Search results

  1. E

    Sababu ya watu kudisco

    The only easiest thing at university is the most flexibility of your mindset in university activities Therefore, Nothing is Simple!!!!!!
  2. E

    Kidot!!

    Wana jf mwenye uelewa kuhusu ELECTIVE COURSE uwapo chuoni naomba msaada katik yafuatayo ----------faidayake baada ya kumliza chuo ---------hasarazake kama hutolichukua kwangu hili naona nikidot kwani seelewi lolote kuhusu elective coarse!​
  3. E

    Mwalimu mkuu atia doa papper la 4m4

    Mwalimu mkuu wa shule ya secondary inayo itwa seek Mkoani shinyanga wilayani kahama ashutumiwa kuwa beba kinyamera wanafunzi wa patao 100 tangu wakiwa 4m1 mpaka 4m4 bila ya kuwa na usajili unao tambaulikana na serikali matokeo yake leo hiii wanafunzi hao wame zuiliwa kufanya mtihani huo wakidato...
  4. E

    Naomba mbinu za kuweza kuishi chuoni

    Ndio kwa mara ya kwanza naenda kuanza masomo ya chuo, ukweli kwanza nahitaji msaada mkubwa kutoka kwa yeyote ambaye ana uzoefu na maisha ya chuo ili niweze kutimiza malengo yangu nilio jiwekea. sijui chochote ku husu chuo naomba msaada wa ----nini ni fanye iliniweze kuishi na wana chuo wenzangu...
  5. E

    Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

    1.Uchavushaji-Pollinatination 2.Mnururisho-Radiation 3.Yabisi-Solid state of matter 4.Mwendo dhahili-Velocity 5.Kan-Force 6.Wenzo-REVEL Ebana ee kazi kwelikweli tumetoka mbali!!!!!!!!!!
  6. E

    Kwa wale wanaojiunga 1st year wazingatie haya

    It's incredible!!!!!!!! your are OVERPROTECTIVE!!!!!!!!
  7. E

    Naomba msaada wana sua

    kaka nilichotaka kujua nitachangia shilingi ngapi? Ada kwa mwaka?
  8. E

    Naomba msaada wana sua

    sijui mchanganuo wa BSE mkopo wangu ni 4183000
  9. E

    Naomba msaada wana sua

    ​ sijui mchanganuo wa BSE mkopo wangu ni 4183000
  10. E

    Ma vampire wanaishi wapi?

    Mimi ni shabiki wafilum hasa za kutoka majuu lakini nimekuwa nikutana na filum zinazo zungumzia maisha ya viumbe vinavyo julikana kama vampire! miongoni mwa filum hizo nikama The blades(1,2,3 & 4),Underworld(1,2 & 3),Interview with vampire,Being human(season 1 & 2),Twilight,Twilight(New moon)...
  11. E

    Sijui ntafanikiwa kupata majibu?

    Hahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! unanikumbusha mbali saaaaaana!! INVISIBLE is equal to beyond nature!! or Humankind as follows:- LIQUID METAL TERMINATOR X-MEN...
  12. E

    Oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a!!!!!!!?? Wiki ya usalama barabarani hiyooo!!!!!!!!!!??

    Wana jamnvi!!, usalama wetu kwanza tuwapo barabarani!!!,road traffic act no 19(1) revised edition 2002 ina prohibit ku drive chombo cha moto kama huna driving licence.tujifunze sheria wenyewe ili tupunguze ajali barabarani nb ucilaumu ulipo angukia laumu ulipo...
  13. E

    EMMANOS' hello to WANAJAMII

    HI,TO ALL WANAJAMII ,CALL ME EMMANOS OF KAHAMA MAY I STEP INTO DA FORUM.I ADMIT I WAS TOO LATE TO JOIN B'CAUSE NO SOONER THE TIME I GOT HOLD OF THE JAMII THAN I FOUND WHAT MOST I WANTED BEFORE.IT IS MY EXPECTATIONS TO LEARN ABOUT MORE THINGS WHAT ONLY I WANT IS YOU MEMBERS OF THE FORUM TO LET...
Back
Top Bottom