeleweka....wazo zuri sana keep it up...mbona mimi muosha magari elimu la sita ila nimeelewa mada
  15. S

    Mhitimu niliepoteza dira

    Tuwe na subira mwenyewe nipo kwa mtaa ful hasoling' ila napiga kazi ambazo msomi uchwara hawezi fanya na cash kwa hand kama kawa japo za vocha na cv sending....bachelor kando maisha yanakwenda
  16. S

    Folks,I got a job! Thanks to JF.

    Shukuru mungu mi bado napasua kichwa kwa mtaa:loco::frusty: stay blessed
Back
Top Bottom