Search results

  1. M

    Makinikia ya Tani 7 za dhahabu kwa mwezi

    Baada ya vumbi la Kamati Teule ya Mheshimiwa Rais kuanza kutulia ningeomba kudadavua namba za Kamati hiyo kwa makini zaidi ili tujiridhishe zaidi. Ukichukuwa kwa namba za wastani, wastani wa dhahabu kwa kila kontena ni kilo 28. kuna makontena 277 yaliyozuiwa sehemu mbalimbali. Baada ya kadhia...
  2. M

    UMOJA NI NGUVU: Mandamano ndio silaha ya mwisho

    SA students: Zuma freezes tuition fees amid protests - BBC News Siku zote watawala huwa hawa wafikirii watu wa chini. Hivyo, njia pekee wakuwalazimisha watawala wafanye yale wanayotaka watawaliwa ni maandamano. Mkiwa kitu kimoja hakiharibiki kitu
  3. M

    Kwa haya ya Mwanza, kuna bomu linatengenezwa

    Hbari za leo Great Thinkers. Leo nimebahatika kuwa jijini Mwanza katika pilika zangu za kutafuta kamuhogo. Bahati nzuri leo pia mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Mh. John Pombe Magufuli yupo jijini kwa ajili ya kujinadi. Wakati na ingia jijini Mwanza nikitokea Musoma , nilipofika Kisesa kuingia...
  4. M

    Serikali yatoa waraka wa kufunga vyuo vyote vya serikali

    Katika hali isiyo tarajiwa Serikali imetoa amri kwa vyuo vyote vya ufundi, ualimu nk kufungwa kwa wiki mbili kuanzia tarehe 16/10/2015 ili kupisha uchaguzi. Hii ni kutokana na hofi iliyo tanda ndani ya serikali kuwa wanavyuo wengi wana waunga mkono UKAWA. Vyuo husika ni kwa mfano Arusha Tech...
  5. M

    Kampeni za uchaguzi mwaka 2015

    Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa kampeni za uchaguzi mwaka huu na kuona jinsi ulaghai wa dhahiri unavyo endelea. Kuna vitu kama chama CCM na hisi wamekubaliana kwenye vikao vyao vya ndani ili kukinusuru chama kuwa chama pinzani. Mathalani ni Mabango ya kampeni mengi ya Magufuli hayanadi...
  6. M

    Kamatakamata ya wagombea ubunge CHADEMA yafikia wanne

    naomba kunukuu sehemu ya habari ya iliyo chapishwa katika gazeti la Nipashe la leo, "....."Tulipata taarifa na nikamwagiza kamanda wa FFU akawaondoe lakini katika hali isiyo ya kawaida, askari walipofika pale wale vijana walianza kuwarushia mawe na ndipo askari walipofyatua mabomu ya machozi...
  7. M

    Ahadi za wagombea urais

    Baada ya wiki tatu za kampeni watanzania tumesikia ahadi nyingi kutoka kwa wagombea Urais. Nilipiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1990 tangia mwaka huo sijawahi acha kuiga kura. Kampeni za mwaka huu na weza sema zimekuwa za hovyo kupita zote. Mgombea urais wa ccm anajaribu kunadi ilani yake ya...
  8. M

    Mabango ya wagombea wa Upinzani yanang'olewa

    Watanzania wenzangu, juzi nimeingia Mwanza kutoka Pwani. Barabara ya Nyerere kuelekea Benki kuu kuna mabango mengi sana ya kumnadi MAGUFULI kama yeye na wala si chama. Nikaamua kumuuliza muuza magazeti pale kwenye makutano ya barabara ya Nyerere na Syesheni mbona hakuna mabango ya wagombea...
  9. M

    Kinana: Magufuli kuisafisha CCM na Serikali

    Leo ndo mnakiri haya.....alikuwa wapi kusafisha chama kama katibu mkuu? ==== Moshi. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema ndani ya CCM wapo watu wa hovyo, wezi na wanafiki, lakini kama watamchagua Dk John Magufuli kuwa rais, ataisafisha CCM na Serikali yake. “CCM tumejitahidi kuleta...
  10. M

    CCM ni waumini wa serikali tatu

    .. WAKATI mjadala mkali ukiendelea juu ya muundo unaofaa kudumisha Muungano wa Tanzania; CCM ikiwa imeshikilia muundo wa serikali mbili na Rasimu ya Pili ya katiba inayotokana na maoni ya Watanzania ikiwa inapendekeza muundo wa serikali tatu, mambo mengi na ya msingi yanaendelea kujiweka...
  11. M

    Political Parties in Tanzania

    I have an idea that our national must change to match those of corporate world. Presidents and ministers must be like CEOs and Managers who are appointed on merit, in other words they must have right CVs to carry out this job. Countries must move away from the politics of popular political...
  12. M

    Siasa za Kitanzania

    Ni napenda kumshukuru Mungu kwa kuweza kunijaalia afya na akili ya kuweza kutambua mema na mabaya. Kila mtu ana haki ya kufikiria na kutenda kwa uhuru kabisa bila kuvunja sharia na taratibu tulizojiwekea. Kumekuwepo mtindo wa kwa baadhi ya Watanzania kushabikia eti vyama vya upinzani vife ili...
  13. M

    SIYO KWELI kuwa Wakilii Kibatala apata ajali!

    Wakili msomi Kibatala amepata ajali muda mfupi uliopita katika barabara ya Dodoma-Iringa. Tunafuatilia kujuwa idadi kamili ya majeruhi nk.Kwa taarifa zizotufikia hapa Dodoma muda mfupi uliopita gari la msomi lilikuwa limepunguza mwendo kukwepa shimo ghafla likagongwa kwa nyuma...More news to...
  14. M

    Daftari la wapiga kura Kaloleni, idadi ya wapiga kura yazidi idadi ya wakaazi

    Uchaguzi wa marudio wa viti vya udiwani pale Arusha mjini tarehe 14/07/2013 , umeacha swali moja suala la muhimu kabisa ambalo wapenda demokrasia nchini wamekuwa wakilipigia kelele kwa muda mrefu ambalo ni daftari la wapiga kura kuboreshwa. Kwa mara ya mwisho daftari hili liliboreshwa tena kwa...
  15. M

    Tatizo la arusha

    Nikiwa kama Mtanzania mwingine anaye penda haki na amani iwepo kwa kila raia na mgeni hapa Tanzania napenda kusema kuwa tatizo Zima la Arusha lipo ndani ya Jeshi la Polisi. Ndani ya Jeshi la Polisi ukitaka haki itendeke basi wewe ni adui na unaunga mkono upinzani. Kwa nini nasema hivyo 1. RPC...
  16. M

    Bajeti ya Tanzania na Boda boda

    Mimi ni mmoja wapo ya Watanzania wachache tuliobahatika kupata kibaru angalau na kuingia kwenye mfumo rasmi wa kodi...PAYE. Pamoja na hilo pia nimekata health insurance hivyo nikiugua napata tiba kutoka kwa bima yangu... Ili nchi yoyote iendelee ni lazima ikusanye kodi na kuwajibika kutumia...
  17. M

    PRof. Mutakyahwa

    Leo wanataaluma na wataalamu wa sayansi ya dunia (Earth Scientists-Geologists et al) tumemzika mwanataaluma mahiri Prof.Mutakyahwa. Prof.Muta ni mmoja wa wataalamu waliotoa mageo karibia wote walioko migodini na nje ya nchi ambayo ndo wanaaingizia mifuko ya hifadhi ya jamii mabilioni ya...
  18. M

    To all ccm leaders

    :sad: I think Chenge, EL, RA and others should listern this YouTube - Femi Kuti - I Wanna Be Free
  19. M

    Elections 2010 Dr.hoseah na takukuru yake wanafiki

    Nimekuwa niki fuatilia kwa makini utendaji kazi wa hii taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa muda sasa. Kwa muundo wake kwa sasa ni heri isiwepo kabisa kwani wanakula na kutuongezea gharama za kodi tu ili walipwe mishahara minono. Mara baada ya sakata ya Richmond kuwa hadharani unafiki...
  20. M

    Elections 2010 TAKUKURU yamtia nyavuni Felix Mrema - Arusha mjini

    Mambo ya CCM kutumia fedha kwa kujipatia uongozi yanaendelea kujidhihirisha. Kwa sasa PCCB ina mshikilia Mh.Mrema na mabalozi kadhaa kwa tuhuma za rushwa.....nitawaletea habari kamili baadaye kwani mpaka sasa bado wanahojiwa.
Back
Top Bottom