Search results

  1. B

    Ibara 24:1

    Mwanakijiji,kwanza naomba ufafanue,maana quotation yako ya katiba inasema "...bila ya idhini ya sheria....",lakini wewe unauliza iwapo walipewa idhini ya mahakama.Mimi nadhani ndio sababu Raisi alimuweka mwanasheria mkuu ili hatua dhidi ya upotevu wa fedha hizo uwe chini ya uangalizi wa...
  2. B

    Tanzania National Identities

    O lord have mercy! Does our president know exactly who he is,and what kind of an image he potrays by such egs? No wonder this Nation advances in adultery,corruption and other evils everyday! Hata jokes nyingi za Spika,kweli mwenzenu hua zinanipa picha mbaya sn juu ya viongozi wetu.Tena hapo...
  3. B

    Tanzania National Identities

    Can someone please help me understand what exactly made eeeverybody laugh after such words?I simply thought he was talkin abt the advertisement thing?whats the other meaning behind?Just curious.
  4. B

    Nimkubalie?

    Mmmh dadangu,sijui mwenzangu uko ktk dini gani,ila maneno ya Mungu yanatufundisha,"ndoa na iheshimiwe na watu wote".Najua huyo asiyeheshimiwa(maana ameshindwa kuheshimu mke wake mwenyewe na ndoa yake mwenyewe)anajaribu kukuvuta kwa ahadi mbovu za hutapata shida wwe na mtoto wako,ila dada...
  5. B

    Nimkubalie?

    Mmmh dadangu,sijui mwenzangu uko ktk dini gani,ila maneno ya Mungu yanatufundisha,"ndoa na iheshimiwe na watu wote".Najua huyo asiyeheshimiwa(maana ameshindwa kuhehimu mke wake mwenyewe na ndoa yake mwenyewe)anajaribu kukuvuta kwa ahadi mbovu za hutapata shida wwe na mtoto wako,ila dada...
  6. B

    Ferdinand Ruhinda - The Shadow Behind..

    Thanks 'Nyani',Mmh jina linakua gumu kidogo kutamka,nahisi kama ntakua nakutukana,samahani lakini.You are the 1st to welcome me,so I hope you'll be a good friend to me here at JF-The pool of knowledge. Be blessed indeed.
  7. B

    Hold on a minute! Mtu na shemeji yake

    Mkjj,if Kikwete's son ask ua daughter's(lets say u have 1)hand in marriage,will u accept? What will the public opinion be afterwards,if u accept,And then b'se of ua abilities n compentence,the president appoints u as a minister to replace AC?
  8. B

    Ferdinand Ruhinda - The Shadow Behind..

    Mkuu ES,kweli unatusaidia sana sisi young generation,kujua details za viongozi na other influential people ktk hii nchi yetu. Umenisaidia sana kujenga positive perception juu ya mbunge wangu ambae japo nilimpigia kura,sikujua sana historia na ngazi alizopita hadi leo ni waziri!He is truly an...
  9. B

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Naamini wakati umetimia,na maombi ya wacha Mungu yamejibiwa ndio maana wale wote wanaojipatia vipato kwa kunyonya jasho la watanzania wanaumbuka mmoja baada ya mwingine. Na huu ni mwanzo tu,wengi watawekwa wazi.Wapenda haki wote,msikate tamaa,Tanzania ina mtetezi,naye ni Yesu kristo.Atabagua...
Back
Top Bottom