Search results

  1. Mdau Makini

    Mwili wa marehemu Sir Andy Chande wachomwa moto

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuuh
  2. Mdau Makini

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Updates: Kwa taarifa nilizopata saivi, yule jamaa aliyejitokeza kudai kiwanja ni chake aliyemuuzia kakimbia kaenda Tanga.
  3. Mdau Makini

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Daaaah, kuna figisu za ajabu sana mijini aiseee mtutee wenzenu waporipori
  4. Mdau Makini

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Ahsante sana mkuu, kwakweli nimeanza kuona njia ya kupitia katika hili.[emoji120] [emoji122] [emoji122]
  5. Mdau Makini

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Ahsante sana Boss kwa ushauri wako, nitamsisitiza sana hilo hakika!!
  6. Mdau Makini

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Ahsante sana mkuu kwa dondoo hizi, hakika naamini zitatufaa wengi humu
  7. Mdau Makini

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Mashahidi alionao ni mtu anayedai alimuuzia kiwanja ambaye kila akiitwa polisi kuja kuthibitisha anatoa uzulu yapata mwezi sasa umepita
  8. Mdau Makini

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Ndio anao na una sahihi ya mjumbe huyo huyo aliye muuzia dada yangu lakini mjumbe anamkana anasema mmiliki halali wa kiwanja ni dada yangu na kama dada ataacha kukifuatilia yeye atakiuza kwasababu kitakuwa hakina mwenyewe. Yeye anadai alinunua kabla ya dada yangu mwaka 2012.
  9. Mdau Makini

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Salaamu ndugu wana JF, Nina dada yangu anaishi Dar es Salaam maeneo ya Tegeta kwenye nyumba ya kupanga ila alikuwa amefanikiwa kujikusanya kusanya na kununua kiwanja cha Milioni 11 mwaka 2014 maeneo ya Bunju B. Pesa hiyo ililipwa kwa awamu mbili kwa muuzaji chini ya uangalizi wa dalali na...
  10. Mdau Makini

    Uhifadhi Wanyamapori kwa njia ya Katuni

    Poleni na Majukumu ya Kujenga taifa ndugu zangu!! Mimi ni Mtanzania niliyesomea kuhusu mambo ya Uhifadhi wa wanyamapori yaani Bsc.Wildlife Management. Kutokana na wasanii wetu walio wengi kujikita katika uelimishaji wa jamii yetu kwa njia ya katuni katika mambo ya Siasa na mapenzi pekee, nimeona...
  11. Mdau Makini

    Mwenye Gazeti la Daily news anisaidie

    Ok wazo zuri wakuu, kuna kazi zimetangazwa kwenye hilo gazeti ndo nahitaji kuziona@chipukizi Kede
  12. Mdau Makini

    Mwenye Gazeti la Daily news anisaidie

    Ndugu poleni na Majukumu: Samahan, naomba kwa watu wa Dar es salaam hasa Tegeta mwenye gazeti la Daily News la Juzi Jumatano Tarehe 23/09/2015 anisaidie. Ni muhimu sana wandugu nimelitafuta sijalipata!!.
  13. Mdau Makini

    Scholarship kusoma nchi za Nje!

    Ndugu wana JF habari, Ninapata ugumu sana inapokuja kwenye suala la Scholarship za kusoma nchi za nje, hasa kwa nchi zinazo endelea. Kuna Scholarship naziona mitandaoni kama zile za Undergraduate, Masters na Phd kwa nchi zinazo endelea, mfano Chevening, commonwealth, Fulbright, mastercard na...
  14. Mdau Makini

    Uchawi: Hii ndio athari ya kutumia dawa ya kuona wachawi

    Ha ha ha haa sasa wewe unaona maada inahusu uchawi na bado unauli Is that not a witchcraft??
  15. Mdau Makini

    Kubadilika kwa Tabia na wa uvivu housegirls(wadada wa kazi za ndani) huanzia hapa!.

    Kubadilika kwa tabia,uvivu,maneno ya shombo...huanzia hapa! 1.Akinunua simu.........Muda wote kuchart na kuzijua ofa za mitandao yote ya simu nchini...
  16. Mdau Makini

    Chemsha bongo!!

    Mimi ni mpiga picha ambaye nilipiga picha mpiga picha aliyekuwa akiwa piga picha wapiga picha waliokuwa wanapigana picha, Je mimi niliwapiga picha watu wangapi??.
  17. Mdau Makini

    Mathematical Wonder

    No doubt..U're great thinker!
  18. Mdau Makini

    Madaraja mapya kwa Mitihani ya Kidato cha nne ndo haya hapa!!!.

    Sikuwa na taarifa ya NECTA kutokuwa na account FAcebook, but lisemwalo lipo kama halipo basi lipo lipo njiani linakuja@kimbori
  19. Mdau Makini

    Madaraja mapya kwa Mitihani ya Kidato cha nne ndo haya hapa!!!.

    National Examination council of Tanzania(NECTA).Serikali kwa kupitia Wizara ya Elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya Kidato cha Nne.Hapo awali madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:A=81%-100%B=61%-80%C=41%-60%D=21%-40%F=0-20%Mabadiliko mapya ni kama...
Back
Top Bottom