Search results

  1. Vikao vya Harusi

    Vita ya Ukraine na kisasi cha USA kwa Urusi

    Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi...
  2. Vikao vya Harusi

    Salary ya credit clerk postal bank

    msaada tutani waungwana, nahitaji kufanya maamuzi ya kuingia postal bank, naomba kwa anajua mashahara wa credit clerk(bachelor holder). Hilo tu waungwana.
  3. Vikao vya Harusi

    Strictly eligible

    Ungana na mimi kusaidia kazi ya kuwaweka hadharani watu wenye vyeti feki eneo lako la kazi(hasa serikalini), ili wenye sifa waipate stahiki yao(ajira) na pia kuirahisishia serikali kazi ya kuwatafuta.
  4. Vikao vya Harusi

    Strictly eligible

  5. Vikao vya Harusi

    Elimu bure ni ndoto za abunuasi

    Naomba mnikumbushe kesho juu ya kuiendeleza hii thread, ila kwa sasa ngoja nianze hivi, Lowassa ametoa ahadi ya elimu, well wengi wenu ni waalimu, na by nature mlilazimika kusomea ualimu sio kwa kupenda, ni kutokana na kwamba shahada ya elimu ilikuwa financed na bodi ya mikopo, sasa fikiria...
  6. Vikao vya Harusi

    Niliwahi fikiria hakuna upinzani wa kweli Tanzania

    Miaka kadhaa nyuma, niliwahi fikiria Tanzania hakuna upinzani wenye nia ya dhati ya kuwakomboa wanachi toka mikononi mwa CCM, nadhani sasa yanatimia, mwaka huu CCM kwa mara ya kwanza itasimamisha wagombea wawili katika kinyang'anyiro cha urais, na hili halipingiki. Hakuna asiyejua kuwa lowassa...
  7. Vikao vya Harusi

    IFM Admission office/secretary nani kawaroga?

    Sijajua ni mazoea au ni malezi, kuna mama mweupe mmoja yupo ofisi ya admission, hana huruma na wanafunzi hata kidogo, mimi nilienda kufanya clearance yangu leo, kumbe vijana wanafanya mitihani, sasa kuna wale loan beneficiary ambao boom halijatoka mpaka leo na wanategemea walitoe sehemu kama...
  8. Vikao vya Harusi

    I need iphone 5s

    Simu tajwa hapo juu inahitajika haraka sana budget 750k,pm me for more negotiation
  9. Vikao vya Harusi

    Zitto na swali toka kwa follower wake!

    Ni wengi tulipenda kujua mtizamo wa Zitto juu ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la kalenga Yeye kajibu "sina maoni yoyote" Umejifunza nini hapo!?
  10. Vikao vya Harusi

    GREAT THINKERS [wise minds]

    Nini maoni yako endapo bunge litaendelea kukumbwa na mivutano inayoendelea? Unadhani nini kifanyike ili ifikapo mwakani, tuwe na katiba mpya kabla ya uchaguzi?
  11. Vikao vya Harusi

    Nafurahi kuona utulivu humu

    Baada ya matokeo ya Kalenga kutoka,sijaona papara papara nilizozoea kuona baada ya uchaguzi,watu wamekubali yameisha!
  12. Vikao vya Harusi

    Msaada wa kitabibu

    Natanguliza salaam! Ninapenda kuuliza, inagharimu kiasi gani cha pesa kutengeneza test tube baby,kwa wazazi ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida! Jioni kareem!
  13. Vikao vya Harusi

    Msaada wa kitabibu

    Natanguliza salaam! Ninapenda kuuliza, inagharimu kiasi gani cha pesa kutengeneza test tube baby,kwa wazazi ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida! Jioni kareem!
  14. Vikao vya Harusi

    Effects za BAN

    Kwangu imenipotezea ladha ya jamiiforums kabisaa! Huwa naingia kwasababu tu,ni sehemu niliyokuwa nimeizoea I don't feel the same as it used to be! Wito: punguzeni ban zinazoweza kukwepeka!
  15. Vikao vya Harusi

    Go home jk,era yako inaishia,tuache na Edo

    Kauli ulizotoa jana, hazimkatishi moyo wake wa kujitolea!calm down and watch the throne!
  16. Vikao vya Harusi

    Msaada

    Naomba mwenye video(s) za jinsi makomandoo walivyoperfom kwenye kumbukumbu ya mapinduzi ya zanzibar anitumie link au nimpe email yangu
  17. Vikao vya Harusi

    Kimyaaaa

    Kuna sababu moja tu inayonifanya nipende siasa za Tanzania! Siasa zinaendeshwa na upepo,upepo ukiisha,tunarejea katika hali ya kawaida Rejea suala la Zitto!
  18. Vikao vya Harusi

    Shime shime tuongeze madaraja ya elimu zetu

    Ilikuwa imezoeleka kuona matangazo ya kazi magazetini yakihitaji mtu mwenye bachelor akihitajika,na mara chache sana nimeona mtu mwenye diploma akihitajika Ili kilichonichanganya leo,ni pale nilipoona tangazo likiwa katika hali ya BLACK AND WHITE,kwenye Nguzo ya umeme,ikihitaji mtu mwenye...
  19. Vikao vya Harusi

    Upo wapi mda huu

    mimi nipo ndani ya kivuko cha mv magogoni naelekea upande wa magogoni Je ww upo wapi mda huu?
Back
Top Bottom