Search results

  1. Chiwa

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Do! zungukeni kote lakini mwisho hakikisheni unatueleza tunatokaje kwenye umaskini uliokithiri tunaokaa nao bila sababu huku tukiendelea kuwaheshimu na kuwajengea himaya viongozi wasio waaminifu katika mali na raslimali za taifa.
  2. Chiwa

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Pole sana ndugu nikuulize maswali mawili kisha nikushauri Mkeo ulimkuta ni bikira? kama ulimkuta bikira je na wewe alikuwa mwanamke wako wa kwanza katika maisha yako? kama haya yote majibu ni hapana ni kwamba toka mwanzo mlioana wote mkiwa mme wa mtu na mke wa mtu (yaani ukioa mwanamke ambaye...
  3. Chiwa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    kuna wakati huwa sielewi kuwa napandisha mlima au nashuka? lakini muda unaenda kwa kasi sana na mikono yangu haijui ilichoshika. katika yote wacha tuendelee kuzibebesha nafsi zetu kwa kadri ya faraja inayofikiri yafaa.
  4. Chiwa

    Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

    Do! mama ntilie wakati mwingine unaweza kufikiri hawajui wanachotafuta, unaweza kwenda kununua chapati tupu wakakukatalia kuwa hawauzi bila chai, haya siku nyingine unaenda unataka chai tupu hawataki tena!
  5. Chiwa

    Kahawa ni moja ya nyara za Serikali

    kuna mtu alinifundisha kuwa kadri unavyozidi kuwa mkubwa uwezo wako wa kutumia akili unapungua na unabaki kutumia busara na hekima. uchumi unajengwa kwaakili na maarifa pia tekinolojia. Sasa sisi tunaendelea kuwaruhusu na kuwakubali watu walewale toka wakiwa vijana na sasa wanavitukuu...
  6. Chiwa

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    umeandika mengi sana na mengine umeihukumu bila sababu lakini lililokubwa ni kwamba umejihesabia haki na wengine ukawaona ni takataka; lakini kaa ukijua kanisa haliendi mbinguni safari ya mbinguni ni ya mtu binafsi. injili ya kuwatenga wadhambi imepitwa na wakati tunahitaji wadhambi waje jinsi...
  7. Chiwa

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    huhitaji wakati mwingine wala haya makanisa ya Kilokole ili kuacha tabia mbovu. wako vijana wameokoka lakini wanakila tabia mbovu hukohuko ulokoleni wanawashughulikia mabinti kupita kiasi na pia ni walevi. wako pia vijana hawajaokoka lakini ni waaminifu mno kwa MWENYEZI MUNGU wanamweshimu MUNGU...
  8. Chiwa

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    watawala wengi hawako tayari kujifunza na wataalamu wetu wamefyata mkia wanafanya wanayotaka watawala wanaogopa kugombana na Kaisari. sijui kama wanajua thamani halisi ya shule zao na kwa jinsi watanganyika wanavyowategemea. lakini wakae wakijua watanganyika wamechoka siku wakiamua hapatashikika...
  9. Chiwa

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    sijui tunaenda wapi lakini kadri siku zinavyokwenda viongozi tunawafanya kama wanasesere wa udongo utafikiri hawakutoka kwenye familia zetu hii mbaya sana. kibaya zaidi tunatengeneza mazingira ya kuzilinda koo fulani zitutawale milele wao na kizazi chao! Kabla ya hata mkoa haujagawika unaweza...
  10. Chiwa

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    binafsi huwa najiuliza kipindi cha Wakoloni na Nyerere mpaka Mwinyi tulikuwa na mikoa michache na wasomi wachache achilia miundo mbinu hafifu(haikuwepo kabisa) lakini nchi haikuwa na lundo la viongozi. sasa tuna viongozi wasomi lakini wengi ni watawala wako kuimega vizuri keki ya taifa. binafsi...
  11. Chiwa

    Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    nafikiria hivyo pia. bahati mbaya semi za zamani hazina nafasi kwa siku za sasa vinginevyo tungesema ngoma ikivuma sana hupasuka. toka kipindi cha Adamu wanawake hawajawahi kuona mbali (inawezekana sio wote inategemeana na tukio) na mwisho wa siku huanguka vibaya.
  12. Chiwa

    Meli ya Maman BENITA yazama ikiwa na abiria 26, aonekana 1 tu

    kifo cha maji ni mateso kwakweli MWENYEZI MUNGU awapumzishe salama.
  13. Chiwa

    Meli ya Maman BENITA yazama ikiwa na abiria 26, aonekana 1 tu

    hahaa...haa.haa... tutajifunza kuruka
  14. Chiwa

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    hata mimi ningekushauri uuze kama ofa inalipa ili uwende kujenga kwingine vinginevyo hao kukudhurumu sio shida kwao na hela ya kuendesha nao kesi huna. mwisho wa siku watakupa bei wanayotaka watakwambia fedha nyingi imepotelea kuendesha kesi na wewe hivyo chukua kilichopo.
Back
Top Bottom