Search results

  1. The Cabin

    JamiiForums Usiku wa manane

    Aliepo TIPS!
  2. The Cabin

    JamiiForums Usiku wa manane

    Aliepo Maisha basement makumbusho tuchekiane
  3. The Cabin

    Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

    It depend unanunulia wapi? Bei ya jumla inaanzia elfu 10 ..sasa ktk mabaa it differs ila ni kuanzia 15,000 na kuendelea
  4. The Cabin

    Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

    Honestly sielewi ilikuaje maana kuna tu nilienda nikakuta pamefungwa
  5. The Cabin

    Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

    Ha ha ha chura wesele
  6. The Cabin

    JamiiForums Usiku wa manane

    Muda wa bata batani huu
  7. The Cabin

    Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

    Kweli na kucheka cheka huko ni dalili moja wapo ya genye
  8. The Cabin

    Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

    Hahahaa, may be mawazo tu
  9. The Cabin

    Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

    Hahahaa kuna kipindi Quality centre kulikua bar inaitwa Savannah, wale Jamaa walifunga AC km 8 hivi ukiingia pale unakunywa vyombo vya kutosha na unakua fiti tu ila ukitoka nje ndo unaanza kujiona umelewa
  10. The Cabin

    Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

    Kiafya yes its true..baridi it takes time kulewesha but ya moto inaanza kufanya kazi as soon umeenza kunywa...that's why ukinywa kilevi Iringa au moshi yaani sehemu za baridi mlipuko wake ni tofauti na sehemu za joto au ktk AC
  11. The Cabin

    Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

    Hahahaaaa you are right ila wadada wamjini wanaagiza za baridi, so km sio wako ndo first appointment anaweza baki salama Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  12. The Cabin

    Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

    Hahahaa "Miranda anaenda kunywa dompo Leo dinner, Marwa ashindwe mwenyewe"
  13. The Cabin

    Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Miranda kashajilengesha ,Marwa Fanya kweli dinner iwe dinner kweli
  14. The Cabin

    Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

    Dompo yahitaji ustaarabu, mi huwa namix na konyagi yaani safi kabisa
Back
Top Bottom