Search results

  1. Chiwa

    Watoto wangu Sina nguvu tena za kuua Simba

    Ni mchezo wa kitoto unanikumbusha mbali sana. kwa wale tuliosoma pwani vijijini tukisomea mtini madarasa hayapo mlango na dirisha vyote sawa lakini bado tulikuwa na adabu ya kuomba ruhusa kwa mwalimu. Najaribu kuangalia kizazi kilicholelewa kwauadilifu mkubwa leo hii kikiongoza kwa kutenda...
  2. Chiwa

    Natafuta mtu anayeweza kutengeneza cartoon

    Habari! Kuna wazo ninalo ila nataka kuliwasilisha kupitia cartoon ya muda wa dk 15-30 ningependa kujua gharama zake ili niweze kujua gharama zake.
  3. Chiwa

    Hiki kipindi cha TANESCO sikielewi

    Hivi watayarishaji wa kipindi hakuna taarifa nyingine bila kumuona Waziri anatoa matamko? Hebu rekebisheni hiki kipindi nafikiri watu wanapenda kuona maendeleo ya umeme zaidi kuliko uhimizaji na siasa.
  4. Chiwa

    Salamu za mwaka mpya: Jinsi gani tutaweza kujaribu kujipanga na mwaka ulioanza na kwa wengine utakaoanza

    mara nyingi tumezoe kusoma salamu za mwaka mpya kutoka kwa watu maarufu sana. safari hii basi tusome za kwetu ikiwa ni kushauriana ni kwa jinsi gani tutaweza kujaribu kujipanga na mwaka ulioanza na kwa wengine utakaoanza nadhani mmenielewa. kwangu kubwa napenda kuchangia zaidi kuhusu bajeti ya...
  5. Chiwa

    Matumizi mazuri ya muda katika kufanikiwa

    si mzuri sana katika kuandika vichwa vya habari na kwa hapa naomba nikiri lile swali la kwanza enzi zetu la kiswahili nililiruka sikuwa mzuri kwa upande huo hivyo mnaweza kunisahisha ili wakati mwingine niandike vizuri. muhimu ninachotaka kusema ni kwamba tunaposherehekea sikukuu zetu za...
  6. Chiwa

    ITV ikiwezekana rekebisheni hii screen saver ya michezo

    tunawashukuru kwa taarifa nzuri sana ya habari wakati wa saa mbili usiku. shida yangu kubwa inapofika kipindi cha michezo kuna yule bondia mzungu kila siku anampiga mwafrika hii kwangu huwa inaniumiza. kwa nini isionyeshwe pia yule mwafrika naye kampiga mzungu? inaleta maumivu kwawa sisi ni watu...
  7. Chiwa

    Matumizi ya akina dada ya tumbaku ukeni imekaaje?

    Mmoja wa mwezeshaji wa chanjo mkoani Tabora analalamika kuwa moja ya sababu inayosababisha kansa ya shingo ya kizazi ni pamoja na matumizi ya tumbaku kwa wanawake kwa kutumia kawaida na kuweka sehemu za siri. Nini faida ya kuweka hii tumbaku sehemu za siri? Chanzo: Channel ten taarifa ya habari
  8. Chiwa

    Wazo: Kwa mvua zinazoendelea Dar, Shule zifungwe kwa siku tatu.

    wakazi wengi watoto wa mkoa wa dar wanasoma shule za kawaida wakikutana na changamoto nyingi sana wakati wa kwenda shule na kurudi kwa ajiri ya adha ya usafiri. kwa hali ilivyo ningeshauri shule zingefungwa kwa siku hata tatu ili kuepusha matatizo yasiyo ya msingi kwa watoto. ifahamike pia...
  9. Chiwa

    Bajeti ya Familia

    HERI YA MWAKA MPYA Tukubaliane watu wengi nikiwemo mimi huwa hatuna bajeti zinazotuongoza na matokeo yake tunatumia tunachopata na sio tulichopanga. Sasa ngoja leo tuone ni kwa kiasi gani tukipanga inaweza kutusaidia kupambana na changamoto za maisha katika kipindi hiki. ONYO TAARIFA HIZI NI ZA...
  10. Chiwa

    Vyeti vyenye Utata

    mara ya kwanza nilipoliona tatizo hili, sikuliona kwa mapana sana kwakuwa nilikuwa naamini waliofanya hivyo toka mwanzo walijua risk wanayochukua na niliamini walijipanga jinsi ya kukabiliana nayo. kumbe sivyo hivyo ,binadamu husahau na ndivyo kilivyotokea kwa wengi na matokeo yake ni maumivu na...
  11. Chiwa

    Mwanamke tetea mwanao ana haki ya kuishi, usitoe Mimba

    Leo kwa bahati nzuri nimesali kwenye misa ya watoto. binafsi ni mdau mnzuri ya ibada hii na huwa inanisaidia kuondoa stress za kimaisha kwa jinsi watoto wanavyofurahi ibada yao huku wakijiachia kwa miruzi na kelele katika kushangilia pale wanapruhusiwa. hivyo nikawaza sana lakini pia nikaona...
  12. Chiwa

    Haijalishi tumekosea wapi turudi tujipange!

    ifike wakati tutazame upya safari tuliyoianza kuikomboa nchi yetu katika kusimamisha uchumi imara na kuendelea kuwa na nchi yenye amani na mafanikio. tumekuwa watu wa kulalamika mno naogopa kusema kama wanawake! lakni hili ndio kweli. wachache wanaojitoa kwa bidii kwa ajiri ya taifa na jamii...
  13. Chiwa

    Tangzo hili linanikwaza!!

    hivi hapa wadau inakuaje? anyway sijui mimi ni mshamba au wa kale! hili tangazo la mama mjamzito halinifulahishi hata kidogo na mbaya zaidi linatoka saa mbilimbili umepiga pozi na familia mnaangalia habari mara hao na uingizaji wao! hivi tumeshindwa kutumia njia nyingine kueleza ni kwa jinsi...
  14. Chiwa

    hii katuni siielewi kabisa!

  15. Chiwa

    shule zetu bwana

    Academy St kayumba Anaamka asubuhi na kupanda basi la shule au usafiri wa familia Anapewa nauli au anatembea kwa miguu Achapwi viboko Viboko vipo vya kishkaji Shule ya awali wanatoka saa tisa na wana muda wa...
  16. Chiwa

    msaada wa haraka tafadhari

    nina ka frim kangu nashughulika na mambo ya ushauri na hasa kwa biashara ndogo na za kati sasa ninina mteja anahitaji ni wapi anaweza kupata chemical hizi hapa carborundum mesh 120mm, carborundum mesh 220mm,carborundum mesh 400mm,carborundum mesh 600mm,carborundum mesh 1200mm. please assist me...
  17. Chiwa

    nauza kiwanja twangoma

    nauza kiwanja kipo twangoma chenye mita za mraba 984 kina hati bei yake 27million kwa anayehitaji ani pm
  18. Chiwa

    hali hii mpaka lini

    Mimi ni mtanzania Ndio ni mtanzania .tena asili ya nchi yangu tena yaTanganyika na Zanzibar, Bali nimekuwa mdanganyika nikidanganywa kila kukicha na watawala wangu, Nilio waweka mwenyewe nikitegemea watanikomboa na umaskini wangu, kwa uadilifu wao na ahadi zao. Lakini sasa watawala hawa...
  19. Chiwa

    nauza kiwanja

    kipo twangoma km17 kutoka ferry kina ukubwa wa mita za mraba 984. kimepimwa na kina hati halali. mbele kina open space kubwa inaweza kutumika kwa bustani ya mbogamboga kinafikika vizuri. kipo block 11 kwa mawasiliano 0783 226144,0713226144
  20. Chiwa

    Nataka kujua maandalizi ya awali ya mradi wa nguruwe

    nakumbuka zamani nilisoma miezi 6 pig production ila mwalimu hakuwa anaweza kunielekeza vizuri na kiingereza chenyewe cha form one ndo vile matokeo yake leo nakumbuka kidogo sana.ninajipanga kufanya biashara hii kwa sasa naomba nielezwe uzoefu wenu pia niweze kuongeza ufanisi zaidi ikiwa ni...
Back
Top Bottom