Search results

  1. M

    Msaada: External HD inaandika Format kila nikiiweka kwenye PC

    Habari ya saa hizi wana JF. Samahani naombeni msaada, Eternal Hard Disk yangu (Transcend 500 GB) Inaandika Format kila nikiichomeka kwenye PC. ndani ina data zangu nyingi sana muhimu. Nimejaribu kuiweka kwenye computer mbalimbali bado kila nikiiweka kabla ya kufunguka inaleta msg kuwa natakiwa...
  2. M

    Namna ya kupata copy history toka kwenye Canon Ir 2202 Copier

    Habari yenu ndg wa jukwaa hili. Jamani anombeni sn msaada kwa wenye ufahamu juu ya namna ya kupata history ya kazi zote zilizofanywa ktk photocopy mashine. Yaani kujua idadi ya copy pages and printings kwa siku. Natumia canon Ir 2202. Pia ninamshine nyingine aina ya Hp deskjet na Hp 127. Msaada...
  3. M

    Msaada: Natafuta Aina nzuri ya Photo Printer kwa ajili ya studio

    Habari wandugu. Jamani nimeanzisha stationery na studio ya picha. sasa naombeni msaada zaidi kuhusu mashine nzuri ya kusafishia picha za ukubwa hadi A4 pamoja na passport. Je ni aina gani nzuri zaidi lakini cheap ungenishauri kununua? Bei ni kiasi gani? Inatumia wino gani? je ipo economical...
  4. M

    Kuhusu Benjamin Mkapa kugombea tena urais wa JMT

    Ndg. wa JF, nadhani kiukweli tunakumbuka sana mambo makubwa aliyoyafanya rais mstaafu Benjamin Mkapa kipindi cha uongozi wake. Miongoni mwa hayo ni kudhibiti sana mfumko wa bei pamoja na kuongezeka thamani shillingi ya Tz, ambapo US$1 ~ 1500 Tshs. tofauti na sasa ambapo $1=2200 Tshs. Ningependa...
  5. M

    Namna ya kubadiri lugha katika DVD players za magari

    Habari wandugu. Nimenunua gari ina Dvd player na radio. Kuhusu radio inapiga vizuri lakini nikiweka Cd inaandika kijapani na haichezi. Nimejaribu kubonyeza bonyeza button zilizopo lakini sielewi coz lugha ni tofauti na hata hvy haichezi. Je kunamwenye ujuzi wa kubadiri lugha toka kijapan kuja...
  6. M

    Namna ya kutengeneza blog for free

    Wadau ninahitaji sana kutengeneza Blog ya kwangu kwa ajili ya Jamii, Elimu na Biashara pia. Kwa anayefahamu please anielekeze namna ya kutengeneza na Host nzuri ya kujiunga nayo ambayo ipo free. Msada wakubwa (Chief mkwawa, bet etc)
  7. M

    Gharama za kutoa gari bandarini

    Wandugu please naomba kwa mwenye ufahamu wa kukokotoa toka TRA calcutator, Agent wa magari ama yeyote aliyepata kuagiza gari aina ya Toyota Raum (2005), c.c. 1490 CIF $3100. ainisaidie kunipa gharama zote za kutoa gari hiyo Bandari ya DSM. Nahitaji kujua estimates hizo ili nijipange wakati...
  8. M

    Ama kweli yamenikuta. Je ingelikuwa wewe ungefanyaje?

    Nilimwacha mke wangu akiwa na ujauzito mdogo na kwenda zangu masomoni kwa muda wa miezi kadhaa nje ya nchi. Lakini kabla ya kuondoka tulikubaliana tumtafute binti mmoja wa kazi ili wasaidiane pale nyumbani hasa ukizingatia hali yake kwa muda huo nikiwa sipo. Akapiga simu kijijini kwa rafiki...
  9. M

    Wimbo tazama ramani

    ndugu zangu, ninaomba sn kwa mtu yyt mwenye wimbo huo hapo juu katika format ya mp3 au mp4 aiupload kwa manufaa yangu na umma. ni muhimu sn kwangu. msaada pls
  10. M

    Windows XP kufungwa rasmi wiki ijayo.

    kampuni ya microsoft watengenezaji wa operating system za windows xp,7,8,Vista nk imetangaza kuifunga rasmi OS yake ya Windows XP. Pia imewataka wamiliki wa mabenki hasa Afrika ktk matumizi ya ATM, wametakiwa kubadiri 0S ili kuepuka usumbufu. Sijajua kama wananchi wanaotumia XP wataathirika kwa...
  11. M

    Gharama za kutoa gari bandarini

    Asalam aleykum. Ndg. naombeni msaada kwa wenye ufahamu na gharama za kulitoa gari aina ya Subaru Forester (2005) bandarini. Naomba kujua aina ya kodi na gharama zake hadi inatoka. Na je inaweza chukua muda gani bandarini? Asanteni.
  12. M

    Msaada: Nahitaji gari, Je ni gari ipi nzuri zaidi kati ya hizi?

    Wakuu hasa wenye ufahamu, naombeni mnisaidie. Nipo kwenye mchakato wa kutaka kuagiza gari toka japan, nimeyapenda sn magari haya naomba mnishauri je ipi ni nzuri zaidi? Vigezo muhimu ni matumizi ya mafuta na uimara. 1:NISAN WINGROAD 2:TOYOTA COR.FIELDER 3:SUBARU IMPREZA 4 SUBARU FORESTER 5...
  13. M

    Namna ya kuchakachua na kuangalia channels za DSTv BURE

    Najua JF ni jumba la maarifa mengi. Wadau naombeni tusaidiane maujanja kwa anayejua namna ya kufanya uendelee kutumia Dstv bila kulipia. Au ulipie kifurushi kidogo (Acces) na uangalie cha juu (Premium) ? Msaada wadau mkaburu ametukomalia, tumuoneshe mautundu yetu
  14. M

    Je nawezaje kuongeza channel za FTA ama zingine zozote ktk king'amuzi cha DSTv?

    Wadau habari. naombeni kujua kama kuna namna naweza kufanya kuongeza channel nyingine zaidi ya zilizomo kwny ktk king'amuzi changu cha Dstv aidha za FTA au za kulipia zinazopatikana ktk ving'uzi vingine?
  15. M

    Naomba kujua namna ya kumuunganishia mtu DSTv

    Wadau naombeni mnisaidie nawezaje kumuunganishia jirani yng Dstv toka kwangu nayeye awe na uwezo wa kubadirisha channel mwenyewe? Je kuna kifaa cha ziada kinahitajika ili awe na uwezo wa kubari channel yy mwenyewe bila recever? Na je mtu wa mbali kama mita 100 naweza muunganisha naye bila ya...
  16. M

    Msaada - DSTv Remote control yangu (B4) imeacha ghafla kufanya kazi

    Habari wandugu. Nimenunua Dish na king'amuzi cha Dstv na ninatumia kwa wiki sasa. Lakini kuanzia jana, remote yangu ghafra tu ikawa haifanyi kazi. Yaani ukibonnyeza key yyt inawaka taa tu na haioneshi response yyt kwenye recever mf. kuongeza sauti au kubadiri channel. Betri ni mpya kabisa...
  17. M

    Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata display ya Tecno T1

    Wandugu simu yangu ya Tecno T1 inashida ya Display, jimejitahidi kuitafuta mitaa ya K/koo sijapata. Naomba yyt anayeweza kunisaidia kuipata nitashukuru sn. Nasubiri, wadau.
  18. M

    Msaada wa haraka - Namna ya Kuondoa windos 8 na Kuweka Windows 7/ XP kwenye PC

    Habari wadau. Nina Pc yng mpya, nimeanza kwa kuinstall windows 8 lakini nimeona hainifai kwani ni trial nimeamua kutaka kuitoa na kuweka version ya chini ya windows yaani 7 au Xp. Kila nikiboot upya kuinstall inakwnd na baadae inaleta msg kuwa "Setup can not continue and windows is shuting down...
  19. M

    Job vacancies - mesco t.ltd

    MESCO T. LTD is hereby announucing various job vacancies to qualified Tanzanians. For imformation on the post tittle, qualifications and things to enlcose in your application, please click to the attached file with this announcement. Everybody is highly encouraged to apply. The dedline...
  20. M

    Job vacancies - mesco t.ltd

    Mesco Limited is a company registered in Tanzania to provide a wide range of engineering solution. We are registered by Contractor Registration Board of Tanzania (CRB) as Electrical and Mechanical. Head quarters are in Dar es Salaam. The company is here by announcing various job vacancies as...
Back
Top Bottom