jamani wana jf,mimi nimsichana,memaliza chuo mwaka juzi,nimetafta ajira sijapata,naomba wenye uwezo mnipe mkopo nijiajiri,nina plan ya kufanya biashara ya chakula yani kupika.
nahtaji mtaji wa mil.moja na nusu.naamini baada ya muda ntarudisha mkopo.
naombeni mchango wenu na ushauri pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.