Kwa mliosoma Machiavellianism: Mbinu mojawapo ya kutawala kirahisi kabisa ni kuwasahaulisha wanachi mambo ya msingi ama "kuwalewesha" na kuhakikisha unahamisha fikra zao kutoka katika mambo ya msingi kwenda katika mambo yasiyo na maana na yasiyo na athari kwa watawala.
Bila kusema mengi...
That is not the whole story my friend....WAKISTAAFU HAWA Kina Ngyahoma, Hilary, Machibya etc Tanzania ndiyo itakuwa imefutika kwenye media za kimataifa. Sio kwamba nina mtizamo chanya but the new generation of scribes in TZ just puts me off. Kwa sasa utangazaji Tanzania is tantamount to...
Haya mambo hayaendi kiswahili swahili hivi. Kwa yeyote anayependa kuongeza maarifa take note of the following (I have no interest in either side. Haya ni maoni ya kitaalamu.)
1. Tanzania ni nchi inayoendeshwa kisheria. Tuna sheria ya ushindani "Fair Competition Act". Ni kinyume cha sheria...
Mada imenigusa sana. Ni kweli waishio ughaibuni ni wazalendo sana na wanajitahidi, hii negative attitude dhidi yao sijui nani kaianzisha. Mnafikiri huku kuna loop holes za ufisadi kama bongo?
Nimeelimika sana! Now I can see that this guy was not that bad. Mnao mtetea mwalimu muitendee jamii nzima haki by giving credit where its due. This guy should also be apportioned a part of national heros status.
Tunakoelekea miaka 25 hadi 50 mbele degree nyingi sana zitaitwa BSc badala ya BA. Ni kutokana na kuingia katika karne ya sayansi na tekinologia mambo ya arts yanabakia kwenye burudani etc. Sina maana ya kumdharau mtu yeyote mwenye BA, not at al, I ma justing sharing my 50 cents. Kama unaweza...
On my part, simjui sana but the little I know of him, (mainly from political compaigns last year) the guy IS smart up stares. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Inaonekana amesoma vizuri enzi za mkoloni (haja kariri) na anaweza kabisa kusoma alama za nyakati na kuleta mageuzi ya msingi. He is...
Mkuu mimi naujua utaratibu mzima, trust me. Base yangu ya ku criticize haipo kwenye boundaries zetu na UNESCO au kukubaliwa/kukataliwa far from that. My concern is the impact of correcting a mistake by another (even bigger) mistake. Wizara haikufuata utaratibu kuomba UNESCO status...rais naye...
Hapana mkuu, katika hilo kundi simoio kabisa. Mine is a very professional advice without any malice whatsoever to my president. Kuna vitu viwili 1. Utaratibu wetu wa ndani ya nchi kuomba kukubaliwa kuwa urithi wa dunia 2. Sheria za UNESCO zinavyo tufunga baada ya kukubali ombi letu. One does not...
Please tell me this was April fools' stuff!! Lusekelo is gone?????? Siamini!! Mbona hata Michuzi hakuweka habari yeyote na ni colleague wake? Lazima tungepata breaking news za mpambanaji. I really dont believe this....really dont!
Mkuu inaonekana tunazungumzia vitu viwili tofauti. Mh rais hapo reference yake ni "utaratibu uliopo" BAADA YA KUJIUNGA akimaanisha sheria za UNESCO zinavyo zifunga nchi wanachama. Hapo yuko sahihi kwa sehemu. Swali langu je sheria zetu zinasemaje kwa taratibu ZA KUJIUNGA? Hapo ndipo tatizo...
Bellow is the most unfortunate part of the speech mheshimiwa. We are a part of the international community. We can not act so arbitrarily when it comes to collective issues for the good of the future generation. What image will this have on Tanzania's commitment to conservation? What does the...
Hapa sawa japo tunataka kuona haki za binadamu zinazingatiwa 1987 na sasa tofauti kabisa mheshimiwa rais. Na pia sababu za kushindwa kwa idara ya wanyamapori haziko wazi, je hawana pesa? wako demotivated? Halafu kuwa na waziri mmoja tu asiye hata na naibu katika wizara nyeti kama hii kunatoa...
Hapo chini substance ni ndogo sana, less than 18%. Ukiondoa ukweli kwamba ni too repetitive na essentially haina ulazima kwani zaira za wizara zote zilikuwa covered na media, the whole thing has nothing new. This is not what a president would say about the "backbone" of the economy baada ya robo...
Jamani nani anamshauri rais wetu? Nchi zinagombania kupata status ya urithi wa dunia wa UNESCO Tanzania yenyewe ina amrisha kusitisha maombi? Ni kweli swala la ushirikishwaji ni vocabulary katika wizara ya utalii na maliasili lakini kuondoa kabisa hiyo application UNESCO it too much. Naomba rais...
Hii habari imenisikitisha sana, as brief as it is! Tunajipeleka wenyewe kwenye mdomo wa chatu kama mbwa! Kuyafanyia kazi haya itachukua miaka mingine mitano!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.