toa bori kwenye jicho lako kabla hujatoa kibanzi kwa mwenzio, vp munarusha mawe ili hali mupo kwenye nyumba ya vioo mumesha saha mara hii 2010 kuna mgombea alikuwa anadondoka majukwaani nashukuru sumaye kesha waeleza ukweli wenu
wakumbuke wakati ule nyerere ndiye aliyewasaidia kuokoa jahazi lilikuwa limesha zamishwa vizur tu then sasahivi ameondoka L. Masha ambae ndiye level ya mrema kwa kipindi kile tunaye Tabwe tunae mzee mzima aliewamaliza leo ktk uzinduzi mweshimiwa sumaye na mkuu mwenyewe Lowassa
nasema ccm wakibisha na wapigwe tu kwasababu hatuna namna lazima ukawa wachukue nchi na hawa ccm waelewe nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya kisheria hawawezi kuwakata mawaziri wakuu wote walioomba kuteuliwa alafu wabaki salama
yoyote yule anaeogopa changamoto kamwe hawezi kufanikiwa maishani mwake. katika vitu vinavyo sababisha kudumaa kwa vyama vya upinzani ni pamoja na mawazo kama haya yako.
cha msingi si mavazi tunachotaka nidhamira ya kweli ya kulikomboa taifa, hata baba wa taifa hayati nyerere hakuwahi vaa vazi la ccm ili hali alikuwa ni mwasisi wa chama.
ni vyema raisi ajae awe ni kiongozi anae weza kututoa hapa tulipo na kutupeleka kule tunapo tarajia tukianza kuangalia anatoka wapi hatutapata kiongozi bora kwani itafika mahali watasema sasa ni zamu ya unguja na si pemba na huku bara tutasema sasa ni zamu ya kaskazini kwani kanda ya ziwa...
ktk uhalisia wazanzibari wanataka serikali tatu, na wanaamini hilo litaipa serekali yao nguvu ya maamuzi zaid na uchumi wao utakuwa kwa kasi naisipokuwa hivyo kero za muungano hasitaisha kwani waanzilishi wa kero za muungano ni zanzibar na sasa imefika mahali watanganyika tutaanzisha kero za...
itabidi waje bara kwani ndiyo kwao isitoshe kwa sasa hawaruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar
je inakuingia akilini kusikia rais JK alikaa na mwenzie wa zanibar na kuvunja katiba ktk swala la mafuta na gesi, je inakuingia akilini ukiwa kama mtanzania kutomiliki ardhi zanzibar ila wao ruksa kumiliki...
Arejee maamuzi ya hayati nyerere kuhusu vyama vingi, mbona hakumkosoa. isitoshe hayo ni maoni ya watanzania walioonyesha ujasiri wakujadili kile kisichowapedeza ccm na kilichokuwa kimekatazwa na Mweshimiwa (usiede kujadili muungano) je asingekataza ingekuwaje? kama walivyosema wanatuletea katiba...
toka vyama vingi vimeanzishwa safu yao ya uongozi wa juu haijawahi kubadilika mfano mzuri ni watu wale wale wanagombea urais miaka yote.
kutokutambua umuhimu wa msomi profu Safari , chadema sasa wanamtumia vizuri hata kumaliza tofauti/ migogoro ya ndani ya chama.
kuwekeza nguvu kubwa visiwani...
toka vyama vingi vimeanzishwa safu yao ya uongozi wa juu haijawahi kubadilika mfano mzuri ni watu wale wale wanagombea urais miaka yote.
kutokutambua umuhimu wa msomi profu Safari , chadema sasa wanamtumia vizuri hata kumaliza tofauti/ migogoro ya ndani ya chama.
kuwekeza nguvu kubwa visiwani...
kwa hizo cku 2 oboma atakapokuwa dar, dar ni nchi kamili na siyo jiji kwa hicho kipindi kwani kila kitu wana monitor na kuoperete intel..... na haya maamuzi nani awepo na asiwepo nk.
na hii nchi sijui niite nchi gani vile, na huu ni uzalilishaji kwa nchi yetu
muungano ulipatikana kwa sababu flani na kwa sasa zile sababu hazina mashiko. sisi watanganyika muungano umekuwa mzigo kwetu na kero nafikiri niwakati wa kuwaacha hawa jamaa wabaki na zanziba yao nasisi tubaki na tanganyika yetu
big up haya ndiyo mambo ambayo watanganyika tunayaitaji, vile vile spika asitokane na chama chochote ili maslai ya taifa ndiyo iwe kipaumbele na si maslai ya vyama , waziri mkuu tumchague ili awe na maamuzi na si kutuletea habari za ingekuwa ni uamuzi wangu D. Jairo ninge...
Barlow alikuwa ni mtu mwenye cheo kikubwa, na hayo melezo kama yana ukweli basi huyu jamaa hawezi kupona kwani waliohusishwa ni watu wazito na wapo kwenye vyombo vya maamuzi nasema hivi kwani tz ni nchi isiyojali mfumo wa sheria hasa linapokuja swala la kesi za vigogo. mfano mdogo sana ni pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.