Search results

  1. S

    Hivi CHADEMA mmeshawahi kusema mtawafanyia nini watanzania?

    Tunawaahidi watanzania tutaiba hela zao tutaficha mabank ya uswis
  2. S

    Eti ni kweli kampuni ya forever living inahusishwa na Freemason?

    Unaweza tengeneza hela nyingi sana, i am telling you.
  3. S

    Eti ni kweli kampuni ya forever living inahusishwa na Freemason?

    Hutaweza alezwa hapa kwa ufasaha ni maelezo marefu. Ila ni kitu kinachoelezeka na justfiable. Mimi mwenyewe nafanya na napata hela nyingi. Tunacheza na concept ya kutengeneza network yako. Ingiza watu watatu, wafundishe na wasaidie walete watu watatu watatu nao walete watatu watatu, nao walete...
  4. S

    Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi

    Sina la kuchangia hapo naogopa meno yangu.
  5. S

    CCM, yako wapi Maisha Bora mliyoyaahidi kwa watanzania?

    Madahara ya kukubali t-shirt na ubwabwa wakati wa uchaguzi na kuuza kura yako. kupanga ni kuchagua.
  6. S

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    umeme juu, huduma za jamii hamna, ujangili umekithiri, kazi kuiba hela zetu na kwenda kuficha nje, ujinga huu hauwezi kudumu milele.
  7. S

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Atangoka tu. hata aende wapi. He must go to hell.
  8. S

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Hata kama mahakama italazimisha abaki haisaidii, huyo ni CCM. Ni lazima TUMTIMUE. ije mvua, lije jua ni lazima tumngoe. Hili ni pandikizi.
  9. S

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Jamani hawajamaliza tu ili tufurahie jinsi zito atakavotimuliwa kesho?
  10. S

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    pole sana mkuu. ni biashara gani umefanya, na umetumia njia gani? kuomba tu bila kuweka juhudi hutofanikiwa.
  11. S

    Natafuta mume wa kujenga nae familia

    ndaga fijo.
  12. S

    Business partners needed/washirika wa biashara wanahitajika

    jamani, muwe waelewa. you can not explain each and everything here kwa sababu kuna watu always they have negative moods . Amabao wako tayari will definetely come, as other have already seen the oportunity.
  13. S

    Business partners needed/washirika wa biashara wanahitajika

    Mwaka 2014 ndo huo uko mdomoni, je utaumalizaje? Wengi wetu mwaka 2013 ulikuja na hatukufanya chochote cha kuleta tofauti sana. Nikukaribishe kuungana nami ili nikuonyeshe namana ya kuufanya mwaka 2014 uwe mwaka wako wa mafanikio. Ni biashara ambayo unaweza kufanya muda wako wa ziada kama ni...
  14. S

    Ni Hotel/decent guset house gani nzuri pemba?

    Habari wana JF. Ninasafiri kikazi kwenda Pemba, naomba kama kuna mtu anayejua normal hotel or decent guest ambayo naweza kukaa aniadvise. Sijawahi kabisaa kufika huko kwenye visiwa vya karafuu. Chondechonde wasije wakani Fr. Mushi.
  15. S

    KUHUSU Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 'kushikiliwa polisi'

    Hebu wana sheria watusaidie hapa. Ushahidi unapelekwa polisi au mahakamani? Ninavyoelewa ushahidi unakuwa adjused mahakamani na si polisi. Zaidi ya hapo polisi hawawezi kumlazimisha kiongozi wangu wa chama kuutoa kwao kwani hakuna sheria inayoruhusu. wanachofanya polisi ni siasa za maneno tu...
  16. S

    Homosexual is a transitional process

    Sure, transition to "Uliberalism". Nyambafu.
  17. S

    T2015cdm

    Is this number already out T2015CDM. I really need this number for my new toyota prado i have ordered. Any one with an idea?
  18. S

    Hongera mzee Paschal Florian Mwarabu kutimiza miaka 70

    Apewe hongera zake, nyimbo zake ni tamu sana.
  19. S

    Mkutano wa CHADEMA Mwanza mambo yanazidi kupamba moto.

    Nyomi ya kutosha, je wangeenda na Diamond kama wenzao ingekuwaje. Unajiuliza watu wanaenda kusikiliza mkutano au wanaenda kumwangalia Diamond.
  20. S

    Wizi wa kunywesha/lishwa madawa unavoshamiri dar

    Habari za shughuli wana JF. Nimeona niwaletee kisa hiki kidogo ili kitufundishe tusiingie kwenye hili jambo. Mchana huu hapa opposite na mlimani city tumemkuta kijana huyu (picha attached), akiwa hajielewi kabisa na yuko hoi, watu wakiwa wamemzunguka kwa mbali. Kwa maelezo ya mashuhuda alikuwa...
Back
Top Bottom