Search results

  1. K

    Natafuta tempo HISTORY & GEOGRAPHY

    Kama kuna shule au tution anahitajika mwalimu wa masomo hayo tuwasiliane ili nije kupiga kazi. 0765 564390 Ahsanteni
  2. K

    Tujadiliane kuhusu ajira za walimu 2016

    Kwan wa sanaa sio walimu?
  3. K

    Tujadiliane kuhusu ajira za walimu 2016

    asante kwa kushiriki
  4. K

    Tujadiliane kuhusu ajira za walimu 2016

    Kwa mwaka ujao 2016 kuna uwezekano wa kutoa ajira mwezi wa ngapi au ndo ajira hakuna kabisa? Kama una mawazo yeyote karibu tufahamishane.
  5. K

    Msaada wenu tafadhali

    HABARI ZENU NDUGU WANAJAMII FORUM? NAOMBA KUJUA NAMNA YA KUPATA VISA YA KUSAFIRIA NJE YA NCHI NA GHARAMA ZAKE. Mfano kutoka Tanzania kwenda Zambia
  6. K

    Ada za vyuo

    Ni NJOMBE SCHOOL OF NURSING.
  7. K

    Ada za vyuo

    Jamani wadau naomba kuuliza ADA za vyuo vya serikali vya NURSING CERTIFICATE. Mwenye kujua naombeni msaada tafadhali.
  8. K

    Wale wa mkawa university

    Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce? ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE. Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele. kwa wale wauza sura imekulu kwao.
  9. K

    PhD YENYE HESHIMA

    Mbona unadharau faculty ya BAED? Acha upuuzi we ----.
  10. K

    Nafasi ya kazi: Meneja wa Tawi

    Kwa yeyote anayetafuta kazi sasa umepata suluhisho la tatizo lako. Nafasi ya kazi ni Branch manager wa NSSF. Sifa za mwombaji awe anajua kusoma na kuandika, vile vile mwombaji anatakiwa awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18. Mwisho wa kupokea maombi ni tar. 23/04/2013. Nakuomba popote...
  11. K

    Soma hii itakusaidia.

    kwani umeitwa? Unajipendekeza sio?
  12. K

    Soma hii itakusaidia.

    Please click here
  13. K

    Msaada kuhusu malipo UDOM

    hv ada na direct cost unalipia kwenye akaunt moja?
  14. K

    Hongera sana UDSM kwa kuonyesha njia big up!

    samahan kaka hivi na MUCE wametoa hii list?
  15. K

    msaada gharama za hostel udsm.........

    eti mkuu na MUCE Wanatoa list ya majina ya watakaokaa hostel?
  16. K

    wanafunzi kuweni makini na HLSSF

    kupigiwa simu sio tatizo kwan ww unafkiri kupigiwa simu ndo uwaamini?
  17. K

    Alichokisema roma (mkatoliki) kuhusu boom.

    Eti kwenye ule wimbo wa MATHEMATICS wa Roma wa Tongwe Records kuna mistari ameisema eti: "MAKAHABA WANAONGEZEKA BOOM LINAPOKATA". vp kuna ukweli wowote hapo? Tiririkaaa...!
Back
Top Bottom