Search results

  1. R

    Kisa we mjeda au ndo ubabe??

    ifike mahali tusiwachukie askari wetu, ila na sisi tujichunguze kwanza. Hivi kweli tusipowachokoza askari wetu wa JWTZ wanaweza kutusulubu bila makosa? Mimi binafsi naamini JWTZ hawawezi kunisulubu kama sijawakosea. Na kwa nini tuwachokoze??? Ukiwachokoza tu umewakumbusha machungu, watakubutua...
  2. R

    Wanaume, tupeni majibu hapa...

    Inategemeana na aina ya mwanamke uliye naye. Mi huwa namuomba radhi/msamaha nikimkosea na huwa ananisamehe na ninakuwa na amani ya nyumba yangu.Lakini sasa baadhi ya wanawake wakiombwa msamaha inakuwa mwanzo wa kuwadharau waume zao, na kuanzisha vitimbwi zaidi ndani ya nyumba. Hii ni hatari...
  3. R

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    kauli zingune zinaonekana kabisa ni za kibaguzi,hospitali za madhehebu ya kikristo huwa zinapokea wagonjwa wa kila aina na huwa wanatibiwa kwa gharama sawa kulingana na matatizo yanayowasibu kiafya na hawaulizwi wanasali/wanaswali dini gani.Badilika rafiki,tudumishe upendo wa kindugu bila...
  4. R

    Wasalaam kwenu wote.

    Nimeingia ndani ya nyumba. Ntakuwa nanyi muda wote kwa kadri ya neema ya MUNGU. Mubarikiwe sana.
Back
Top Bottom