Search results

  1. R

    Msaada wa haraka

    Ngosha acha ufala kuwa mtoto wa kiume. Huyu mchumba siyo mtoto wa secondary kiasi kwamba utakuwa umevunja sheria za nchi kwa kumpa mimba,kama unafanya kazi na yeye anafanya kazi tatizo liko wapi mpaka anataka kutoa mimba. jiulize haya maswali Mana haja ya ndoa kama mtoto wenu mutakuwa mumeamua...
  2. R

    Kukosa msimamo, kutojitambua ni janga kwa wasichana wa vyuoni..

    Jamani link hiyo hapo kama unataka kuona hiyo Video. university student Sex Videos & Hardcore XXX - Enjoy university student Porn :: Youporn
  3. R

    Membe: Balozi wa China amefanya makosa makubwa! Serikali kuchukua hatua

    Kiwanda gani cha Mchina ambacho kimeleta nafuu kwa Mtanzania?cha ajabu baada ya kiwanda kukamilika utaona wachina wengi sana wanaingaia kwa ajili ya kuanza kufanya kazi hapo kiwandani huku watanzia wakiwa wamebaki hawana lolote,ukijaribu kuuliza kwa nini hili linatokea...majibu huwa ni rahisi...
  4. R

    44.7 Trillion ni pato la taifa na 22.7 Trillion ni deni la taifa

    Haya ndo mambo ambayo CDM wangetumia kama silaha kama wanataka kuchukuwa nchi,tengeneza brochures za kueleza wananchi mambo ya msingi kama haya na sababu ya yao kuchaguliwa,hizi harakati zinatakiwa kuanza mapema na siyo kusubiri wakati wa uchaguzi mkuu ndo unaanza kuwambia wananchi CCM haifai...
  5. R

    Mishahara mipya serikalini 2013

    Mkuu tunaomba kujua scale za PUTS na PHTS kwenye vyuo vya Serikali.
  6. R

    Wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege J.K. Nyerere walalamikia wahamiaji haramu kupewa vitengo nyeti...

    Katika hii Operation ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam mbona sijasikia wahindi wamekamatwa na wakati hao wamejaa tele kwenye viwanda vya wahindi,wengi wao wanaishi humo humo ili kukwepa mkono wa dola,kama tumeamua kuwaondoa wahamiaji haramu basi tufanye hivyo mana wengine wanaweza kufanya sehemu ya...
  7. R

    Mwenyekiti wa TAHLISO ni raia wa Tanzania

    Hamna haja ya kulumbana juu ya Uraia wake,tunaomba uweke hapa Birth Certificate yake then mengine yatafata. Wizara ya mambo ya Ndani kitengo cha Uhamiaji ndo wanajukumu la kusema kama ni raia au siyo raia.sioni sababu ya TAHLISO kujipa hayo majukumu. Hivi TAHLISO haina msemaji wake mpaka katibu...
  8. R

    No Ambassador Lu Yuoqing, this is totally wrong and unacceptable!

    Ndugu zangu, Hili suala la Balozi kujiingiza kwenye siasa za Tz ni hatari sana,kama tukiacha hayo mambo yaendelee katika nchi hii namini mwisho wake hauwezi kuwa mzuri hata kidogo,Je kila balozi wa nchi yake akianza kufanya kwa ajili ya maslahi ya nchi yake itakuwaje?Mwisho wa siku watanzania...
  9. R

    Malecela: Tanzania itakuwa ya 11 kiuchumi duniani miaka 20 ijayo

    Kwanza ni Makosa makubwa mtu kama Malecela kuongelea mambo ya Uchumi wa Kisasa wakati yeye hajui lolote,hizi siyo enzi za ujamaa ambao umeshindwa kutuondoa katika umasikini...kuhusu hiyo magazine ya Marekani sishangai kusikia amesoma,lakini hizi Magazines zinaandikwa na watu wa kawaida ambao...
  10. R

    Dakika 45 ITV-Leo zamu ya John Samwel Malecela...Wapi Upinzani?

    Wakuu, Mi binafsi channel ten walinishangaza kwa kumkana Mwangosi,katika kipindi kile haikuwa busara hata kidogo kutoa matamko kama yale,nahisi pia watu wanapata hivi vyeo lakini hawana Managerials skills...wanaongea ovyo utadhani wako kwenye sherehe za kucheza ngoma uswahili.
Back
Top Bottom