Tatizo la Nchi yetu lipo kwenye mfumo wa uendeshaji wa Serikali. Huu mfumo tulio nao ni wa enzi ya Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere. Ulikuwa based on trust zaidi kuliko kuwa wa wazi ulio na check and balance.
Pili, Serikali yetu imekuwa na upungufu wa Watendaji kwani kwa sasa ili uweze teuliwa...
Kimsingi sekta ya madini kwa sasa imesimama kabisa hasa kwenye upande wa utafiti ambao una gharama kubwa ambazo mimi na wewe hatuwezi kuzibeba kwani bado tuna hangaikia kushiba kwanza. Ni ukweli usio pingika kuwa serikali kwa sasa ina kusanya maduhuri mengi kwenye sekta hii ila haina maana kuwa...
Kwa sheria zetu wenyewe Mrahaba ni 6%, Inspection fee 1% na District development Levy ni 0.3% jumla ni 7.3% ambazo mtu unatakiwa kuzilipa kabla ya mzigo haujaenda kwenye soko la madini....yaani unazilipa kwenye Ellusion Plant ndio afisa madini anakupatia kibali cha kusafirisha kwenye kwenye...
Naomba kuweka kumbukumbu sawa.....James Kilaba ambaye ndo DG wa TCRA alifiwa na watoto wake wote kwenye ajali. Kabla ya hapo alishapoteza mke wake wa kwanza hivyo akao mke mwingine ambaye alipoteza watoto wake wawili kwenye hiyo ajali iliyo chukuwa pia maisha ya mtoto wake mkubwa ambaye aliachwa...
Kuna sababu nyingi kwa gari kukosa nguvu. Gari yako haina nguvu hata kwenye tambarare kwa kuwa unapo panda mlima nguvu nyingi ina hitajika ndo maana unahisi na kusikia haina nguvu
Kwanza kabisa
1. angalia fuel pump yako kama ni nzuri
2. angalia spark plug zako
3. angalia sparl plug cables kama...
Uko sahihi kabisa Mtanzania mwenzangu. Kwenye suala la upelelezi Jeshi letu la Polisi bado lipo nyuma kabisa. Nimekuwa mfuatiliaji na muangaliaji wa kipindi cha TV Crime Investigation kwa muda mrefu. Ukiona vile wenzetu wanavyo tumia ujuzi na maarifa kupata ushahidi kabla ya kufanya ukamataji...
Weka kumbukumbu zako sawa......Kwenye varangati la Arusha pale Josephine alipopamba kurasa za mbele za magazeti na picha yake akitiririka damu, Mbowe alilala mahabusu ya Arusha mjini kabla ya kuhamishiwa Usa River.....
Gross official foreign reserves increased to USD 5,832.0 million at the end of January 2018 from USD 4,332.4 million at end of January 2017. The reserves were sufficient to cover 6.0 months ofprojected import of goods and services,excluding FDI financed projects. Gross foreign assets of banks...
Utafiti uliofanyika ni kuchenjua dhahabu pekee . Maana yake wao wanahitaji dhahabu kwa sasa na wataweza kupata asilimia 85 ya dhahabu kwa kila tani moja watakayo chenjua,kumbuka hapa wanatumia cyanide na kuachana na silver na copper ambazo sasa zitakuwa kwenye tailings....hii ni hasara kwa nchi...
Hili tangazo lina rudiwa kwani kwa mara ya kwanza lilitolewa mwezi wa sita kama sijakosea. Tatizo ni jinsi ya kumpata mtu atakaye kubaliana na masharti yetu na sheria zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga ni mtu asiye kuwa na ufahamu wala elimu ya kitu flani. Akielimishwa huwa sio mjinga tena. Huyo huitwa eliye elimika. Kwa kiingereza ni ignorant . Rejea wanasheria wana mwita mtu yeyote ambaye hajasoma sheria ni Ignorant.
Mpumbavu anaweza kuwa ni mjinga au aliye elimika na hataki kufungua...
Tanganyika hakuna wanasiasa kuna wafanyabiashara wa siasa....Make my words...nahisi kitakachotokea ni umoja mkubwa sana wa upinzani.
1. Lipumba ata tumika mpaka 2020,ata pata ruzuku yote na kushangilia
2. Cuf zanzibar '' itaungana na Chadema '' kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa
3. Ukawa...
The value of acacia today is approxinated $980 million.
So $190billion equals to the total market value of the top 206 gold mine companies in the world, and if you combine the value of Acacia and Barrick you can get about $20 billion
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani watu wa Sumatra wana iona hii picha....hawa wanatakaiwa kushtakiwa kwa kuhatarisha maisha yao...wote hawana PPE....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kizazi mimi nimekipachika jina kwa kiingereza kinaitwa " Lost Generation" hawa ni vijana walio maliza vyuo kati ya 2010 na sasa. Mara baada ya mtikisiko wa kiuchumi wa 2008 na 2009,hakuna ajira za maana zimepatikana hapa Tanzania kutoka serikalini au sekta binafsi....hivyo kuna vijana wengi...
Wewe unapigana na mtu kashikiliwa mikono yake nyuma na ''basoda'' halafu mashabiki mnashangilia bondia wetu ni bora sana....hapo mpumbavu ni nani?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kisimiri ni shule ya kata yenye ufadhili wa mzungu...yeye anaboresha mazingira pale serikali ilipo ishia.....
Mzumbe,Kibaha,Tabora Boys and Girls,Ilboru zote huchukuwa cream ya Taifa kutoka kwenye matokeo ya kidato cha nne, hivyo usishangae kufanya vizuri bali shangaa wakifanya vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.