Search results

  1. M

    Kigamuzi cha ting

    Ni wiki sasa kingamuzi cha ting kimetoweka hewani bila maelezo yoyote,
  2. M

    Mfanyabiashara ajipiga risasi mjini Moshi

    Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi leo asubuhi amejiua kwa kujipiga risasi.Mfanyabiashara huyo ajulikanae kwa jina AGUSTIN MALYA (kipumbu)amejiua na sababu za kifo chake bado hazijajulikana. CHANZO: Habari Leo(11/12/2014)
  3. M

    Mchungaji daniel mwazumbi achiwa huru na mahakama kuu mbeya,

    Mchungaji daniel Mwasumbi leo ameachiwa huru na mahakama baada ya kukata rufaa ya kesi iliyokuwa ikimkabili, katika hali isiyokuwa ya kawaida jambo hilo halikuwa jema kwa wafungwa baada ya wafungwa kuanza kuangua kilio nakudai mchungaji wao gerezani ameachiwa huru, inasemekana mch mwasumbi...
  4. M

    Mtaji wa CHADEMA Chalinze

    Tafadhali mwenye matokeo ya uchaguzi jimbo la Chalinze 2010 aweke hapa ili tuone mtaji wa CHADEMA ukofipi. Kalenga ni kama tumeshinda maana mtaji umepanda.
  5. M

    Mch Gwajima: Serikali imekataa kuwatambua Pentecoste Bunge la Katiba;

    Mchungaji joseph gwajima amechukizwa na kitendo cha serikali kutowatambua makanisa ya pentecoste mchini katka bunge la katiba, mchungaji huyo amesema kuna makundi ya dini kama tec,likiwakilisha katoliki: kuna bakwata likiwakilisha waislam: lakini kundi la pct halikutambulika pamoja...
  6. M

    Arusha: Mtu mmoja afia bar baada ya kushindaniwa kunywa viroba

    Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina MASHIA MSELE amefariki baada ya kushindaniwa kunywa pombe aina ya kiroba katika bar iliyoko katikati ya jiji la arusha maarufu kama MAJENGO BAR. Kijana huyo mwenye umri wa (28)alikumbwa na mauti baada yakujitamba kwamba anaweza kumaliza viroba 10 na...
  7. M

    Yuko wapi Profesa Philemon Sarungi?

    Nimuda sasa hatumsikii wala ajulikani alipo mwana siasa mkongwe profesa Philemon Sarungi . Mwanasiasa huyu amewahi kuwa Waziri wa Ulinzi, yuko wapi?
  8. M

    Pongezi kwa rais wa tanzania kwa usikifu na kujali taifa

    Kimsingi ninampongesa rais wa tanzania kwakujali na kueshimu maoni ya kila mtanzania, rais jakaya kikwete anastahili kupongezwa kwa hatua yake yakusikiliza maoni ya kila mtanzani, kwa wale wenzangu wa cdm mtanisamehe kwani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hivi ninajiuliza ingekuwa ni...
  9. M

    Mch GWAJIMA: SEREKALI TATU HAZIEPUKIKI

    Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima mch joeseph gwajima amesema katika mchakato wa katiba mpya inayokuja serekali tatu haziepukiki gwajima aliyasema hayo juzi jpili wakati wa ibada gwajima alisema anamshauri rais jk kutokubali maoni ya washauri wake wasiona mbali, alitoa mfano kwamba...
  10. M

    Jengo linalomilikiwa na CCM Soko la Kinondoni lateketea kwa moto

    Jengo la CCM linateketea kwa moto soko la Kinondoni jijini Dar
  11. M

    Jengo lililoko soko la kinondoni lateketea kwa moto

    Moto umeteketeza jengo moja linalo milikiwa na ccm soko la kinondoni jijini dar salam: moto huo ulianza mida ya saa moja nakuteketeza jengo lote,
  12. M

    Kidogo wana wa tanzania watarejeshewa nchi yao isiyo na mafisadi,

    Katika hali isiyo ya kawaida nchi hii imejikuta katika mtikisiko wa mauaji ya hapa na pale, kidogo kumekuwepo mgogoro kati ya tanzania na malawi, leo tena kuna sinto fahanu ya mgogoro wa ruanda na tanzania, kila kinachofanyika mimi ninasema ni mipango ya mungu, yamkini kuna kitu...
  13. M

    Wana jf tutumie nafasi hii vizuri kujijenga kuliko kuwasumbua moods

    Imekuwa ni vigumu sana kwa wana jf kutumia nafasi hii visuri kuweka topic zenye maana badala yake tumeonekana kanakwamba hatujui maana kamili ya jukwaa hili, lengo haswa la jukwaa hili nikupashana habari kufundisha na kurekebishana badala yake tumekiuka utaratibu huo na kuanza kutukana...
  14. M

    Ajali mbaya maeneo ya ubungo leo asubui

    Kumetokea ajali mbaya iliyouzisha magari manne maeneo ya ubungo leo asubui watu wamejeruhiwa pia mimi ni muhanga wa ajali hiyo mungu ni mwema tumetoka salama ajali hiyo imetokea baada ya daladala iliyokuwa ikitokea mwenge kwenda buguruni kupaki na kupakia abiria nakutaka kuchomoka bila...
  15. M

    Mwenyekiti wa wilaya ya Arusha UVCCM anakihujumu chama

    Mwenyekiti wa uvccm wilaya ya arusha anakiujumu chama udiwani wa madiwani, imefahamika mwenyekiti huyo ndiye anayefujisha siri za chama.
  16. M

    Magufuli tupia jicho barabara ya kwamnyamani buguruni kuelekea vingunguti

    Barabara ya buguruni mnyamani kuelekea vingunguti imekuwa kero kubwa kwa jamii baada ya barabara hiyo kubomoka na serikali kukaa kimnya barabara hiyo imesababisha msongamano mkubwa nakuwa kero kwa wagojwa wanaopita barabara hiyo kuelekea hospital ya PLANI iliyopo maeneo hayo, kwa wagojwa...
  17. M

    Wana JF nimebadilisha mkoa sasa niko Dar,

    Ndugu zangu wana JF nimebadili mkoa sasa ninapatikana Dar wakina Mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za Lema nitazipata toka kwenu, huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na magorofa kuporomoka, watu wangu wa Dar akiwemo Manyerere nipokeeni sasa.
  18. M

    Mbunge wa Arusha amhenyesha diwani wa CCM kata ya Nadosoito

    Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godibles Lema juzi alikutana na wananchi wa kata ya nado kusikiliza kero zao,Lema aliwasili katika kata hiyo baada ya malalamiko ya wananchi wakidai diwani wa kata hiyo CCM amewanyima mbolea ya ruzuku pamoja na chakula cha msaada kilichotolewa na serikali. Mbunge huyo...
  19. M

    Kwa mtindo huu nchi iko hatarini kwa mzozo wa kidini

    Leo nimeshuhudia mwenyekiti wa CCT akimpa angalizo rais jakaya kikwete juu ya chokochoko za kidini zinazoendelea nchini moja ya angalizo alilompa nipale serekali inaposema haina dini huku baadhi ya dini zikipewa kipaumbele kwenye katiba ya nchi alizema kama serikali haina dini bazi isiingize...
  20. M

    Mlima kilimanjaro waingia katika maajabu saba ya afirica

    Mlima kilimanjaro umeingizwa katika maajabu saba ya afirica maajabu mengine yanaendelea kutangazwa, mto naili nao waingia maajabu saba ya afirica serengeti nayo yaingia; inafanya tanzania kuwa na maajabu saba ya afirica huku serengeti ikishika namba moja barani africa. sherehe za kutangazwa...
Back
Top Bottom