Search results

  1. G

    CCM Oktoba 2020 tunaomba Ubunge ubaki kuwa nafasi za uongozi si ajira

    Umeongea vema hasa kwamba wabunge wamekuwa waajiriwa badala ya wawakilishi. Ni kweli hakuna ubunifu kabisa majimboni. Mbunge ni kiongozi anatakiwa kumobilise siyo kila kitu kusubiri serikali. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

    smart people can not discus this.
  3. G

    Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

    Ukitaka kujua chadema ni uchaga wewe jifanye kichaa kugombea uenyekiti taifa.....
  4. G

    Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

    Ukitaka kujua chadema ni uchaga, wewe jifanye kichaa kugombea uenyekiti taifa......, kamuulize kitila mkumbo!
  5. G

    Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

    ukitaka kujua ni uchaga mtukula, wewe jifanye kichaa kugombea uende kitu taifa.......,
  6. G

    Kumbe Nape Nnauye ni mjinga hivi

    Ujinga hapo upo wapi? Chama kina utaratibu wa kutoa taarifa rasmi, hao waliotoa matokeo ndo wajinga.
  7. G

    Edward Lowassa special thread

    Hata wewe ulikuwa team lowasa, umeasi tu baada ya kusikia Tetesi......, simama imara!
  8. G

    CCM imedhihirika kukomaa kisiasa lakini...

    Sishangai lowasa kukatwa , nashangaa januari kapenya vipi au ndo anaandaliwa uwaziri mambo ya nje?
  9. G

    Reginald Mengi kugombea Urais

    Hatuitaji rais kama mengi.
  10. G

    Kwanini wanawake mnafanya hivi jamanii?

    Story ndefu sisomi, sina muda.............. Acha uzinzi.
  11. G

    KKKT: kufungisha ndoa mnatoza 100,000/=!

    Hujaenda kanisani mda mrefu, lipia upate ndoa.
  12. G

    Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Tunasema...

    umejaribu kueleza lkn, hujaweka wazi kwa jamii. kama watu hawa ni waumini wa kanisa hilo wkanshe anisani.....
  13. G

    Picha - Barabara za juu kwa juu zitakavyobadili sura ya jiji Dar

    nchi kutekeleza mradi kama huu inahitaji watu makini na wala si fedha
  14. G

    Nimemtia mimba

    Pole rafiki! Ushauri ndo huu; toa taarifa kwa wazazi wako hata kama unajua utakuwa umewasha moto, watakulaumu sana bt watatafakari pia namna ya kukusaidia. ujue binti kwao atalaumiwa sanaaaaaa, bt inategemea wazazi wake understanding yao, ila ujue sasa umekuwa mtu mzima, kazi kubwa ipo huko...
  15. G

    Mhe. Edward Lowassa Richmond kuibuliwa 2008 kama si mapenzi ya Mungu Israel na aseme

    usihusishe Mungu na ujinga wa lowasa! hata wewe fikiria wazo lako upya! nchi hii haiwezi kuliwa na panya kiasi hiki. kama umepewa sabuni ya roho na lowasa, imekula kwake mazima! afadhali tumpe mtikila ambaye kila kesi anayoshtakiwa na serikali anashinda!
  16. G

    Dar es Salaam City in Photos

    tuhamie dom kabla tsunami haijatukuta!. miaka 50 imetosha kukaa dsm, tuhamie dom.
  17. G

    Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

    malumbano kama hayo ktk siasa ni kitu cha kawaida, wasira ni mkongwe ktk siasa fitna anaziweza sana, slaa akae chonjo!
  18. G

    Lowassa apanda chati kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Ni kweli lowassa ni jembe! "zimwi likujualo halikuli likakwisha" ikifika mahali tukafika njia panda ni heri kufanya maamuzi magumu! Kumteua lowassa kukimbiza urais ni kufanya maamuzi magumu. Nchi hii ilipofika inahitaji kiongozi dikteta!
Back
Top Bottom