Search results

  1. kelao

    Gari kuzima relini

    Aisee
  2. kelao

    Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

    Ndo maana mnaambiwa kuwa Kanisa ni moja tu KATOLIKI TAKATIFU LA MITUME.
  3. kelao

    Wamasai tuungane nao, Tupaze sauti wanahaki ya kuishi Ngorongoro na Loliondo

    Ardhi ni mali ya UMMA na sio mali ya serikali.tofautisha umma na serikali
  4. kelao

    Idadi ya watoto ndani ya ndoa: Nani huamua?

    Wavivu ndo huzaa watoto wachache,hebu fikiria umezaa watoto 2,mmoja akawa shoga mwingine nun vipi utapata wajukuu?”zaeni mkaongezeke na kuijaza dunia “ni kauli ya Muumba mwenyewe
  5. kelao

    Ikulu mpya lakini bado ina muonekano ule ule wa zamani

    Kwa kweli hata mie nimeshangaa,ina maana mpaka karne hii hakuna ramani ya kisasa kuliko hii?
  6. kelao

    Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

    Kwanza ukumbuke alimwacha hapo bar akaondoka bila kuaga,inawezekana kabisa alikuwa na ahadi na jamaa mwingine hivyo alienda kugongwa chap ndo akarudi kwake,aisee
  7. kelao

    Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Ni kweli mkuu,pamoja.nilikuwa navuna mahindi huku shambani
  8. kelao

    Tatizo nini mpaka umeme haununuliki leo?

    Ndugu yangu maisha haya we acha tu
  9. kelao

    Tatizo nini mpaka umeme haununuliki leo?

    Tatizo nini hasa?tupo gizani umeme haununuliki
  10. kelao

    SoC01 Ukitumia hii dawa yenye mchanganyiko wa mizizi sita, utavuta wateja kwenye biashara yako mpaka watu washangae (Tazama na sikiliza hii video)

    Mambo ya biashara ni magumu sana,na ndio maana wafanyabiashara walio wengi hivi sasa wanatumia madawa na makafara kwenye biashara zao ili wauze bila shida.
  11. kelao

    SoC01 Safari ya miaka 7 katika uraibu wa filamu za ngono

    Ulifanya kosa kuanza kuangalia ukiwa na umri wa miaka 15,ndo maana wanasema 18+
Back
Top Bottom