Search results

  1. M

    Did Mwalimu die a natural death?

    jamani, mi mpaka leo siamini, na nashindwa kabisa kuamini ati mwalimu died a natural death, nop. Kuna wanaodhani hii nchi ni yao kuliko wengine, ndo walio fanya jitihada ya kufanya mwalimu asiwepo nadhani, no way, angekuwepo, nchi isingekuwa hihvi ilivyo sasa.
  2. M

    Chikawe awakemea Mwakyembe na Sitta: Waache kuzungumzia DOWANS

    mm nazidi kushangaa sana tena Nilidhani Chikawe asingeweza kusema haya kwan inaonesha dhahiri kabisa kuwa hana uchungu wowote na analinda kibarua chake. Jambo linajulikana toka mwaka 2007 na ukweli upo wazi kwanini wazidi kuhangaika na kusubiri baraza amabalo halijaitishwa.Chikawe uelew wko ni...
  3. M

    Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

    niliangalia jana nimemsifu sna Renatus Mkinga kwa ujasiri alionao na uchungu wa Nchi hii
  4. M

    Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Kwakuwa imeshajulikana wazi kuwa CCM wanaamuru na Serikali inatenda kupitia vyombo vya dola, basi, CHADEMA tupatieni modality, vjana tupo, kuupinga unyama wa aina hii na uvunjifu wa haki za binadamu wa makusudi kabisa. CHADEMA toeni tamko
  5. M

    Elections 2010 JK anaumwa ahadism?

    Mungu aingilie kati mara ngapi, Katupa uwezo wa kufikiri, kuona na kutambua, katupa macho na mikono, ss tunajipigia tu kura. tufikiri kwa kina na kufanya mabadiliko
  6. M

    Elections 2010 Mke wa Dr.Slaa ajitoa CCM, Ajiunga na Chadema

    nawasihi hawa wanaotaka kuwatumikia watanzania kwa kupitia vyama vya upinzani waje na hoja za matumaini na kujenga
  7. M

    Nawaita wana FoE (CoET) njooni tukiokoe chuo chetu

    ni kweli mdau mhandisi, mi nashauri tuanzishe blog ya kihandisi na tuiite "the Slab Blog forum" na hapo tuwe tunaweka mambo yetu na kuonyesha our spirit, The FoE spirit.
Back
Top Bottom