Search results

  1. K

    loan

    et kuapeal kuusu mkopo n kwa wote ata wale waliokosa ama n kwa waliopata peke yake jaman
  2. K

    sikubahati kupata mkopo lakin nataka kuomba tena kupitia HLSSF kama kuna mtu anaijua hii anipe msaad

    da nam wacha nijpange nikaombe coz mambo magumu bila mkopo c unajua tena wengne wazee watata ktk kulipa fees
  3. K

    Wana-IFM tujuzane kwa haya machache.

    oya m navojua n kwamba wk ya orientation course yakupasa uwe ushalipa 1050000 ndo wanakusajil iyo tarehe 15 uanze masomo
  4. K

    Wana-IFM tujuzane kwa haya machache.

    nimechek ao 600 ngoma nzto
  5. K

    Nini hatima yetu sisi ambao tunavigezo lakini hatujaona mikopo nashindwa kuelewa mana mikopo siielew

    iv nisaidie iyo hssf mnaiamn kwel ama ndo type za kna desi coz nam nimekosa mkopo ndugu
  6. K

    Wana-IFM tujuzane kwa haya machache.

    nko bbf ila nina swal mwana vp kuhusu mkopo ina maana hakuna waliopata ata %0 jaman maana jna langu clion kokote mwana
  7. K

    New allocation batch release two

    naomba niulze kuna faida gan kubwa ya kuchaguliwa kuptia tcu jaman coz cjaona kwa upande wangu m nilzan ukchaguliwa na tcu unaweza kupewa ata %0 ya mkopo jaman
  8. K

    Wana-IFM tujuzane kwa haya machache.

    ongeren wana mmeramba mkopo pesa ndefu c wengne hakuna k2 ila hakuna noma pamoja apo ifm 2takutana
  9. K

    Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    sasa kila m2 ametaja kalamba cjui kiac gan vp kuusu sie ambao ha2jaona majina inamaana hata %0 tumekosa
  10. K

    jina clion jaman nimeumia

    yan bora hata awa heslb wangetoa majna hata ya tuliokosa tujue kuliko kutoyaona kabsa
Back
Top Bottom