Search results

  1. S

    Kirusi cha Corona kwenye nguo kinaishi siku mbili

    Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne. Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu? Propaganda...
  2. S

    Askofu Shoo: Tujiepushe na mabaradhuli

    Mwaka huu mwezi oktoba kutakuwa na uchaguzi mkuu katika nchi yetu, majira haya ni majira ya uchaguzi wa serikali kuu, kuchagua Rais, wabunge na madiwani-Askofu Shoo. Wakati wa uchaguzi mkuu tujiepushe sana na “MABARADHULI” na wachochezi wenye nia ya kuleta magomvi, na FUJO, nimesikitishwa sana...
  3. S

    Lissu aelezea njama alizotumwa Ndungai zilivyodunda

    Ninafahamu kwamba baadhi yenu mna hofu kubwa na ya halali kabisa juu ya mimi kuwa na sifa za kikatiba na kisheria za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano. Hii ni kufuatia uamuzi wa Spika Ndugai wa kunifutia Ubunge mwezi Juni ya mwaka jana. Nitalitolea suala hili ufafanuzi wa kina wa kikatiba na...
  4. S

    Uchaguzi 2020 Mwanasheria wa ACT Wazalendo: Msajili hawezi kukifuta chama

    Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban ametolea ufafanuzi juu ya Msajili wa Vyama kufuta usajili wa chama.Kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya. Ufafanuzi: "Kifungu cha 19(3) cha sheria ya Vyama vya Siasa inasema mamlaka ya msajili kufuta usajili wa chama cha siasa hayawezi...
  5. S

    Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni. Maoni yangu: Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
  6. S

    Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu. Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
  7. S

    Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo. Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa...
  8. S

    Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

    fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa...
  9. S

    Aliyekuwa Mbunge wa Wawi kupitia CUF na kuhamia CCM, Ahmedi Juma Ngwali naye arejeshwe bungeni

    aliyekuwa Mbunge wa wawi kupitia CUF ndugu Ahmedi Juma Ngwali ambaye hivi karibuni mwezi wa march 2020 alihamia ccm naye pia arejeshwe Bungeni kama alifanyiwa cecil Mwambe Soma > Zanzibar: Mbunge wa jimbo la wawi Mohammed Juma Ngwali (CUF) ajivua uanachama wake na kujiunga na CCM - JamiiForums
  10. S

    Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

    Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi: Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda. Kufika ofisi...
  11. S

    Kwanza TV kumaliza kifungo mwishoni mwa mwezi Machi, 2020

    Kwanza TV ambayo mmiliki wake ni Maria Sarungi { Shangazi } walikutwa na kosa la kuchapisha habari iliyokuwa inamuhusu Dkt.Gwajima kupata ajali ya gari ambapo ambapo walifungiwa kwa kipindi cha miezi sita tokea mwezi Septemba. Sasa nadhani wakitoka jela hiyo vigongo vitaendelea kama kawaida...
  12. S

    Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

    Wakati huu dondoo kubwa ya taifa na ambayo serikali yetu inaipa msukumo mkubwa ni mapambano dhidi ya kirusi corona. Mapambano haya hayana mzaha wala kebehi na yanadai umoja na mshikamano wa kitaifa. Usemi wa Ndg. Polepole kwamba corona ni sawa na wapinzani ni lugha ya mtu anayeligawa taifa...
  13. S

    Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
  14. S

    Baba Askofu Mwamakula: Sakata la Zitto, Serikali na Benki ya Dunia litufungue macho kuhusu umuhimu wa maridhiano ya kisiasa nchini

    SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania...
  15. S

    Baba Askofu Mwamakula: Rais Magufuli awe makini na wanafiki ndani ya Serikali yake

    RAIS MAGUFULI AWE MAKINI NA WANAFIKI NDANI YA SERIKALI YAKE Mwaka jana niliandika nikitahadharisha kuhusu viongozi wanaotoa sifa za kupindukia kwa Mheshimiwa Rais Magufuli. Katika kundi hili wamo baadhi ya Wabunge wa CCM, Wakurugenzi, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri. Hawa ndio...
  16. S

    Jafo toa tamko kwa watendaji wako wanaokataa kupokea fomu

    Jafo waziri wa Tamisemi hizi kelele na video clips zinazozunguuka mitandaoni huoni au maagizo ya Bwana Mkubwa yanakupofusha? ukiiharibu nchi wewe ndio tutakaekubebesha uchafu wote
  17. S

    Alberto Msando apeleka Muhimbili pesa Rais Magufuli alizoahidi kumlipia aliyefiwa na Mama yake

    Leo August 23, 2019 Alberto Msando ambaye ni Wakili wa kujitegemea amefika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kulipa Tsh milioni 5 ambazo Rais John Magufuli aliahidi kuzitoa kumlipia Mama aliyemlilia akitaka alipiwe gharama hizo ili apatiwe mwili wa Mama yake. ======= Msando...
Back
Top Bottom