Search results

  1. Mselema

    Kuona vitu vilivyopotea na mwizi aliechukua

    hiyo ni zuga tu ya madawa ya kulevya yaletayo maruweruwe kichwani. wala sikushauri ndugu yangu. Nilipomaliza fomu 4 nilikuwa nafanya kazi ya kumsaidia MGANGA wa Kienyeji aliyejulikana kwa jina la Omari , alinifundisha mambo mengi sana, hasa ya kitapeli, aliweza kumtapeli mama mmoja shilingi...
  2. Mselema

    umemuona paka kwenye hii picha?

    hii inafurahisha sana
  3. Mselema

    Hii mara nyingi hutokea kwa akina dada

    imewahi kunitokea nikiwa primary mwenzangu alishika sketi vifungo vikakatika nikalianzisha hivyo hivyo si akatubana ticha na wakati huo hakuna body tight wala nini , yaani ilikuwa noma na wapiga picha hakuwepo karibu. unaonaje?
  4. Mselema

    Mwizi anapokuwa mwanamke!

    huyo atakuwa alikuwa kwenye migogoro ya mashamba ya huku Kiambuu sio mwizi
  5. Mselema

    Nitajuaje kuwa mi ni mtamu na ninamridhisha mwenzangu?

    Usipokee kila ushauri maana ukidadisi mwenzio anajisikiaje, au wewe ukaeje ili afurahie, au umfanyeje ili akuone mtamu utajikuta anakupa majibu usiyoweza kuyatekeleza.
  6. Mselema

    Mshahara wa polisi

    Umeuliza swala la Mshahara wa polisi ukisema sio interest ya kisiasa , sasa ni interest gani hiyo, au interest ya kuingia kazini kama polisi? kama ukiingia jeshini kwa interest ya kupata fungu nono kazi ya jeshi itakushinda. wale wenye tamaa ya pesa kiapo chao kinakuwa feki. ukitaka upate...
  7. Mselema

    Sad Picture , Sad Story

    alishawishiwa waibe pikipiki akakubali wakaiba, wakafukuzwa toka gongo la mboto hadi mbagala kuu, wengine wakakimbia yeye akataka awaeleze wenye hasira ukweli wakampa ukweli
  8. Mselema

    Sad Picture , Sad Story

    waliomshawishi waibe bajaji wakasalimika kwa mbio yeye akachomwa, nduguze hawajui kama anaweza kuwa mwizi.
  9. Mselema

    Nasi twaweza fanya hivi pia

    biblia inasema vitaumbwa upya na nchi zitageuka, hapo tungoje arudi mara ya pili MWOKOZI WETU YESU KRISTO ndio tutaweza kufanya hivyo
  10. Mselema

    nimeamua kumtambulisha mchumba wangu kwenu wana jf

    hiyo ni photoshop ililikuwa kwenye blog ya michuzi 2005, sasa utampataje umuoe wakati ni mchoro tu kama katuni
  11. Mselema

    Ukiolewa na Mzaramo lazima utaweza tu!!

    huyo ni mwezetu ila kajichubua tu , unashangaa nini?
  12. Mselema

    Mwizi wa BAJAJI na wenye hasira zao kali

    hatima ya mwizi wa Bajaji dsm
  13. Mselema

    Dar es Salaam City in Photos

    sikuwahi kudhani dsm inaweza kuwa hivyo kwenye aerial photo, muonekano wake ni mzuri sana
Back
Top Bottom