Search results

  1. M

    Mwenge wazindua mradi feki wa maji nanyumbu(ndwika]

    wananchi wa kijiji cha ndwika wilaya ya nanyumbu wameonja utapeli wa serikali baada ya mwenge wa UHURU kuzindua mradi wa maji kutoka mto ndwika na kupata maji hayo kwa siku hiyo ya uzinduzi tu basi.hadi sasa maji kijijini ni shida na wananchi wanaendelea kuteseka na kiu kubwa.generator...
  2. M

    Mwl. Matipanya wa sekondari ya kutwa Namalenga (Masasi) ni mwenyekiti wa UVCCM (W) ya Masasi

    Wakati serikali ya CCM wilaya ya Masasi ikiwachimba mkwara waalimu wilayani humu mwalimu taja hapo juu ni mwenyekiti wa umoja huo hapa Masasi na hakuna anaeyeji hilo. Mbaya zaidi amekuwa jeuri shuleni kwani aheshimu mkuu wake wa shule na kuwavunja moyo walimu wenzake kwa kuwabeza kwamba yeye...
  3. M

    Kesi za mabomu masasi utata mtupu

    ndugu wana JF, Naomba kwa mara ya kwanza niwahabarishe kile kinachoendelea kwenye Mahakama ya Wilaya Masasi,hususani kesi zinazohusiana na vurugu zilizotokea tareehe 26/01/2013,maarufu kama kesi za MABOMU.kwa kifupi vurugu hizo zilianzia kwenye kituo kikuu cha polisi hapa masasi,kati ya...
  4. M

    Mabadiliko yatarajiwayo - Uongozi CHADEMA 2013

    kwani mbona mnatumia nguvu nyingi kunadi zito?chama chetu kina utaratibu mzuri wa kupata viongozi,kwa sasa DR hana mpinzani mwacheni ajenge chama .mda ukifika kama ataonekana kupwaya basi atapewa mwingine na inawezekana asiwa zito,kwani kila mwanachama ana nafasi ya kuwa kiongozi endapo atakidhi...
  5. M

    Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

    safi sanaaa jamani mkakati wa ccm ni kuvuruga chama kwa ktumia vipandikizi hivyo makamanda lazima tuwe macho na mgojwa huyu aliyetaabani akisubiri kufa.
  6. M

    Star TV acheni unafiki, propaganda zenu dhidi ya CHADEMA hazitafanikiwa

    huku masasi watu wameanza kuichoka hii tv.tumebaki kuangalia marudio ya mpira tu basi
  7. M

    Roho zinawauma CCM inavyozidi kujiimarisha kileleni

    anajifanya kipofu kumbe anaona
  8. M

    M4c kata ya Lukuledi - Masasi yavunja rekodi

    sina dugital camera ila nitajitahidi niipate ili muweze kupata picha halisi isije ikaonekana kama ni danganya toto,si mnajua tena hadi tuuze korosho na bei zenyewe ndio hivyo sisiem wamechakachua
  9. M

    Ubunifu wa ccm

    hamna jipya hapo
  10. M

    M4c kata ya Lukuledi - Masasi yavunja rekodi

    M4C leo ipo kijiji cha Nambawala kata ya Lukuledi wilaya ya Masasi, tunafungua tawi katika kijiji hicho.Watu karibu 200 wamejiunga na CHADEMA sijapata kuona tangu nianze kazi ya kujenga chama ndani ya wilaya hii, sasa hivi tupo kwenye maandamano makubwa kuelekea sehemu ambapo tawi limejengwa...
  11. M

    Kwa hotuba ya JK Kizota, Vyama vya upinzani haviko salama kuelekea uchaguzi 2015!

    wamechanganyikiwa na mabadiliko yanyoendelea,pia wanafanya kosa kufight with wrong enemy(cdm)wakati adui yao mkubwa ni mfumo na utendaji mbovu wa serikali yao
  12. M

    CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

    mkuu hapo nakupa mia kwa mia,hivyo vyombo viwili ni muhimu ili kuweza kupata taarifa sahihi za chama,pia kutakuwa na nafsi mzuri kwa wanachama kujua nini kinaendelea,kwa sasa hakuna njia sahihi ya mawasiliano kati chama kwa maana ya uongozi na wanachama
  13. M

    Lowassa kachezeshewa "chekundu cheusi"?

    nionavyo mimi na ukifuatilia mwenendo mzima wa mkutano wao utagundua kuwa ccm wamefanya umafia wa demokrasia,kwa sababu kwa mgawanyiko uliopo hutegemei mtu apate kura zote,waliamua kuficha aibu,kwa mfano mangula hata kwao hawampendi iweje kwa siku mbili tu abadilishe upepo?ukweli unabaki kuwa...
  14. M

    Msajili, ifute CCM kuiokoa nchi kwenye janga la vita ya wenyewe kwa wenyewe

    huyu mzee ni hatari kwa taifa,hapa anaonesha ni jinsi gani yeye ni kibaraka wa ccm
  15. M

    CHADEMA should stop boycotting – CCK

    wamekosa mwelekeo
  16. M

    Masasi: CHADEMA chaanza kuimarika

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Masasi kimeanza kupata mafanikio makubwa baada ya wananchi hasa waishio vijijini kuanza kujiunga na chama. Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema tayari baadhi ya kata zimekamilisha chaguzi zake kwa ngazi za msingi,kutokana na mafanikio hayo...
  17. M

    Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

    huyu hupewa kazi nyingi za kiutafiti na jk na pia ni mshauri wa rais kwa masuala siasa hivyo analinda mkate wake.
  18. M

    Chadema kuutikisa mji wa masasi na vitongoji vyake

    chadema wilaya ya masasi inatarajia kufanya mkutano mkubwa eneo la STEND YA MABASI itakayo endendana na uzinduzi wa matawi mawili eneo la stend na lingine kule nyasa west,wana m4c wote na wananchi wapenda mabadiliko mnaalikwa kuhudhuria mkutano huo.KWA PAMOJA TUUNGANE TUIJENGE MASASI YETU.
  19. M

    Wanabodi hamjambo?

    wanabodi hamjambo
Back
Top Bottom