Search results

  1. Black Queen

    Anataka vitu alivyonihonga nimrudishie eti.

    Likisha kupathua utafute mwingine wa kukuugudha eh! Dume zima hovyooooo!
  2. Black Queen

    wanawake wengine wazuri jamani!!!

    Macho hayafilisi duka ati!
  3. Black Queen

    Siri hujenga au hubomoa mahusiano?

    Utata mtupu! Siri kuhusu watoto, pesa haijengi kabisa. Wanaume wengine hawana vifua ukimpa kidogo tu yaliyojiri enzi hizo wanapaniki! ya nini masumbufu! Lakini ni vizuri pia ajue kuwa anaweza kufundishwa vilevile, asijifanye anayajua mambo saana!
  4. Black Queen

    Lina na Amini wanatuchora!

    Hovyoooo!!!
  5. Black Queen

    wanawake wanaoolewa They are not SMART

    U smart kulala vijigesti na kupewa vi chenji? Polee. Huna lolote watuonea gere tulio ndoani!
  6. Black Queen

    Ladies:- Je unaweza kuolewa na mwanaume aliye na watoto wanne kwa wanawake watatu tofauti tofauti?

    U special gani nilionao ndo anioe? Labda kama nataka kutoa nuksi ndo nitaolewa naye
  7. Black Queen

    Nani mlevi zaidi.......

    Wamefungana!
  8. Black Queen

    Nimehongwa gari na X Girlfriend, mke wangu hataki kuliona

    Na mkeo akipewa zawadi ya birthday na X wake uipokee kwa "mikono miwili"
  9. Black Queen

    Shemeji yangu huyu ananitega!

    Tamaa tu inakusumbua huna lolote! Wanaume wengine bwana mkiheshimiwa mnatamani, msipoheshimiwa maneno, mwataka nini haswa? Na huyo shemeji shule anaenda saa ngapi? Usiku? Huo muda wa kukuhudumia asubuhi anatoa wapi?
  10. Black Queen

    Precision Air mmezidi

    Tatizo kubwa la precision hawatoi taarifa mapema kama kuna tatizo, ingawaje wanachukua namba za simu
  11. Black Queen

    kabla ya kufua nguo tuzikague, sharo kimemkuta leo

    Sayansi Kimu, Ala kumbe tumetoka mbali eh!
  12. Black Queen

    Je hii ni adabu? Naoa kesho.

    ​Bahati yako ungeingizwa kwenye mtandao!
  13. Black Queen

    Usiombe ukutane na Mwanamke wa UJIJI-Kigoma

    ​Tanga je? Umewajaribu?
  14. Black Queen

    41% ya Wanawake hawazungumzi na Wamama wakwe zao

    Kuna ukweli kwa kiasi fulani. Tatizo kubwa ni kina mama wanaona wana wao hawalelewi ipasavyo na wake zao hivyo kupelekea wao kuingilia masuala ya nyumbani kwa mwana wao. Na pia huwa hawakubali kwamba wao si mama wenye nyumba na wapangaji wa majukumu ya nyumbani. Wivu!
  15. Black Queen

    Jenerali ulimwengu achafua hali ya hewa mkutano wa kutathmini APRM kwa kuhoji kura za urais za 2010

    Swali gumu subiria majibu mepesi kama yatapatikana!
  16. Black Queen

    Kwa nini Serikali Ya CCM Haichukui Hatua Dhidi ya Majangili Wa Kisomali

    ​Huyo wa kumfunga paka kengele atoke wapi?
Back
Top Bottom