Search results

  1. nic91

    Nauza Boxer & Vest

    Unapatikana wapi ndugu
  2. nic91

    SAMSUNG GALAXY C5 PRO

    Poapoa
  3. nic91

    SAMSUNG GALAXY C5 PRO

    Kama 400k, nipe muongozo kwa hapo
  4. nic91

    SAMSUNG GALAXY C5 PRO

    Nina glandprime duos unanivunjiaje na hiyo C5??
  5. nic91

    Wauza smartphone tukutane hapa

    kula 280 boss
  6. nic91

    Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

    Mkuu duka gani hilo zinauzwa hizo tv hapa moshi?
  7. nic91

    Inauzwaaaaaaa!

    Mazingira ilipopigwa hii picha kama vile nayafahamu fika, sijui nitakosea nikisema moshi pale rau kwa mama m...
  8. nic91

    FRANCE v/s PORTUGAL European Final (Bet, who wins the title?)

    Mkuu ingia google tafuta app inaitwa Mob dro,download na install kuna sports channel za kutosha utapata ona mpira bila shida. Angalizo usidownload toka play store inazingua, ichote google moja kwa moja.
  9. nic91

    Wapenzi na Washiriki wa Marathons

    Hahaa mekuz hapafai mpaka mida hii, hapana hata pa kukanyaga, watu wapo kama kwa standing part vile.[emoji23] [emoji23]
  10. nic91

    Wapenzi na Washiriki wa Marathons

    Mkuu 2017 kama kawaida, lazima 21km, tuombe uzima tu
  11. nic91

    Wapenzi na Washiriki wa Marathons

    Hahaa mkuu upo hugoz nini?
  12. nic91

    Wapenzi na Washiriki wa Marathons

    2hrs na 18mnt nikafinish, marathon ipo na radha yake asee, yani ile kukimbia watu wengi hata hutoona umbali
  13. nic91

    Wapenzi na Washiriki wa Marathons

    Waka huu naona idadi iliongezeka kidogo, mana jana nilikuta watu wa kutosha pale keys hadi wakawa wanaclaim form za usajili na namba zimeisha.
  14. nic91

    Wapenzi na Washiriki wa Marathons

    Hapana wakati huu watu wengi walifanya online registration, na ndo walopata kipaumbele katika kupewa namba, ila pia nimekimbia tu just for funny, nimemaliza 21km japo bila medani.
  15. nic91

    Wapenzi na Washiriki wa Marathons

    Dah nimekosa namba ya ushiriki wa 21km leo pale keys hotel, nimekuwa disappointed kabisa.
  16. nic91

    Msaada juu ya REHAB (kituo cha tiba dhidi ya mtopeo), nataka niokoe maisha ya kaka yangu

    Ni alcoholism, imefikia stage mbaya sana. Au kama kuna namna yeyote ile tafadhali naomba ushauri wako.
Back
Top Bottom