Search results

  1. U

    Mbunge wa CHADEMA na wanachama 38 wafungwa kamba za shingo na Polisi baada ya pingu kukosekana

    Upinzani wa bongo na Kenya wanafana eti mzee wa NASA anadai ataapishwa mwezi ujao ahahahaaaaaa huyu kama mzee wa kipemba aliyechoka na kuota mchana kweupeeeeeee
  2. U

    Mbunge wa CHADEMA na wanachama 38 wafungwa kamba za shingo na Polisi baada ya pingu kukosekana

    Mmepata Kata moja kati ya 43 .mtakufa na pressure. Mkiendeleza hivyo itapendeza
  3. U

    Mbunge wa CHADEMA na wanachama 38 wafungwa kamba za shingo na Polisi baada ya pingu kukosekana

    Si wanajidai machizi na wavuta bangi na hawajitambui wacha sheria ichukuliwe .kwenye Kivunja sheria hakuna uheshimiwa. Alafu chadema mmechina kwasababu hamna sera mmebaki kuweweseka. Uchaguzi mdogo wa juzi ni alarm lakini mlivyo wagumu wa kupokea hali halisi mtaendelea na uzandiki uchwara
  4. U

    Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

    Usiwe na wasi x2 inawezekana ulikuwa tayari na maambukizi ya uti sasa baada ya shughuli pevu ukaiamsha au huyo bidada ndiye kakuambukiza. Ushauri : mpeleke naye akapimwe na kupata dawa ili muwe salama na kuinjoy bibo
  5. U

    Itifaki ikoje kati ya Mkuu wa Mkoa na Makamu wa Rais katika kufika sehemu?

    Kuna watu wanajipambanua kuwa ni wasomi na wajuaji sana lakini wanafanya mambo kama watoto wa kambo wasio na uwelewa. Ndiyo maana wananchi juzi kwenye uchaguzi mdogo wamewanyari kwa kuwa hamna hoja bali kupiga vuvuzera.JPM with your team is excellent in Government supervision. Well done keep it up.
  6. U

    Itifaki ikoje kati ya Mkuu wa Mkoa na Makamu wa Rais katika kufika sehemu?

    Jamani mbona mnatumia mitandao hii kudhalilisha viongozi namna hii!! Kimsingi upo uwezekano Mhe. RC alichelewa kufika kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake na naamini taarifa iliwafikia wahusika.Tuache siasa za maji taka na kufiriska kimawZo. Mbona kwenye vikao vya chama fulani hivi cha siasa...
  7. U

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Ww acheni ushabiki wa kirofa, vile vifaranga vilikuwa na vimelea vya magonjwa ya ndege kwahiyo viachwe tu!!! Kama hujui jambo sio lazima uzungumze, utaumia na kesi isiyokuhusu
  8. U

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Huyu gavana nina wasiwasi na uelewa wake kuhusu mipaka ya kimataifa.
  9. U

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Huyo gavana naye Kama chizi vile. JPM sio size yako, size yako ni Rc sawa.
  10. U

    Baada ya Masaa 72, Halima Mdee (Mbunge), ashindwa kutoka Korokoroni

    Waliwekwa korokoroni miaka kibao akina Mandela kuliko huyo mtu wenu !!!
  11. U

    Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Alifikiri kuongea na wanahabari ni kama anapochangia miswada bungeni kwa dharau na kiburi. Anafananisha matusi anayomtukana mhe.ndugai na anamsamehe. Asicheze na cheo cha Urais.pamoja na prof. Kabudi kuwafundisha siku ile Bungeni akadharau. Sasa analia nini !!!
  12. U

    Mke wa mtu akikufanyia ishara hizi anamaanisha nini?

    Achana naye vinginevyo utafanywa kama yy
  13. U

    Kampuni ya ACACIA yaipa serikali notisi ya kwenda mahakamani

    Hawatambuliki kimkataba maana wao ni subset ya barick gold mine na mazungumzo hawatahusika direct
  14. U

    Poor waandishi na magazeti ya Tanzania!!?

    Watu wengine mnafikiri kwa kutumia matumbo. Mnapinga kila juhudi zinAzochukuliwa na serikali!!!! Shame upon you
Back
Top Bottom