Search results

  1. X

    Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Inawezekana but utapoteza muda mwingi refer mtoa mada, unless kujifunza iwe ni fulltime huna kazi nyengine.
  2. X

    Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Programming ina depend zaid na personality ya mtu. ukiwa unaweza kukaa 8+ hours reading something mpk uelewe thats green light, u need to spend alot of time kujifunza how stuff works, na huwezi kufanikiwa ikiwa huna passion.Last thing jitahidi usome kwa mpangilio ili usipoteze muda, so u need...
  3. X

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira kwenye mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part One)

    Nchi ngumu sana hii, lengo lao ukate tamaa kisha wakubeze vijana hawataki kazi.
  4. X

    Sahau kuhusu Utajiri kama unafuatisha mifumo

    Shida unaweza kukata moto kabla hujarudi kwa mungu, hapo mkuu unangia jehanamu huku unajiona.
  5. X

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Tumepanga harusi tuifanyie mwisho wa mwaka huu, tena iwe simple sana na ikiwezekana tusitumie zaid ya laki 2. Hakuna michango.
  6. X

    Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    buku 4 na siku nyengine tunashindia miogo na maji, ila binti kanielewa tunaishi kwa furaha.
  7. X

    Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

    Paula Paul huyu dada yuko positive sana, natamani nimuone.
  8. X

    Natamani nichape kazi Sana lakini hali ya uvivu inaniijia

    Una nyota ya kuwa maskini mkuu huwezi kubadilika ndo basi tena, destiny will take u there.
  9. X

    Uhauri: Nalipwa 170k kwa mwezi, how can I survive?

    Hama hapo nyumbani, unakula na kulala bure kisha unajisifu unasave. Ningekuwa mm baba yko ningekutoa hapo nyumbani ukapambane
  10. X

    Mkeka wa TRA lini?

    Huo si utabiri, ni kweli kuna watu washafykelewa mbali kwa reason ya certified copy
  11. X

    DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

    Nakupa pongezi mleta mada unaonekana una uzalendo wa nchi yako, hz ishu za upigaji ziko nyingi sana aisee, tusiwaone wajinga Korea na China wanaamua kutiana risasi kwa rushwa na ufisadi, sisi huku tunachekeana.
  12. X

    Project gani ya IT naweza kufanya kwa mtaji wa 20M - 50M

    Hii dhana ya kukariri code basi ww ni programmer mzuri inawapoteza watu wengi sana, solving problemz skill ni key katika programming, syntax unacheki katika docs ya language/framework husika na ukitumia mara kwa mara unakumbuka.
  13. X

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku hiz tipsmaster kuunguza kitu cha kawaida aisee.
  14. X

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaa anazirudisha ela za watu mdogo mdogo, betting c k2 kizur aisee.. ila kwa mtaji alokuwa nao tipmaster ningekuwa ni mm naachana na betting. Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  15. X

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni kweli zamani ilikuwa ukibeti ela ya kutumia haikupigi chenga, ona sasa hata ela ya kunulia maji hupati.. ngoja tuwafuatizie wataalam hum, ni njia pekee ilobaki Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  16. X

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah me nina mpango wa kustaafu kamari rasmi, ikiwa wataalam wa mikeka kwao wahindi wanakomba salio lote me ni nani nitajirike kwa betting? Bora niendelee kuuza matunda hamna namna tena. Angalizo: Hz options wanazotoa bookies wana jopo la wataalam washazipitia sana kitaalam na 70% zipo...
  17. X

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yuko wapi? Kama una link weka hapa tumfuatilie, Watu wenye bahati wako mkuu huko yupo mwengne anaitwa tipmaster yeye kwa mwezi kuingiza zaid ya 30 m ni kawaida mzee. Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  18. X

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kafanyaje mkuu Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  19. X

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tumepigwa kipigo cha mbwa koko
Back
Top Bottom