Search results

  1. L

    Siku Startimes akipata dili la kuonyesha ligi ya Tz Azam watakuwa ha hali mbaya sana

    Muwe mnafuatilia mambo Azam hajakataa kuonyesha taarifa ya habari ila amezuiwa na Dola ili watu waangalie TBC Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Decoder

    Kwa hapa Tanzania zinapatikana na ni bei gani? Au mpaka uagize Ali express Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Decoder

    Box ipi iko vizuri hasa Kwa huku Kwetu kwenye internet zenye kuganda ganda. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Decoder

    Je ukiwa nayo hiyo TV box unaweza kuona channel zile muhimu mfano EPL au champion league au unapata free channel tu? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    Decoder

    Hebu fahamisha zaidi hiyo njia ya kutumia TV box name vpn Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    Local channels zitarudi lini kwenye ving'amuzi vya Azam, DStv na Zuku?

    Ukiwa na TV za sasa bapa Kama Samsung au LG za LED utapata hizo local channels Kwa kutumia antena ukienda dukani muulize mwenye duka hiyo TV ina kin'gamuzi ndani? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    WhatsApp

    Ndugu zangu naomba ujuzi wenu WhatsApp yangu haifanyi kazi kwenye Mobile Data mpaka kwenye Wi-Fi tu nifanyeje natumia Techno J8
  8. L

    Anza mradi wa kuku kwa TZS 300,000 tu

    Pengine hao ni kuku chotara lakini kienyeji pure hawana uwezo huo pitia machapisho mbalimbali utaona wote tunatoa haya mayai lakini hawazidi 12
  9. L

    Anza mradi wa kuku kwa TZS 300,000 tu

    Mchanganuo mzuri ila umesahau kwamba kuku wa kienyeji wakishataga mayai 10 au 12 hutaka kuhatamia (kulalia) hapo hawatagi hata ukiwanyang'anya mayai wanachukua muda kuanza kutaga tena hivyo si rahisi kupata hayo mayai ya kila siku
  10. L

    KATI YA TV HIZI MPYA ....IPI Kali zaidi?

    Startimes wanaubaguzi sisi mikoani hizo channel hazipo hata clouds TV haipo wakati tunalipia sawa
  11. L

    Matatizo ya Flat Screen TV: Umeishakumbana nayo?

    Kwa wakati huu kubakia na TV ya chogo Ni sawa na kubaki na Nokia ya tochi katika ulimwengu wa digital
  12. L

    Msaada simu ya tecno y3 inasumbua internet

    Msaada jamani simu yangu tecno y3+ ya Tigo iko slowly kwenye internet lakini nikitumia WI-FI ipo vizuri muongozo tafadhali
  13. L

    Nina mashaka na simu za TECNO

    Tecno no Simu inayomilikiwa na wengi hivyo lazima iwe na changamoto nyingi
  14. L

    Flat screen zenye internal receiver

    Haya bei gani hizo na zinapatikana wapi kwa utaratibu upi ni satellati ipi unafunga?
  15. L

    Flat screen zenye internal receiver

    Brand gani hiyo yenye Bisskey kaka ili tuitafute
  16. L

    Msaada kuhusu kupata channels kwa antena ya kawaida kupitia LED Samsung Tv

    Samahani huku kwetu tuna mgao wa umeme hivyo sijaingia kwenye mtandao.Hiyo TV inajieleza yenyewe pale kwenye Remote pana button ineandikwa E-manual ukibonyeza hapo utapata maelekezo ya setting ya hiyo tv hapo ulipokwenda ni hatua ya kwanza ya kusajili hata hivyo nipe muda niangalie vizuri na...
  17. L

    Msaada kuhusu kupata channels kwa antena ya kawaida kupitia LED Samsung Tv

    Nenda kwenye menu ok itakuja orodha ndefu nenda BROADCASTING okay chagua AUTO TUNING chagua AIR kisha okay itaanza kusachi hakikisha umeunga earial ndefu
Back
Top Bottom