Search results

  1. J

    Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Akili za watanzania original ziko kama hizi. Unasema aache kuifananisha Tanzania bara na Zanzibar eti uchumi wa bara unategemea vitu vingi!! UMEELEWA ALICHO ANDIKA MLETA MADA? Kuwa navyo hata milioni lakini bila akili hatufiki kokote!!
  2. J

    Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

    Kweli wewe akili yako haijui kupambanua mambo! Ngoja nikusaidie........ Kwanza ujue walio mshauri Samia kwenda Kwa Maaskofu ndio hao hao state.... Pili, Bank ya mkombozi katika Saka like ilitumika kama kakapu kinavyo tumika kubeba matunda sokoni. Fedha zile ni za mtu mwenye akaunti...
  3. J

    Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

    Jibu hoja, kama huna hoja Kaa kimya. Salm Kikeke ameo mke Mwingereza, which means automatically ni RAIA wa uingereza ! Je uraia pacha unaruhusiwa Tanzania???
  4. J

    Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

    You are truly A GREAT GREAT GREAT THINKER. You remember every incidence pretty well, That is why I dare to say you are a five star great thinker
  5. J

    Ushauri kwa Rais Samia Suluhu Hassani kuhusu na TEC na wapingaji wa sakata la Bandari

    You are truly a Great thinker. Akichukua ushauri wako hakika atafika mahali akili itatulia.
  6. J

    Marufuku ya Msajili wa Vyama kuwa viongozi wa Dini wasishiriki kwenye siasa iko sawa

    Kwa mamlaka ipi aliyo nayo? Yeye ndio KATIBA? Sisi tunafuata KATIBA ya JAMHURI ya MUUNGANO WA TANZANIA. Fullstop.
  7. J

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Hapo ndio Huwa mnajichanganya nyie wasomi wa Kiislamu. Sina mashaka hata kidogo kuwa wewe umesoma, lakini dini Bado ina ku drag mad! Umezungumza mambo mengi lakini unakosa tools of analysis.kwanini? Unachanganya hoja. Kwanza hakuna mtu hata mmoja anaye kataa uwekezaji ! Pili, aliyeikataa Do...
  8. J

    Suala la Mkataba wa Bandari: Ukisikia "ndani ntiti, nje ntiti" ndiyo hii sasa!

    Subiri uone! Wakatoliki waukataa Mkataba. CCT wanafuata. Wasabato leo au kesho wanatoa uelekeo wao. Kimsingi wapiga kura wote wa Tanganyika hawautaki. Sasa 2025 Bado mtabaki na serikali??? Kumbuka hapo bado mambo mengi hayaja toka......! Nje ntiti ndani ntiti.
  9. J

    Suala la Mkataba wa Bandari: Ukisikia "ndani ntiti, nje ntiti" ndiyo hii sasa!

    Naam wanabidi, Kama mada inavyo jieleza, UKISIKIA NDANI ntiti nje ntiti ndio hii sasa. Leo makanisa ya Wakatoliki yatajaa Nia na madhumuni ni kusomewa waraka wa Maaskofu kuhusu Mkataba wa bandari zetu na DP world. Huko Amerika, Diaspora jana wameandamana wakisema BANDARI ZETU URITHI WETU...
  10. J

    Kuna baadhi ya Viongozi wa Dini Wanataka kumdhoofisha na kumpa hofu Rais Samia

    Endelea kuota ndoto za mchana. Tunajua mengi kuliko mnavyo fikiria, muda utaongea. This time hamchomoki. Vijana wengi serikalini wameichoka CCM na ukitaka kujua ni jinsi huu Mkataba ulivyo leak na sasa taarifa kwamba ndege ya Rais imeshikiluwa huko Dubai.
  11. J

    Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

    Baki na ubwege wako! Unadhani Kitenge ana uwezo wa kununua V8 Kwa fedha yake? Kwa mshahara upi? Unafikiri kwanini ndege ya Rais inashikiliwa Dubai? Wanataka Mkataba au fedha zso zirufishwe zaidi ya trilioni 5 Kwanini wanataka kutufanya wajinga wote? Kuna watu serikalini wameichoka CCM na ndio...
  12. J

    Kuna baadhi ya Viongozi wa Dini Wanataka kumdhoofisha na kumpa hofu Rais Samia

    Tafuta namna ya kuishi hutapata shida kama ilivyo sasa. Nikuulize Swali Moja tu, kwanini unatamani watu wenye akili na ufahamu mkubwa wa mambo wasidhiriki Siasa? Unatamani ubaki na watu wasio na maarifa kichwani? By the way, serikali ni kikundi Cha watu wachache tu na kama wanataka...
  13. J

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Shida kubwa ni kwamba aliwaamini sana washauri wake hasa kutoka Msoga.hapo shida ikaanza. Ama kuhusu hili la Bandari ni tamaa yake tu kutaka 2025 agombee Urais Kwa ufahari mkubwa akaamua agawe bandari Kwa wageni ambayo wamempa rupia si haba. Wajuzi wa mambo wanasema ni dolari 2.5...
  14. J

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Niliwahi kusema kuwa Lord denning ana matatizo ya ubongo! Ni mfuasi wa CCM asiye fikiria kabisa. Hawa cct, wako smart kweli kweli. Waumini wao ni wengi in such a way wakiwaambia mtu ni mbaya asopate kura, hapati kweli. CCM kama hawajipendi waendelee kushupaza shingo.
  15. J

    Akisimama 2025; Narudisha kadi ya CCM hadharani

    We are united believe it! We want to make sure that Tulia Ackson and Bibi titi don't get a single vote from mainlanders notably Tanganyika s.
  16. J

    Hakuna Rais wa Tanzania anayeweza kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim

    Habari wana jamvi, Nimetafakari mambo mengi kisiasa, mwisho nimeridhika kuwa hakuna Rais wa Tanzania awezaye kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim. Nimefikiria mambo anayo fanya Rais Samia, utadhani ameshahakikishiwa kwamba 2025 hatoboi. Anauza rasilimali za Nchi kwa bei chee, lakini za chini chini ni...
  17. J

    Ikulu ya Chamwino imekamilika na kuzinduliwa, cha kusikitisha muda wote Rais yuko Dar. Dodoma kuna shida gani?

    Ukiwa mjinga wa kiwango Cha huyu Lord denning basi usioe maana watoto wako watakuwa zero kuliko kuku.
  18. J

    Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

    Kwa wasio jua ni kwamba Balozi Nchimbi ni kijana anaye pendwa sana na Kikwete. Wakati a naomba PhD Mzumbe haku qualify, lakini kimemo kutoka Ikulu Kwa maana ya Kikwete aliwaagiza wasimamizi wake kuhakikisha anapata PhD yake kabla ya uchaguzi mkuu 2015. Akapewa!!! Actually...
  19. J

    Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Mimi nafikiri tushirikiane tumfahamu vizuri ili na yeye akutane na mkono wa Sheria.
  20. J

    Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Sijawahi kufikiri kama akili ndogo hivyo. Hata hao FBI inawezekana wamefikia hatua hiyo labda kwasababu mtuhumiwa hakutaka kujisalimisha. Kimsingi wenye mawazo ya kuua ni wajinga kama wanao unga mkono mauaji. Jiulize mahakama na jela zipo kwaajili gani?
Back
Top Bottom