DUUUH MAPENZI SOMETIMES yanaweza kukufanya uwe kama zezeta. Ndo hivyo tena hiyo ndo inakamilisha maana halisi ya MAISHA.
TUPIKIENI TUU ILI TUPATE AFYA YA KUJA KUWATAFUTIA PESA WENZENU:D:D
UGONJWA HUU UMEJITENGENEZEA PALE TUU ULIPOANZA KUFANYA BIKRA NDO KIGEZO CHA MAPENZI YENU NA KUFIKIRIA HADI KUMUOA sasa Tiba yake ni NGUMU kupata.
Mawazo yangu madogo huyo mwanamke sio mkweli na KUMUOWA kisa unaogopa umesha anza vikao bado pia ni ujinga maana utakuwa ujinga zaidi kutotambua kuwa...
Nakasikia kwa mbali KILE KINYIMBO CHA CCM MBELE KWA MBELE :):D Alafu ndo nasoma thread hiii yaani nimecheka hadi NIMEDONDOSHA UDENDA KWENYE KIOO CHA SIMU YANGU.
DAAH HAPO HAIITAJI AKILI NYINGI KUJUA UMECHAPIWA TENA KWA STAIL ZOTE SASA FANYA HIVI KWA VILE MIMI NIPO DAR WEWE NIPE NAMBA YAKE YA SIMU NA KWAKUWA UMESEMA NI MKALI BASI HATUNA BUDI KUSAIDIANA MATATIZO BROTHER:)o_O
NDOTO ZA MABINTI WENGI NI HARUSI.
Ukizungumza na wasichana au wanawake ambao hawajaolewa, unapozungumzia suala la Ndoa, kwa bahati mbaya sana wengi vichwani mwao inajengeka taswira ya harusi. Ukisema Ndoa yeye anawaza gauni jeupe (Shela) lenye mkia mrefu na maids wamelishika huku na huku...
NDOTO ZA MABINTI WENGI NI HARUSI.
Ukizungumza na wasichana au wanawake ambao hawajaolewa, unapozungumzia suala la Ndoa, kwa bahati mbaya sana wengi vichwani mwao inajengeka taswira ya harusi. Ukisema Ndoa yeye anawaza gauni jeupe (Shela) lenye mkia mrefu na maids wamelishika huku na huku...
Ngoja tuu nikalale maana hapa haya mabishano hadi kichwa kinauma sielewi naona MMeanza na MIJI mmekuja Wanawake mara tena MIJI mweeh nashangaa naona tena VIJIJI duuh ngoja niwaachie na uzi wenu ntakuja mwakani KUANGALIA mlipofikia:);):(
HAHAHA HAPA lazima wanaume tujibu vizuri ili tufungue nafasi za kutongozwa ati. Mwanadada kuwa makini kwenye kutongoza na ukiwa na Ujasiri huo pia uwe na UJASIRI wa TENDO LA NDOA pekee sio malengo;):)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.