Search results

  1. MWANAMTAA

    Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    hamjapewa nchi mnagombana je mkipewa itakuaje............... kweli siasa sio hasa wanapigania matumbo yao tu.............ukombozi wakweli utaletwa na mwana nchi mwenyewe na sio hawa wapigania matumbo yao..............
  2. MWANAMTAA

    Maalim Seif anguruma Tanga

    mbona watu wachache ivi............
  3. MWANAMTAA

    PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

    ivi zile ahadi kasha tekeleza au anatimiza ndoto zake bado.................
  4. MWANAMTAA

    CUF kuiga sawa, lakini hata hili la kushika kichwa? Mmetisha!

    ivi cuf iliyo huku bara si ndio ikle iliyopo kwenye sirikali kule znz...so chamamakimoja kitakuwaje na vyeo viwili huku chama tawala na kkule chama pinzani in one country... kweli hawa jamaa hawakufikiria kabisa walikuwa na uchu wa madaraka tu... hivi huyu maalim seif amefanya nini kule znz cha...
  5. MWANAMTAA

    Chadema ya weweseka uchaguzi ccm na moto wa cuf arusha

    pumba nyingine bana.............cjui watu wantumia vichwa kufugia nywele tu na sio kufikiri...............
  6. MWANAMTAA

    Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

    mbona kama msafara waharusi vile.........watu wachache.............
  7. MWANAMTAA

    tiGO & Fiesta: Huu ni wizi usiovumilika

    tigoooooooooooooo rahasana.......... wanasema bei hii.. wanakata beitofauti kabsa.......... kweli huu ni mtandao wa mabwepande...........
  8. MWANAMTAA

    Lowassa ashinda Ujumbe wa NEC (CCM) Monduli kwa Ushindi wa 99.9%!

    chezea gamba lililomshinda nape wewe............... nw nape ndo amekuwa gamba.................
  9. MWANAMTAA

    CUF hawataweza kushindana na M4C ya CHADEMA kwa sababu zifuatazo...

    kweli wafuasi wengi wa ccm b hawajitambui kabisa kila wakibanwa kwa hoja wao wanaletaudini kam huyu jamaa hapa toa sera jombaa naona unatoa pumba tu...........cdm haijabebwa na mfumo kristo..........ila dunia nzima inatumia mfumo kristo...angalia tarehe kama unabisha andika leo ni mwaka wa 1400...
  10. MWANAMTAA

    Dovutwa amshambulia Dk. Slaa

    ivi huyu dovutwa katokea wapi tena......... hafanyi kampeni kutangaza chama chake yeye anadandia hoja za watu.........kweli hivi ndio vile ccm b.......... yeye atoe hoja yake na sio kujipatia umaarufu kupitia hoja ya slaa.........ebooo!!!
  11. MWANAMTAA

    Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

    ..........alikuwa amesinzia wakati habari inatangazwa alipo amka akahadithiwa tu........naye bila kufikiri akakurupuka kujibu......
  12. MWANAMTAA

    Kung'ara kwa E. Lowassa ndani ya CCM ni pigo la Mwaka kwa Nape Nnauye!

    mbuzi wa masikini hazai akizaa anazaa chongo........... makelele yote ya kuvua gamba sijui yameishia wapi.........masikini kijana huyu alifikiri ssm ni yakwake..........kumbe hajui ina wenyewe ................. akajipange upya sasa......na edo akikamata nchi nape kwishney atasahaulika kama...
  13. MWANAMTAA

    Picha - Kikwete anapopunguza uchovu Mkutano CCM Dodoma

    kweli tunaye rahisi..............
  14. MWANAMTAA

    Hivi ni upi U - professor wa Mh Lipumba? Sina shaka na elimu yake lakini.....

    huyu jamaa sijui anafanya kitu gani........ anajitafutia umaarufu tu hakuna anacho saidia jamii yake,,,,,,,,, sio lazima awe serekalini ndo ajenge uchumi wa watu wake kwanza hapo cuf amesaidiaje uchumi wa chama.........cz mtu huanzia kwake kwanza...........kijijini kwao wanatambua mchango wake...
  15. MWANAMTAA

    CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

    tbccccmmmmm wanatabu sana sijui wafanyakazi wake wanajisikiaje wakipta mitaani
  16. MWANAMTAA

    Hongera Lowassa, Hongera CCM kwa kukata ngebe

    ivi yale magamba waliyosema wanayavua yakowapi au yamekuwa magumu kuvuka..........
  17. MWANAMTAA

    Wakazi wa Musoma Mjini wamuomba Prof Sospeter Muhongo kugombea ubunge

    mkuu mbona hiyo ni mpya umeipata wapi wewe what is ur source of info mkuu au ni kama wale wazee waliomuomba msamaha pinda kwa kuzomewa........wakidai that vijana hawana maadili...........wakasahau nao wazee hawana maadili............
  18. MWANAMTAA

    Viongozi wa CUF na gari lao wafukuzwa na wamachinga hapa soko la Kilombero, Arusha

    kila vurugu ni cdm inayolaumiwa mjomba mtatiro kajipange upya........siasa kama hizo zitaigharimu cuf
  19. MWANAMTAA

    Je, CHADEMA ni Wabinafsi?

    Watu wenye mawazo mgando kama hawa wanamatatizo sana, wanatoa maada zisizo na msingi ili mpoteze muda kwenye kuzi jadili. Viongozi wao walisema huuni upepo utapita tu lakini wameshaanza kutapatapa,waliviita vyama vya msimiu lakini msimu wake haupiti tu. Hawa watawala inawapasa wakaee pembeni...
  20. MWANAMTAA

    First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

    kwa elimu ya kwenye makaratasi tz tupo juu......watu wamesoma computer eng bt hakuna hata ka ant virus walicho tengeneza............
Back
Top Bottom