Search results

  1. M

    Msigwa: Mangula ni ndege chichidodo

    upo sawa kuliko wote...
  2. M

    Please,give me the english words for the following swahili words

    kwahiyo unashauri nini wewe unayejua?
  3. M

    Change into english

    :majani7:
  4. M

    The return of super mjumbe.

    kwahiyo we unataka niwe naudhuria jamvini kama guest ili nisipate ma nutrition ya jf?
  5. M

    The return of super mjumbe.

    MJUMBE SIJAPIGWA BAN ni masuala madogo madogo tu...........so nikaona kukaa nje bila kufaidi hili jamvi ni sawa na kutembea uchi.:yo::yo::lalala:
  6. M

    Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

    bro ukwaju twaja na taarifa kamili pindi nikirekebishiwa a/c yangu but kama itachukua muda mrefu nita tiririka hapahapa. HUYO ISSA NI BALAA BRO SI UNAJUA PINDI ZA USTAADHI?
  7. M

    Phonology(pronunciations & stress)-naombeni msaada!

    pia na hiki english lg 4 advanced level students by james songore kajare
  8. M

    Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

    general mutabuzi the perfect haya. Makosa ni mengi kwa uchache tu ni haya; kutoza fine wanafunzi pale wanapochelewa kuripoti shule na fine hiyo kuilipia kupitia mpesa namba ni ya mkewe, kiasi cha kuanzia ni sh.190,000. Ukikamatwa umevaa shati la mikono mirefu nawe sio kiongozi unalipa...
  9. M

    Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

    na bro feruzi alijificha ofisi ya wasabato............issa nyuma ya room 7........hahaaaaaaaa two weeks chini ya chairman bujiba mbona mlijuta.
  10. M

    Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

    Wanajamvi hii ni temporary a/c yangu hapa jf,natumai kama admn watalipatia ufumbuzi suala la kurekebisha a/c yangu nitaitumia kulijadili kwa kina hili suala, maana sio geni,tutazungumza kama watanzania tutakao mabadiriko na pia kama ilborians.........nitaleta ushahidi wa picha za matukio tangu...
  11. M

    Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

    Bro issa kazi tumeikamilisha na kuonyesha ukomavu wetu atusubiri 2012 mwezi wa 6
  12. M

    Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

    Heri ulikuwepo,jamani tunateseka hapa,
  13. M

    Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

    Ilboru hatuna mwalimu kuu tulikuwa na mkuu wa shule.
  14. M

    Mwalimu MKUU Ilboru Sec asimamishwa

    HAUPO vizuri kichwani bro. nani afukuzwe kati ya anayetoza michango feki isiyotambuliwa na wizara ya elimu na bodi ya shule au mwanafunzi anayedai haki yake? yani tutozwe shilingi laki moja na tisini elfu kisa nimechelewa kuripoti shule,nifukuzwe shule kwa kumkataa mkuu wa shule anayenitoza...
  15. M

    The return of super mjumbe.

    HODIIIIIIIIIII Wanajamvi, nimekuja na ID TOFAUTI ingawa hapa ni mwenyeji kama matatizo na serikali ya CCM.IMENIBIDI kukaa nje ya JAMVI hili kwa ID yangu mpaka pale ntakaporekebishiwa na admn.:amen:
Back
Top Bottom