Search results

  1. komamgo

    Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

    Hii harusi ilifanyikia wapi? Maharusi wanapendana , mikono na mabusu
  2. komamgo

    Asante Rais Samia kwa miradi hii ya kimkakati Wilaya ya Kahama

    Siyo Samia ni JPM architectural signature and fund.
  3. komamgo

    Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Soma, sauti ya ndani inasema na Pascal. Kumbuka siku sauti hiyo itakapo kusemesha nawe utatuambia.
  4. komamgo

    Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

    Popoma ana wayawaya
  5. komamgo

    Je, ukivamiwa na nyuki ufanyeje kujiokoa?

    Ukivamiwa na nyuki, chunga sana sehemu ya kichwa. Fanya liwezekanalo kufunika kichwa. Ni sehemu pekee inayotumika kupumua , kuona na kuongea. Baada ya kufunika USO na kichwa chako Fanya chochote kubadili harufu ( pheromones) , washa moto na ujifukize moshi wake , ama kimbia welekeo wa upepo au...
  6. komamgo

    Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

    Hadi sasa hakuna aliyevimbisha ubongo wake kuvunja record yairadi na creative thinking. SGR ya Umeme, MV Mwanza, Nyerere hydropower , Acacia , Hospitals, Shule bure, mikopo chuo etc. Wore wanatapatapa humo humor kwa JPM...huo ndiyo utakatifu. Mungu na ambariki daima.
  7. komamgo

    Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

    Ushoga , mke ni dume, na Mme ni dume ,sijui yeye yuko wapi. Huoni alivyo...mtetezi wa mashogs afrika.
  8. komamgo

    Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

    Kweli Makamba hata kufa, pamoja na watu wote wa pwani. Waliomuua JPM wata tamalaki milele, waliosuka njama za mauji kwa simu zao mchana kweupe na kurekodiwa ni wastaarabu milele. Simu za watu wa pwani zilidakwa , Makamba na Genge lake wote wa pwani
  9. komamgo

    Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Leo mmezuia watu kwenda kupanda viazi , kesho hivyo hivyo , subirini njaa , sisi tuko shamba tunapanda viazi na mihongo... Mjuaji msubiri kwenye msosi , mtakula mikutano na maandamano uchwara.
  10. komamgo

    Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Pambaneni sasa, mikutano kila uchao na maandamano usiku kucha, tuone kama mtalima na kupanda kabla ya mvua hazijakata Feb. Kama una hoja njoo uonyeshe hekari za mpunga utakazo panda na kuvuna kwa mikutano ya kisiasa
  11. komamgo

    Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

    Trap na Trat, Raisi wa Mawe, Pimbi wa kwenye mawe wanamjua.
  12. komamgo

    Kujenga Siasa za kuaminiana ni lazima kuendane na kukiri maovu

    Una andika ujinga , JPM is dead. Sasa unakesha huko makaburini Chato , unaakili sawasawa? Jenga hoja kwa walio hai. Mwache JPM alale kaburini. Rudi utuambie kwa nini Tundu Lisu ni wakala wa Madhoga na walawiti afrika. Jikite kwenye uhuni na Ushenzi wa kufilana anaoutetea kama ni sawa ama siyo...
  13. komamgo

    Mch. Kimaro wa KKKT niliziona Mbio zake nikajua mwisho hautokuwa mzuri

    Ujinga , huwezi ona uhalisia , jaribu kuajili wakristu uone utakavyo pigwa. Utakujakumbuka Kimaro findings. Ni sawa na kuajili wahindi kusimamia kiwanda. Jaribu kuajili ngozi nyeusi uone kama hawataimba hadi bulb za chooni. Kimaro yuko sahihi.
  14. komamgo

    KISHINDO MWANZA: CHADEMA yatimiza miaka 30 ya Uhai wake, Walioitabiria kifo Wamekufa wao, yatabiriwa kuchukua nchi 2025

    JPM kafa siku nyingi , unalalama kwa marehemu, jenga hoja zako kwa walio hai. Marehemu akifufuka utaufyata mkia. Inaonyesha JPM ni kiboko ya Wahuni
  15. komamgo

    Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Upuuzi mtupu. Siyo kila sheria iko sahihi na imejazwa haki. Mfano. Sheria za environmental zina piga marufuku Nyerere damu, Lakini zinayaacha mabwawa ya Owen yakiharibu mazingira. Sheria zinaruhusu uwepo wa wauaji ili police wakalinde. Wasipolinda sheria inawatia hatiani. Kwanini usivunje...
  16. komamgo

    Nisaidieni kugundua makosa ya hii floor plan

    Choo ndani ya kuta za ndani ni majanga. Weka kwenye kuta za nje ili kuhamisha unyevunyevu ndani ya nyumba.
Back
Top Bottom